Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Chadema waache kukurupuka. Bahati mbaya wengi wao elimu yao ya kuunga unga hawajafika Chuo Kikuu.... Wangemjua huyu profesa
===========
Huyu ni Prof Michael Ndanshau, Mhadhiri Mwandamizi wa Uchumi wa muda mrefu wa UDSM, Amenifundisha mimi, amemfundisha Zitto Kabwe na wanafunzi wote...
Sioni wagombea wa TADEA, CUF, NLD, SAU, ACT n.k wakishinda viti vya ubunge. Na sioni mgombea wa CCM ashinde Jimbo afu ushindi wake utolewe kafara na kupewa wapinzani ili kuzuga kuwa Kuna free and fair election.
Je, itabidi mwaka huu CCM ijiibie kura yenyewe Ili iwape wapinzani baadhi ya...
1. Hamkusaini Maadili na hivyo hamna sifa ya kushiriki uchaguzi.
2. Suppose sasa CCM wanaamua kutimiza matakwa ya madai yenu ie wameweka mifumo huru ya uchaguzi kama mnavyoitaka ( na inabidi basically iwe kama mnavyotaka).
3. Mtafanyaje na mmeshajinyima sifa za kushiriki uchaguzi?
Una miaka 30 huna kazi ya kueleweka, huna familia , huna assets yeyote halafu unaenda kuipigia kura CCM
miaka 30 ni mingi mno kijana dai mabadiliko acha kujifariji
Nasema hivi nikiwa hai,kwa mwenye akili anajua kabisa watu wanaenda kutema nyongo zao,
Yaani ukweli wa uovu wao CCM sasa uanenda kuanikwa kweupe.Watu wanaenda kuungana kwa waziwazi kuanzia Viongozi wa dini mpaka mtu wa mwisho kabisa ambaye ni mkulima kwa ajili ya kulikabili hili dubwana, maana...
"The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed."
— Steve Bi
Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
Kama ni kweli huyu aliyewasainisha vyama vya upinzani kwelikweli vyenye nia ya kuiondoa CCM madarakani kanuni za maadili ya uchaguzi ni kada wa CCM na hii ndio tume huru ya uchaguzi basi itoshe kusema watanzania tunachezewa mchezo mchafu.
Tumsikilize Askofu hapo chini ;
Well , kuna mmoja alihoji mbona Kenya iliweza kukitoa chama tawala kabla ya reforms ?
- Kenya sio Tanzania, Kenya wapo mbele ya muda sana. Kwenye Uchaguzi Polisi na Jeshi huwa wanakuwa upande wa wananchi ndio maana walifanikiwa.
Tanzania Jeshi na Polisi kwenye...
Swali lako ni zuri na linahusu siasa za Tanzania kwa sasa. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kueleza kwa nini CCM inaweza kutaka CHADEMA washiriki uchaguzi:
Uhalali wa Uchaguzi (Legitimacy): Uchaguzi wa vyama vingi wenye ushindani wa kweli huonekana kuwa na uhalali zaidi ndani na nje ya nchi. Ikiwa...
Mwenyekiti wa Taifa Chama cha ACT Wazalendo. Othman Masoud Othman amesema wamefanya jitihada kubwa kuleta hali ya maridhiano Zanzibar kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu kuepusha maafa yasiokua ya lazima lakini wenzao hawakua tayari na hali hiyo.
Othman ambae pia...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, na Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania, pia Rais...
balozi
ccm
chama
chama cha mapinduzi
dkt. emmanuel john nchimbi
emmanuel john
emmanuel john nchimbi
john
kamati
katibu
katibu mkuu
katibu mkuu wa chama
mapinduzi
mkuu
mwenyekiti
mwenyekiti wa kamati
nchimbi
wabunge
Hivi kuna sababu gani kwa polisi wetu kutumika vibaya na CCM kwa kuteka, kukamata, kuumiza na kumbakia kesi ya uhaini Mh Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati tunaweza kushindana kwa hoja na hoja zinazoshinda ndizo zitoe mwelekeo wa taifa na nchi hii...
TUAMUE TU NA TUFANYE HIVI:
Tuwe na...
Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo.
Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao, hakuwezi kuwa kosa la jinai.
Kukinukisha dhidi ya CCM hakuwezi kuwa uhaini!
Kumbe kwa tafsiri...
Mch. Msigwa anadai "Nilikuwa Kipofu Nikiwa Chadema, Sasa Naona," lakini kauli hii inaweza kuwa ni mbinu ya kisiasa tu ya kujiimarisha ndani ya CCM, chama ambacho wengi wamechoka nacho kwa miaka 60 ya kumudu madaraka bila mageuzi ya kweli.
Watu waliostaajabu na utawala wa CCM, waliougua na...
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe kimetoa wito kwa wananchi mkoani humo kujiandaa na uchaguzi kwa kuwa ni takwa la kikatiba huku wakidai kuwa hakuna Chama chenye uwezo wa kuzuia takwa hilo.
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga amebainisha...
Hapa nakunywa konyagi kubwa nikawa nawaza mawazo haya. Hebu kama wadau wa JF tuzungumze ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema kuhusu hii mada:
“CCM ina uwezo wa kumvua mtu roho yake ya kweli bila hata kutumia bunduki.”
Binafsi nimeona kwa uelewa wangu hawa content creator wa jf kama
Robert...
Wanasaikolojia husema binadamu (siyo mtu) dhaifu hujaribu kuficha udhaifu wake kwa kufanya mambo yake kwa kutegemea mitulinga.
CCM imekuwa inaongoza nchi hii Kwa zaidi ya miaka 33 sasa tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe hapa nchini.
Lakini Katika jambo ambalo CCM wameshindwa kabisa...
Hizi ni Nukuu za Nyerere
"Watu walio hatari sana ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu, wala hawana haja kujifunza zaidi. Hii ni tabia mbaya ambayo huzuia kabisa maendeleo.”
” Tunataka kuona vijana jeuri katika Taifa hili na wenye kujiamini na sio waoga akina ” ndiyo bwana mkubwa”...
Nchini Msumbiji walifanya uchaguzi wao oktoba 29/2024..uchaguzi ulikuwa na wagombea kutoka vyama kadhaa lakini vilivyokuwana upinzani wa karibu ni Frelimo kilichowakilisha na Daniel chapo huku Podems ikiwakilishwa na Venancio Mondlane..uchaguzi ulifanyika baada ya kampeni kali zilizokuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.