ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Enyi Kanisan Katoliki,Dini ilikuapo kabla ya Serikali , hiyo michango na Pesa za CCM mnazozipokea, ndizo zinawafanya Watawala kuwadharau!!.Zikataeni

    Kiongozi akitoa Rushwa za ujenzi, kukamilisha Makanisa yenu, Muikatae waziwazi . Mlipiga kelele, kuhusu Bandari, mkapiga kelele kuhusu Ngorongoro, mnapiga kelele kuhusu Uchaguzi, huko kote mnadharaulika na kupuuzwa kiasi mnaambiwa "Acheni kudandia dandia". Soma Pia: Rais Samia Achangia Milioni...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania wenzangu, tusipoamka sisi na kufunguka fahamu zetu, CCM wataendelea kutuona kama "toilet paper"

    Watanzania wenzangu, tusipoamka sisi na kufunguka fahamu zetu, CCM wataendelea kutuona kama "toilet paper". Watatutumia wapendavyo na kututupa. Hakuna cha maana zaidi hawa watu wanaweza kututendea kama taifa. Fikra zao zimefika ukomo. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachama CCM: Kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali

    “Sisi tutaendelea kueneza mazuri ya viongozi wetu na mazuri ya chama chetu ili tuweze kuungwa mkono kwasababu kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali serikali tunayo sisi....." Abdul Kambaya - Mwanachama wa CCM
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila Polisi CCM wepesi kama karatasi

    Anachotendewa mheshimiwa Lissu ni ushahidi wa wazi kuwa CCM uwezo wake mdogo sana kisiasa, na bila mabavu ya polisi hawewezi kudumu kisiasa hata kwa mwaka mmoja!. Wamepigwa operesheni moja tu ya NO REFORMS NO ELECTION, wamekimbilia polisi. Hii ikuonyeshe kuwa hiki chama ni genge la watu wepesi...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amekamatwa huku Zay Lissa na Manara wametrend ghafla! Focus Watanzania, Focus!

    Wakuu, Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa...
  6. JF Member

    JamiiForums Tanzania Wito Kwa CCM hasa kwa Viongozi waandamiizi

    Mchana huu nimeona nilele wito kwa CCM ili kuweka mambo ya kisiasa sawa huko tunakoelekea. 1. Jambo la kwanza ni kuhusu Mugombea wa Urais. Kikubwa ni kwamba - Mgombea urais hauziki kwa wananchi, ila anaeleweka kwa makundi yenye watu wachache mfano.. wafanya biashara na wasanii. Huku mtaani...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mradi wa maji uliogharimu Bilioni 5.2 wakamilika Mbarali. Haya ni maandalizi ya Uchaguzi?

    Wakuu, Naona miradi inaendelea kukamilika kwa kasi ya ajabu kabla ya Uchaguzi Mkuu. CCM theatrics zenu tunazijua ========================================== Mradi wa maji Luduga-Mawindi wilayani Mbarali Mkoani Mbeya awamu ya nne umetekelezwa kwa kutumia Mkandarasi GNMS CONSTRUCTIONS LTD...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Peneza Achangia Milioni 2.5 kwa ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wazazi CCM Wilaya ya Nanyumbu

    MNEC wa CCM Taifa, Ndugu Joseph Peneza, amechangia milioni 2.5 kusaidia ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Nanyumbu. Akiwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Jumuiya hiyo, Peneza pia alishiriki shughuli ya kuchimba msingi wa nyumba hiyo. Katika kuunga mkono jitihada za...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Asilimia 90 ya Watanzania wana imani na Lissu kuwa sio kibaraka wa CCM. Tofauti na Mbowe. Hii itawasumbua sana wanaCCM

    Wananchi wameanza kupata maono kama kuna mtu ameibuka kuwapambania juu ya maslahi yao na taifa lao. Tofauti na yule Jamaa aliyekuwa anaenda Ikulu kunywa juic za Ceres. Na hii inakuja kuleta upinzani mkubwa kwa CCM. Maana wananchi wanaiona CCM haina msaada kwao Idu wa Igunga.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mjane amtuhumu Mbunge wa Tanga, Ummy Mwalimu kwa kumtapeli shamba la ekari 40

    Mjane amtuhumu Mbunge wa Tanga, Ummy Mwalimu kwa kumtapeli shamba la ekari 40
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachuo: CHADEMA haiwezi kuzuia uchaguzi, msimamo wetu CCM ni kushinda kwa kishindo

    Katibu Uhamasishaji wa UVCCM Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, Akida Mnyamisi Akida akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha redio cha Nuru FM.
  12. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maneno ya kufuru ya baadhi ya wana CCM!

    1)"Tuta Tawala Milele" Kumbuka Umilele ni wa Mungu pekee 2)"Tuta Tawala mpaka Yesu arudi" , Masihi wa BWANA anashirikishwa kwenye Siasa za ghiriba 3) "CCM kushinda sio lazima Mungu apende," Wanachagizana kuhujumu uchaguzi,wanaamini hata asiporidhia Mungu wanashinda. 4) "Unaiba kura Kwa njia za...
  13. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Kamba: Jokate ni nguvu mpya ya ushindi wa CCM 2025

    *JOKATE NI NGUVU MPYA YA USHINDI WA CCM 2025 * Kalamu ya: Mrisho H. Kamba – Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wazazi CCM Taifa Ndugu Jokate Urban Mwegelo, Salamu nyingi za pongezi na heshima nyingi kwako. Natumaini ujumbe huu unakufikia ukiwa na afya njema na ari ileile ya kuwatumikia Watanzania...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

    Wanabodi Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe. Juzi na jana, Wahariri zaidi ya 200, ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, toka vyombo vya habari vyote nchini, tumekutana kwa siku mbili mjini Songea mkoani Ruvuma, kwenye mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa TEF, ambapo wana...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yakamata mtandao, CCM yangu hoi

    Na Veronica France 🇹🇿 🇹🇿 Well, Dunia imebadilika sana, Dunia ya Leo Ktk Siasa lazima uwe na nguvu ya kudhibiti na kuendesha mitandao ya kijamii...huu Ni Wakati ambao tunaishihudia CCM ikiwa hoi bin taaban mitandaoni na Chadema ikishika Mitandao Yote, Nini Kimetokea? turejee Nyuma kidogo Katika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Polisi ndio watakuwa wahusika namba moja kuzuwia uchaguzi 2025! Kwa nini...!

    Wakati polisi wakiwa mabarabarani kwa hasira kusubiri waandamanaji wa kuzuia uchaguzi ili kuwafyatulia maji ya washawasha na lisasi za moto, naamini haitakuwa hivyo! Watu watakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwa amani na salama kabisa na bila kujulikana ni kina nani watahusika katika...
  17. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania WANACHAMA WA CCM NI WANAFIKI

    ....
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joram Nkumbi ageuka kuwa chawa wa CCM? Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi

    Wakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi. "Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye yeye amepewa cheo kikubwa katikati yetu, ametuzidia mbali kabisa, na sisi tunaomba tumkopeshe...
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapinzani mnataka nini kama mlimpinga Magufuli aliyekuwa anafanya kazi kwa maslahi ya nchi?

    Katika kitu ambacho sikukielewa hapa Tanzania ni kipindi Rais Magufuli alipoingia madarakani wapinzani wakawa wanampinga kwa Kila anachokifanya, kufikia hatua ya Magufuli kuwachukia na sababu ilikua wanampinga maendeleo ya Kila kitu. Akishughulikia mafisadi wanamuita diktekta, mara katili...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: CCM dhaifu na upinzani dhaifu ni chanzo cha taifa lililojaa machawa

    Na Askofu Dkt. Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) CHADEMA/UPINZANI, ACHENI KUIONEA CCM. 1. Taifa hili bila CCM imara, litayumba sana. Sina hakika kama bado. 2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na kubaki salama. 3. CCM dhaifu...
Back
Top Bottom