ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu CCM akili za kuambiwa changanya na za kwako Jakaya Kikwete akanawa mikono nakuondoka

    Igweee nimekaa na kuwaza sana nakusoma comment za waja nyingi sana ila jambo nimekuja kugunduwa JK ana akili sana tena sio wakumchukua poa. JK ni mwanajeshi mstaafu nje ya Urais na anakumbuka kiapo chake na hataki shari Mzee watu anataka kula bata nakufurahia mstaafu wake. Kwa wale mnamkubuka...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania CCM inakuwaje Askari wetu wa Uhifadhi wanakosa nguo na vifaa vya uhakika hadi kufikia kuvaa kama vikosi vya Waasi/ Askari wa DRC?

    Nimesikitishwa sana kuona uvaaji wa Askari wetu wa uhifadhi wanaofanya operesheni ya kuua fisi huko mkoani Simiyu. Inakuwaje nchi iliyofikisha Watalii Milioni 5 mwaka huu ambao wameingiza fedha za kigeni za kutosha kushindwa kuwanunulia nguo na vifaa stahiki askari wetu wa Wanyamapori...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ADC yajipanga kuwang’oa madarakani CCM, waeleza kuhusu 'No Reform, No Election' ya Chadema

    "Kama Mbwai na Iwe Mbwai." Ndiyo kauli anayoitumia Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) taifa, Shaban Itutu akielezea msimamo wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Itutu ametoa kauli hiyo, baada ya Mwenyekiti wa Chama cha...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mvutano CCM Rufiji: Viongozi wadai kusimamishwa kwa kutomuunga mkono Mbunge Mchengerwa

    Wakuu Mnakumbuka sakata la CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee? Mapya yaibuka huko, panga limepita kwenye Chama == Katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani, kumekuwa na sintofahamu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo baadhi ya viongozi wa matawi na kata wamedai kusimamishwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Philip Mulugo adai ukiona mbunge analalamika basi ujue huyo haudhurii vikao vya madiwani

    Adai yeye ni muhudhuriaji mzuri wa baraza la madiwani hata kama kutakuwa na vikao vya bunge yeye lazima ataenda kwenye vikao vya madiwani na wale wabunge wanaolalamika huwa hawaendi kwenye vikao. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  6. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Wana ccm wamelishwa unga wa ndele 2025

    Mkuu wa giningi amefanikiwa katika adhima yake kuu, ya kuelekea malengo makuu. Alikuwa na njaa kwa mda mrefu na hakujua kuwa ipo siku atakuja kula chakula kile kizuri ambacho kila mtu anatamani kula, ghafla bini vuuuu! akakuta chakula kile kizuri Dunia mzima kipo mezani. kina msubili...
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wassira Mdahalo tayari umefanyika

    Mzee wasira ni lazima aelewe kwenye No election no reform hakuna mdahalo bali utekelezaji. Chaguzi za 2019, 2020 na 2024 zime maliza mdahalo na maswali yeyote ya kwamba chaguzi kwa sasa zinaweza tena kuwa za haki kwa sheria zilizopo sasa. Sasa unaposema unataka mdahalo na Lissu ni wa nini hasa...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania CCM msaidieni chawa wa Samia Kigogo 2014 aelewe Sheria za Nchi na aache kupost asivyovielewa huko X

    Baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndug John Heche kueleza jana kuwa CHADEMA wanaenda kuweka ushahidi na kuuelezea Umma namna taifa hili linavyoibiwa kupitia miradi mbalimbali ikiwemo tenda za ununuzi za mradi wa SGR, chawa wa Samia na CCM amejitokeza kumtisha Heche eti atakamatwa na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: CCM wanaishi kwa kuviziana hawawezi kufanya uchaguzi kama wa Chadema

    "Sisi tumekwenda kwenye uchaguzi tumewaonesha maana ya uchaguzi wa kidemokrasia, free, fair, transparent election ambayo haijawahi kutokea Afrika hawawezi hata na dola yao kuthubutu kufanya vile. We uliona wapi mtu anasimamia uchaguzi anaochaguli1wa ?" - John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kutangaza utaratibu mpya ubunge viti maalum. Hoja za Lissu zimeanza kuwaingia?

    Wakuu, Lissu hapa majuzi aliuliza imekuwaje CCM ina wabunge 6 zaidi huku chadema ikiwa na 1 kwenye nafasi ya ubunge wa viti maalum, lakini pia Lissu huyu huyu alisema wabunge wa viti maalum wawe wanapewa muhula mmoja, akisema huo unatosha kufanya mtu ajipange na kujijenga kuwania nafasi hiyo...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Tumejihakikishia kwa chaguzi tatu kwamba CCM haitaki uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kutoa uchaguzi ulio huru na wa haki kwa kila chama badala yake imejimilikisha uchaguzi huo na kuona wengine hawafai kuongoza. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ligi za Tanzania kama tusipo kuwa makini Simba na Yanga ni mali ya CCM kiufupi

    Kuna mda unaweza kushangaa waziri au wabunge wa CCM sababu wote ni CCM wakawa wanaongea hizi club badala ya shida za watu tokea kupata uhuru. Hivi kuna nchi gani za ulaya zimekaa bungeni kukaribisha club ambazo zitangazi taifa mfano Brazil timu ya taifa kufanya vizuri japo hata bungeni...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, unganeni na CHADEMA , Waachieni CCM uchaguzi wao wenyewe , unganeni kupigania Hatima yenu ya Sasa na Baadae !!

    Ninawahakikishia, Siku mtakayotoa Kauli Moja tu ya kwamba, HAMTASHIRIKI UCHAGUZI WOTE BILA MABADILIKO , mchakato waabadiliko hayo utaanza mara Moja . Waachieni CCM uchaguzi wao, wajifanyie Kampeni wao, wajichague wenyewe !!. Achanane na Hadaa za muda mfupi za CCM , kwamba zitakupa Ruzuku ...
  14. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

    Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Makalla: Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM, bado hajaelewa misingi ya CCM

    Malisa amepita vyama tofauti vya siasa ndio akaja CCM kwaiyo bado hajaelewa misingi ya CCM kwaiyo huko aliko akajifunze misingi ya chama cha mapinduzi – Makalla. Chanzo: Wasafi FM
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kama Mungu, Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano Mkuu hata kukiwa na Uovu!

    Wakuu Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kiasi hiki mapaka Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano huo hata kukiwa na Uovu ndani yake. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Zanzibar, Khamis Mbeto, azindua rasmi Kituo cha mafunzo ya Amali kilichopo Mbuzini, Bububu

    Katibu wa Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Zanzibar, Khamis Mbeto Khamis, amezindua rasmi Kituo cha Mafunzo ya Amali kilichopo Mbuzini, ndani ya Jimbo la Bububu. Kituo hiki kimejengwa kwa juhudi za Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mudrik Ramadhan Soraga, kwa lengo la kuwawezesha vijana...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watoto wa 2000 ndo wataitoa CCM madarakani

    Ipo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa. Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma degree Ila anakuja kulipwa 150K Kizazi kinachopitia mateso . So hiki kizazi Serikali inatumia nguvu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mama Maria Nyerere aitaka CCM kusimamia ipasavyo Serikali

    Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kutimiza wajibu wake wa kuzisimamia Serikali zake zote mbili ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa na uwezo wa kujitegemea, hasa katika kujilisha. Mama Maria ameyasema hayo...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, na uongozi wa VETA watakiwa kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar kujiajiri na kuajiriwa

    Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
Back
Top Bottom