Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
GT
Niwapongeze Chadema kwa energy na ubunifu mkubwa.mara zote comfort.zote hudumaza ubongo ndicho kinachowapata CCM.
Hawafikiri kabisa nje ya box. NRNE walipaswa waione mapema kabisa na kujipanga.sasa naona wanakuja na tunatick sijui nani kawaamusha mchana huu aha 😆 😄 wakti NRNE inakaribia...
WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii!
Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja!
Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani!
Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
Hali ya kisiasa nchini imeendelea kuwa mbaya na demokrasia yetu inazidi kutoweka kwa kasi kubwa. Tumefika pahali vyama vya upinzani vinafutwa kienyeji hivi. Juzi tuliona CHADEMA wakinyimwa ruzuku, leo wamefungiwa kabisa kushiriki siasa!
Nafikiri ni wakati wa mfumo CCM kuondoka madarakani kwa...
Wasalaam.
Tuanaelekea kwenye uchaguzi mkuu October japo wengine wamepigwa bann. Lakini ccm kwenye ilani yao wameweka ajenda ya katiba mpya, hapa ina maana watapitisha kile kinachowapendeza maana litakua bunge la cha kimoja.
Wote ni mashuhuda tumeshuhudia bunge hili likiipongeza serikali kwa...
Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Masasi, Ndugu Edwin Stevin Kasembe, ameaga dunia ghafla katika nyumba yake, mtaa wa Masasi Mbovu, Masasi Mjini.
Kasembe, ambaye pia aliwahi kuwa Diwani mstaafu wa Kata ya Namwanga, amefariki akiwa nyumbani kwake, na kifo chake kimeacha simanzi...
Diwani wa Kata ya Kishapu Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Joel Ndettoson Juni 9,2025 ameendelea kuonyesha usimamizi mzuri ulioleta mabadiliko wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha Januari hadi Juni 2025 Kata ya Kishapu mbele ya...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ukifanyika Igunga, mkoani Tabora kama ilivyodaiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara...
Wanachopambania CHADEMA ya Lissu ni maslahi ya taifa letu.
Kwamba kuwe na katiba ambayo itatoa haki kwa Watanzania kuwa na viongozi ambao wao wanaona wanafaa kuwawakilisha.
Maana yake ni kutokuwa na Bunge amabalo litakuwa kama wakala serikali ambayo haina tija kwa wananchi.
Wao, wanaCCM...
Hawa ni watu ambao wengi wao wametoka familia duni kiuchumi na kielimu lakini kwa uweza wa Mungu wakainuliwa kupitia vipaji vyao. Ukiondoa vipaji walivyo navyo karibu wasanii wote hawana taaluma yoyote ya kuweza kuingiza kipato. Wanajipatia riziki kupitia vipaji. KUWALAUMU NA KUWASHAMBULIA KWA...
Tunatazama!
Bila kupoteza nafasi na muda. Nitaeleza kile ambacho Chadema wanakabiliana nacho kinachotokana na nyufa na weaknesses ambazo CCM na serikali wamekuwa wakizitumia mara kwa mara.
Utekaji na mauaji hiyo tutakemea kwa sababu sio sehemu ya mchezo na pia ni uvunjifu wa Haki za binadamu...
Unajua mambo mengine yanafanywa kwa maagizo ya serikali dhidi ya vyama vya upinzani, hususa Chadema, kwa njia ya kitoto sana. Tunajua katika suala la haki za msingi zinapotafutwa mahakamani, huwezi kumwadhibu mtu wakati kesi haijaisha.
Sasa tuje upande wa hawa wanachama wawili wa Zanzibar...
Kuelekea uchaguzi, kila chama kimetengeneza kauli mbiu yake. CHADEMA wanatembea na NO REFORMS, NO ELECTION. Hawajabadili kauli mbiu yao tangu waitangaze kwa Umma.
Kwa upande mwingine, chama tawala -CCM, timu ya uenezi na itikadi mpaka sasa imebuni kauli mbiu zaidi ya kumi na bado zimekosa...
Nimefikiria jinsi alivyotumika kuking'arisha chama kwa utunzi na nyimbo zake hasa katika nyakati ngumu za uchaguzi.
Huyu nilianza kumshuhudia tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Hata baada ya kufariki bado nyimbo zake zimetumika katika mikusanyiko ya chama na kwenye kampeni...
Wana CCM, ukweli ni huu
Magufuli alichokuwa akikifanya pale Ikulu, ni kutuonyesha Watanzania kwamba, CCM ndiyo chanzo cha matatizo yoote tuliyonayo Watanzania, ni nyinyi, alipoingia yeye, aliweza kufanya miradi miingi na kwa mpigo, Miaka yote mlikuwa wapi? Na sasa mnafanya nini?
Katoka tu...
Afrika kusini, Serikali ya Makabulu ilimkamata Mandela na kumfungulia Kesi ya Uhaini hapa Tanzania Serikali ya CCM imemkamata Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na kumfungulia kesi ya Uhaini.
Afrika kusini, Serikali ya Makabulu kupitia njia za kisheria walikifungia kufanya siasa Chama cha ANC...
Niliandika hapa, Na Sijui kwanini CCM mnashindwa kuzitambua Signals ambazo zinatumwa na Wanademokrasia Duniani.
Ipo Wazi, Dunia ya Ujamaa ilishindwa na HAITAKAA kushinda ,Iwe MCHINA kaungana na Urusi, Korea kaskazin, Iran, Venezuela, HAWA HAWAWEZI KUWASHINDA WANADEMOKRASIA.
Niliandika Uzi...
https://youtu.be/ObaBimC3_F4?si=lVSHh2jVaLXV67Ta
Huyu wakili inabidi ajiandae Kutekwa na kikosi kazi cha Abdul na Mchengerwa..
Hajui kuwa ni marufuku kusema haya maneno?
Mtazame, msikilize. Toa maoni yako
Ni wazi na ni dhahiri mtajivua uwajibikaji na ushiriki kwenye kuihujumu CHADEMA.. lakini sasa ni too much hata viziwi na vipofu wanajua
Je mwamko mkubwa wa tonetone
Je ni moto mkali wa NO REFORMS NO ELECTION?
Je ni nyomi zinazozidi kufurisha viwanja kwenye mikutano ya hadhara? Case study Dodoma...
Kama CCM haina hofu na CHADEMA hii vuta ni kuvute dhidi ya CHADEMA tusingeiona.
Mission CHAUMMA imefeli na sasa hivi hii sio CHAGADEMA ni CHADEMA.
Kama huna hofu na mtu asiye lolote kwa nini uhangaike?
Mara kamatakamata, mara muwapige mawe.
Operation Chaumma imefeli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.