ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Kasongo yeeyee

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: CCM Mzumbe kufanya matembezi na dua kuwaombea Rais Samia na Rais Mwinyi kwaajili ya Uchaguzi 2025

    Jamani CCM ifike pahala muwe na huruma na nchi hii hata kama mna mpango wa kutawala milele. Itafika kipindi jamii ya nchi hii iwe kama jamii ya mazombi, maana hawa mazezeta mnaowaandaa ndio mtakuja kuwaachia nchi, na kipindi hicho jamii nzima itakuwa ya namna hiyo. Wakati gen z wa Kenya...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kama CCM imevunja katiba ya chama kwa kumpitisha mgombea wao bila kufuata utaratibu tutegemee kuvunjwa pia kwa katiba ya nchi kwenye uchaguzi mkuu

    Katika uhalisia kupitishwa kwa mgombea uraisi wa chama cha CCM haukuwa wa utaratibu na ulikiuka katiba ya CCM ambapo mgombea alipitishwa tu kwasababu ni raisi hii inapeleka taifa kwenye siasa mbaya sana. Nilisema CCM isipitishe mtu kwasababu ni raisi au ni nani tukifanya hivi tutaharibu siasa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Afya bure kwa mama na mtoto ipo kwenye ilani ya CCM 2020/2025?

    Kama kuna mtu mwenye Ilani ya chama cha Mapinduzi 2020 hadi 2025 atusaidie kufahamu kama ipo ahadi yakutoa huduma ya afya bure kwa mama na mtoto. Kama ilikuwa ahadi maana yake haijatekelezwa na kama haikuwa ahadi hatuwezi kumuhukumu Chalamila. Labda tupendekeze iwe kwenye ilani za vyama 2025...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Cyprian Musiba: Polepole, Bashiru warudishwe kupambana na CHADEMA ya Lissu

    Cyprian Musiba amekishauri Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwarudisha wanachama wake wenye nguvu ambao wanaweza kupambana na ajenda zitakazokuwa zinaibuliwa na wapinzani kutokana na ingizo la uongozi mpya wa CHADEMA ukiongozwa na Tundu Lissu. Soma, Pia: Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Msingwa CCM umesaidia sana ujio wa Lissu CHADEMA, hongereni Ndugu Makala, Nchimbi

    Kidumuuu chama!!! Nichukue fursa hii kuwapongeza makada wote ndani ya chama Cha kijani waliofanya usajili mahiri wa kuhakikisha wanamsajili ndugu Msigwa na kusaidia kumpa nguvu na umaarufu ndugu Lissu. Ushindi wa TUNDU Lissu una mchango mkubwa Toka Kwa kada huyu mwenye mapenzi ya dhati...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Profesa wa literature aitahadharisha CCM kuhusu nguvu ya CHADEMA

    Prof. Joseph Mbele, mhadhiri wa literature wa Chuo Kikuu, Olaf College, USA; ametazama na kuchambua Uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA na kutoa angalizo zito kwa CCM. Kabla ya kuchapisha maoni yake hapa nilifanya mazungumzo naye kwa simu. Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nape Moses Nauye Katibu Mkuu mpya wa CCM, Pole pole Mwenezi huku Makongoro Nyerere akiwa RC Dsm

    Tunapoelekea uchaguzi mkuu safu mpya zinazokuja kuziba mapengo ni pamoja na Nape kuchukua nafasi ya Nchimbi huku Pole pole akirejea nchini kumsaidia Kazi Mzee Amos. Makongoro Nyerere anakwenda kuchukua jiji la DAR. Mzee Januari anarudi kusimamia Muungano
  8. R

    JamiiForums Tanzania Viongoz wa CCM wanamkubali Ibrahim Traore?

    Je, viongozi wa chama tawala wanakubaliana na Ibrahim Traore kama Rais Wa Burkina Faso?
  9. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira ametudanganya. Samia Kajiteua mwenyewe akisaidiwa na Kikwete sababu hatujui wana CCM

    Kwanza kabisa Mzee wetu Maarufu Mh. Makamo Mwenyekiti, Stephen Wassira Alimaarufu kama mzee wa Afro Shiraz Part na TANU, ametoa hotuba ambayo kimsingi baadhi ya vitu amedanganya ikiwemo suala la uteuzi wa Mgombea. Kila mtu anajua na aliona kilichofanywa na Samia na Kikwete, Hao ndio watu...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Hatukuahidi kuachia madaraka baada ya muda tulipopata uhuru. Hatutumii jeshi kubaki madarakani, tunachaguliwa

    Wakuu, Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wassira mkoani Dar yanaendelea wakati huumkoani Dar es Salaam January 26, 2025. Wacha tuone nini watatuchia na neno gani leo Jumapili tulivu. https://www.youtube.com/live/4P5xbgdNV3w?si=oQJ_bTnSNJUw_luk Wasira amesema baada ya kupata...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii ya Mgombea Urais wa CCM Kali ya Karne.

    Hii ishu ya mgombea urais wa CCM inachekesha kwelikweli kisha inahuzunisha. Yaani anakuwa mgombea rasmi wa Chama, halafu fomu ya kuomba kugombea anajaza baadae! Ni kama movie inayochezwa kinyumenyume 1. Ni sawa na kunywa dawa za ARV mapema kabla ya kuikwaa ngoma 2. Ni sawa na kuanza routine...
  12. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Pandora Box:Trump anafungua ya JFK na MLK US huku TZ tunasubiri ya JPM,JK na SSH kubaka Katiba ya CCM na JMT je,Mungu kampa TAL kazi hiyo maalum?

    Katika hatua iliyoshangaza wengi, Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa agizo maalum la kuwekwa hadharani kwa taarifa za siri zilizofichwa kwa miongo kadhaa. Kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy (JFK), mdogo wake Robert F. Kennedy (RFK), na kiongozi mashuhuri wa haki za binadamu, Martin...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Iringa yatoa onyo kwa wanaobeza Rais Samia na Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Naona mambo yanazidi kunoga tu! =============== Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimeonya vikali watu wanaobeza maamuzi ya Mkutano Mkuu wa chama hicho ya kuwateua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kupeperusha bendera ya urais katika Uchaguzi Mkuu...
  14. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Davis Mosha kugombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya CCM

    Utangulizi; Ninapenda kuwajulisha rasmi kwamba Davis Mosha, ambaye ni bilionea na mfanyabiashara maarufu, atagombea ubunge katika jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba 2025 Hii ni hatua muhimu kwa ajili ya maendeleo ya jimbo letu...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM Mkoa wa Simiyu: Jambo Letu Limekubali

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameongoza kwa mafanikio matembezi ya kuunga mkono maamuzi ya Chama kwa kuteua Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Mwenza wake, Ndugu Emmanuel Nchimbi. Matembezi haya, ambayo...
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ili Chadema iwe rahisi zaidi kwao kushinda uchaguzi, basi mtu mwenye nguvu na ushawishi CCM ahamie Chadema kumchallange Samia

    Kama itatokea mtu mwenye nguvu na ushawishi ndani ya CCM na akaamua kuhamia Chadema kumchallange Mh Samia, itakuwa rahisi zaidi kwa Chadema kuchukua nchi kuliko kumsimamisha Tundu Lisu . Huyu mtu kwanza ataondoka na idadi kubwa ya wanachama wa CCM ukijumlisha na wale wa Chadema ushindani...
  17. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kumsimamisha Mh. Samia kugombea nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa uchaguzi

    CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi hatumuelewi na mbaya zaidi hata wana CCM wenzake hawamuelewi ndio maana wengi wameshaanza kumkataa mapema...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni haki ya CCM kushinda uchaguzi mkuu kwa kishindo kwasababu iliwaahidi wananchi na kutekeleza ahadi zote kwa maneno na vitendo kwa uaminifu mkubwa

    Na kwa safu ya uongozi na wagombea uongozi wake kwenye ngazi ya urais na umakamu wa Rais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar, Ni wazi CCM madhubuti imejipanga vizuri mapema kabisa kwa makusudi ili kushinda nafasi hizo kwa kishindo kikuu Oct 2025. CCM inaamnika, CCM...
  19. M

    JamiiForums Tanzania JK hakwepi lawama kwa jinsi CCM ilivyogeuka kikundi cha watu wachache badala ya kuwa chama cha mamilioni ya wanachama

    Naam, hili wala halina ubishi. Katika watu ambao hawawezi kukwepa lawama katika kuvuruga chama cha Mapinduzi na hatimaye kuiweka nchi katika sintofahamu na kupelekea nchi kukosa muelekeo ni huyu JK. 1. BIFU LAKE BINAFSI NA EL LILIVURUGA CCM. Kila mtu anakumbuka jinsi EL alivyokatwa katika...
  20. President of China

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas afanya ziara TAFORI, ahamasisha watafiti kufanya tafiti za kimaendeleo

    Na Mwandhishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amewahamisisha Wataalamu wa utafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), kuandaa miradi mbalimbali ya utafiti yenye kuleta maendeleo chanya ndani ya Taasisi na katika sekta ya Misitu na ufugaji...
Back
Top Bottom