ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania John Mrema CCM hatukutaki kimbilia NCCR ukapigwe vumbi

    Kama ulikua Una wazo la kuja Veggies Sisi kwenye list yetu tumeshajaza vijana jobless wenye matarajio ya vyeo vya ulaji. Nakusihi wahi NCCR kama Selasini. ACT usijaribu maana sio mvaa kobazi
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa jumuiya ya wazazi CCM: Madiwani rudini kwa wananchi muwaeleze mlichofanya

    Katibu wa jumuiya ya wazazi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Hilary Kipingi amewataka madiwani wote katika wilaya hiyo kuhakikisha wanaandaa mikutano kuwaeleza wananchi mambo waliyoyatimiza katika kipindi chao cha uongozi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Moto wa No Reform No Election waibabua CCM, Masasi yalipuka kwa Shangwe

    Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi. Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wengi ukipiga nao stori wanasema CCM bila polisi hawawezi kushinda uchaguzi

    Ukijaribu kupiga stori na watu mbali mbali kuhusu uchaguzi, wengi sana wanasema CCM bila kutumia polisi dola hawawezi kushinda uchaguzi mkuu. Wengi wanasema kabisa wapo CCM kimsalahi ila kiitikadi wengi ni vyama vya upinzani, pia ni mazingira yanawalazimisha kuunga mkono CCM. Wananchi wengi...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maajabu: Kweli huu ni Wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania. Angalia namna CCM na Mapandikizi yao yanavyokataliwa waziwazi na Wananchi!

    Tuache namna Wananchi wanavyoipokea vizuri kabisa kampeni ya No Reform No Election kwenye mikutano inayoendelea kuanzia Kanda ya Nyasa na sasa Kanda ya Kusini. Kuna namna Mungu anafanya jambo kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli, ulaghai na dhuluma za Chama cha Mapinduzi na Mapandikizi...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CCM Musoma Mjini wagomea maadhimisho ya Wazazi kwa sababu ya mvutano wa Kisiasa

    Baadhi ya Viongozi wa CCM wa Kata Matawi, pamoja na Wilaya wanadaiwa kugomea kushiriki maadhimisho ya Wiki ya Jumuia ya Wazazi ya Chama hicho, Jimbo la Musoma Mjini, kutokana na joto la kisiasa linalofukuta ndani ya chama hicho baina ya watia nia wa Ubunge pamoja na Mbunge aliyepo Madarakani...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Geita: Katibu Mwenezi awatetea vijana wanaotaka kugombea 2025, awataka viongozi kuacha kuwabeza

    Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Geita, Gabriel Nyasiru amewacharukia baadhi ya Viongozi na Wanachama wa Chama hicho kuacha tabia ya kulibeza kundi la Vijana kwa madai ya kutaka kuchukua Fomu za kugombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 huku wakidai baadhi yao...
  8. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania Utii wa CCM Vs Ujasiri wa CHADEMA

    Katika siasa za Tanzania, vyama vya CHADEMA na CCM vinaonekana kuwa na Mkazo na mitazamo tofauti kuhusu ujasiri na utii kutokana na malengo, misingi, na itikadi zao. CCM (Chama Cha Mapinduzi) kikiwa chama tawala, kimejikita zaidi katika dhana ya utii, huku CHADEMA (Chama cha Demokrasia na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Simiyu yaanza zoezi la ugawaji wa kadi za Kielektronik kwa wanachama wake

    Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu, Eva Michael Degeleki amezindua zoezi la ugawaji wa kadi za kielektroniki mkoani humo. Uzinduzi huo umefanyika leo April 6,2025 katika,Tawi la Old Maswa lililopo katika Kata ya Nyakabindi,Wilaya ya Bariadi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tofauti na CCM katiba ya Chadema haijataja dhumuni kuu la kisiasa ambalo kushinda uchaguzi na kuunda Serikali

    Hii ndio maana halisi ya tunachokiona sasa na tafsiri kwa nini chama hiki kazi yake ni kuzua taharuki badala ya kufanya siasa safi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  11. Bramo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Wamechanganyikiwa, Lissu & Heche kamatieni hapo hapo

    Ni Dhahiri kuwa CCM na Serikali yao wamechanganyikiwa na Moto wa No Reforms, No Election. CCM wanajua kuwa CDM ndio Chama kikuu cha Upinzania Tanzania na vyama vingine ni Takataka tu. CCM wanajua kuwa Jumuiya za Ki Matiafa ambazo ndio Mfadhili Mkubwa wa budget ya Serikali inatambua kuwa CDM...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya , Ofisi ya CAG, Tuelezeni Ukweli kuhusu NHIF, hii FAIDA ya NHIF imetokea wapi? CCM mpaka lini mtaendelea kua Waongo??.

    Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa. Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hata CCM wengine wapo mle sababu ya njaa lakini ukweli wanauona kuwa CCM imeshindwa kukidhi matarajio ya wengi

    1. HUU NDIO UJUMBE WANGU LEO. CCM WAPO ME KWA VILE KUNA PESA YA BURE YA SERIKALI, KUIBA KURA, KUGAWIANA VYEO ETC ETC 2. TUMAINI LILIKUWA KWA CHADEMA, SASA NA WAO WANAANZA MWELEKEO WA CCM 3. CHADEMA MNAANZA KUGOMBANIA TU VYEO, VIJISENTI! 4. CHADEMA MNAANZA KUSEMEZANA UONGO, KUCHAFUANA...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani anatoa pesa za kulipia ukumbi wa mkutano wa G55 na tukio kurushwa mubashara, CCM?

    Wakuu, CHADEMA kunafuka moshi, panatotoka, mvua inanyesha tunaona panapovuja. Lissu alipokuja waliona jamaa anatania na hoja zake, sasa wameona mwamba kashikilia msimamo wamekuwa kama wameamshwa kutoka usingizini, hawaelewi nini kinatokea, nyufa zinaanza kuonekana. Ukiangalia wote hao ni timu...
  15. H

    JamiiForums Tanzania CCM ISIISHI KWA KUKARIRI. MABADILIKO NI LAZIMA.

    Kuna hoja za msingi zilizoibuliwa na taasisi na watu mbalimbali kwa nyakati mbalimbali kuhusiana na shetia mbaya za uchaguzi na Tume isiyo huru ya uchaguzi. Tume ya jaji Nyalali mwaka 1991, ilitamka kuwa Tume ya uchaguzi siyo huru, sheria na kanuni za uchaguzi hazilindi uchaguzi kuwa huru na wa...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU dhidi ya CCM +Mbowe+Chawa wa Mbowe +Vyombo vya Usalama Nchini !!.Nyuma ya Lissu Kuna nguvu ya KIUNGU !!.

    Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana . Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua na MAWAA utatengenezwa kua Very powerful kuliko kitu chochote kile. Silaha pekee alizonazo LISSU...
  17. Mi mi

    JamiiForums Tanzania CHAMA CHA KIDEMOKRASIA KISIWE CHA KIDIKTETA KITAKUWA HAKINA TOFAUTI NA CCM

    Naomba kujuzwa mamlaka ya Lissu kutengua uongozi wa wanachama katika nyadhifa mbalimbali anapatia wapi kwa mujibu wa katiba ya chama ? Na je, chama kimetoa nafasi ya yeye kufanya hivyo pasipo wanachama kusikilizwa wala kujulishwa juu ya utenguzi wao umesababishwa na nini ?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mpina na Gwajima ondokeni CCM mapema

    Hawa ni watu wawili ambao wanaweza kuondoka CCM na maisha yao yakabaki kama yalivyo sasa. 1. Hawapendi yanauoendelea ndani ya CCM wala serikali 2. Vipato vyao havitegemei serikali Gwajima ni kama Ndesamburo ambaye biashara zake za utalii serikali ilishindwa kuzihujumu. Gwajima pesa yake...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kinachowatisha CCM kwenye No Reforms no Election

    CCM wanafahamu kwamba huo wito ukiitikiwa na wananchi, Idadi ya watakao jitokeza kupiga kura itakuwa ni sawa na zero, au Negligible kabisa, hivyo itawawaacha uchi kwa matokeo wanayopika kila siku. Kwa kufahamu hilo wana itaka CHADEMA ishiriki uchaguzi ili kutimiza ndoto za wizi wao. Nami...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Eric Shigongo aongoza maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa Utekelezaji wa Ilani ya CCM

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameongoza maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyotekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Back
Top Bottom