Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
"Sasa nafikiri imefika muda ni wakati wa uchaguzi na mwaka wa uchaguzi na mimi nimewiwa kuzisikiliza sauti za watu wa Meru. Nimezisikiliza kisawasawa kwahiyo nimedhamiria na nimekuja kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya kiti cha ubunge Jimbo la Arumeru...
Kada wa chama cha mapinduzi ( CCM) Amandus Jordan Tembo, juni 28,2025 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Songea mjini katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwezi oktaba mwaka huu
Toronto mdau wa maendeleo hapa Songea mjini na mwanachama hai wa chama cha...
Hali ni ngumu sana ndani ya ccm kwenye vita ya kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea ubunge ma sidhani kama majeraha yatapona baada ya uchaguzi kama utakuwepo bila kujali kama watashinda ama la
Vita vyao wenyewe kwa wenyewe vinafunua siri nyingi sana za huko nyuma .. Ni faida ya baadae huko...
Mpaka leo hii kati ya wale waliochukua Fomu kuwania Ubunge kupitia CCM ambao ni wapya kabisa sijaona ambaye anafaa
Hivi kwanini CCM safari hii imeamua Kujidhalilisha hivi na kukubali hata kila mtu achukue fomu wachukue Fomu?
Wakati zoezi la uchukuaji na urudishaji fomu Chama cha Mapinduzi (CCM) likiendelea kada wa Chama hicho Yussuf Kaiza Makame nae amejitosa kuwania kiti cha Uwakilishi Jimbo la Mtambile Mkoa wa kusini Pemba.
Kabla ya hapo Kaiza amewahi kuwa Mkurugenzi wa Baraza la Mji Mkoani na kuitumikia vyema...
Wagombea kwa nafasi za ubunge na udiwani mchujo wake usizingatie nafasi ya kwanza kwenye kura za wajumbe.
Kwenye udiwani tafuteni watu kama viongozi wa kiroho, watendaji, wakuu wa shule na watu mashuhuri watawapatia wagombea sahihi.
Ubunge pia iwe hivyo hivyo.
Hata mgombea mwenye kura chache...
Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu!
Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!!
Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
0-0Wapambe wa demokrasia, kwenye Ilani ya CCM ya 2020–2025 kulikuwapo kipengele kilidhamiria kuunda ajira milioni 7 kwa vijana kupitia empowerment, training na access to low‑interest loans lakini hadi sasa, yawapo jobless wengi; young people wengi bado hawajafikiwa.
209-1Zaidi, kulikuwapo...
Dear comrades, nimewaita mara tatu hapo juu. Kuna watu wengi ni viongozi wazuri sana ila laki 5 sio rahisi sana kwao. Tusiwapoteze!!!.
Mmeweka siku chache sana na huku wengine bado wanajikusanya kusaka laki 5 za fomu za ubunge.
Comrades Mheshimiwa Rais Samia, Dr Nchimbi, CPA Makala na Mongela...
Mambo vp wakuu..
Kuna hili linaloendelea nchini la uchukuaji wa fomu za kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM..
Kwa sisi content creators tumeshtukia mchongo na tumegundua ni sehemu ya contents za kufanya watu wafatilie yanayoendelea kwenye chama..
Kwa lugha ya mitaani tunasema chama kimetafuta...
1. Inatilia shaka uhalali wa uchaguzi
Kauli mbiu hii inaashiria kuwa mazingira ya uchaguzi siyo huru wala ya haki bila marekebisho ya kisiasa na kisheria. Hii ni changamoto kubwa kwa CCM ambayo ndiyo chama tawala na huhesabiwa kuwa mratibu mkuu wa mazingira ya kisiasa.
2. Inahamasisha...
Siku chache baada ya kutangaza kuhamia Chama Cha Mapinduzi, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Sophia Mwakagenda leo Juni 29, 2025 amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Rungwe kupitia CCM.
Pia soma
Pre GE2025 - Mbunge Sophia Mwakagenda atangaza...
Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana .
Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa.
Maazimio yalikuwa.
-Vyama...
Hawa wanaojiita Makada wengi wao ni incompetent kuanzia Mahera mpaka shilole. Taifa linalokataa vyama vya upinzani ni taifa mfu na mwendo wa maendeleo yake ni wa kinyumenyume.
Huwezi ukapasua kioo kinachoonesha tasirwa Yako kwa sababu tu kimeonyesha kuwa una kovu. Badala ya kutibu kovu wewe...
Nimemuuliza Grok uwezekano wa CHADEMA kuzuia Uchaguzi. Imejibu hizo ni ndoto za mchana. Nikauliza tena iwapo CHADEMA Lissu imeamua kupita ktk hoja cha Chaumma kuwa Kususia Uchaguzi haukuwa mkakati wa CHADEMA bali ilikuwa ni kauli mbiu tu ya kumtisha Kasongo (ngiri) akiwa ndani ya Shimo. Akajibu...
Mdau wa maendeleo jimbo la Wanging'ombe johnlongolela mara baada ya kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM, amesema ana imani chama chake kitatenda haki.
Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, Abdallah Mtinika amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Temeke.
Mtinika amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Temeke, Sayi Samba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.