Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Huu ndio ukweli na Mr. Slow Slow alikulia timing vizuri sana na ukaingia kwenye mtego.
Kama ulishindwa kukaza kutokana na pressure iliokuwepo au kutokana na dalili mbaya ulioiona, basi ujue kuahirisha ndio lilikuwa kosa kubwa zaidi na salama yako ni kuachia ngazi tu.
NB: Mungu wa Lissu...
Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais.
Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani?
Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe?
Wanaionea chadema hata inapokuwa haina...
GT
Kati ya watu ambao waliiokoa CCM kimawazo hasa siku za hivi karibuni alikuwa ni hayati Ben Mkapa kikwete ilikuwa imeshamshinda.
Ujio wa Magufuli ulirudisha heshima na nguvu ya chama lakini kikwete hana nguvu hiyo ni mstaafu lakini ana makundi. CCM ina bahati.mbaya sana Kuwa na mstaafu wa...
Ni wazi kwamba Chama cha Mapinduzi kina la kujibu kuhusu hoja alizotoa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole na hasa suala la lkumpitisha mgombea urais wa chama hicho, Rais Samia Suuluhu Hassan.
Katika barua yake aliyotangaza kujiuzuku Julai 13 na baadaye mkutano wake na...
Ikumbukwe kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2021 alipatikana kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya john pombe magufuli kufariki kwa maana hiyo umma wa watanzania unajuwa wazi katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ilipaswa ashindanishwe na wenzake...
Mbunge mmoja Mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amedaiwa kugawa pikipiki kwa baadhi ya viongozi wa kata wa chama hicho ikiwa ni kishawishi cha kumpigia kura kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge.
Kitendo hicho kimelalamikiwa vikali na watia nia wenzake katika jimbo lake wakidai...
Tunashuhudia Sekretariet ya CCM ikiendelea na uchambuzi wa wagombea Ubunge na Madiwani. Naishauri Sekretariet ifanye kazi hii kwa umaakini mkubwa kwa kuangalia CV ya kila mgombea.
Katika Bunge lililopita baadhi ya Wabunge walidanganya wasifu wao yaani CV na wengine kudiriki kusema kuwa...
Vikundi vinavyojifanya washirika wa CCM na kushiriki katika vitendo vya uhalifu dhidi ya jamii visipodhibitiwa na polisi, wasilaumu jamii itakapochukua hatua za kujilinda. Kila jambo lina kikomo chake.
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
Hii nimeipenda sana, na itatumika kama reference siku za mbeleni, sijui Msajili wa vyama atachomoka vipi.
Jaji Mtungi amekuwa mwiba mkali kwa kukandamiza CHADEMA, amewafanyia ushetani mkubwa eti katiba yao haikufatwa.
Mara paa kimewakuta CCM ambapo ilimpitisha Rais Samia kiharamu bila kufata...
TUMECHOKA! Kwa herufi kubwa kabisa. Tumechoka kunyanyaswa, tumechoka kuonewa, tumechoka kuishi kama watumwa kwenye nchi yetu wenyewe ilhali tunaambiwa tuna Uhuru wa kuishi, kuongea, na kuamua. Kwani ninyi wa CCM, mko made of what? Si ni binadamu kama sisi? Au damu yenu ni dhahabu na yetu ni...
1 Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM?
Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine?
2005
Top 3 waliochujwa
Jakaya Mrisho Kikwete
Dr Salim Ahmed Salim
Prof Mark James Mwandosya
Wagombea wengine
Frederick Tluway Sumaye
John Samwel Malecela
Getrude Mongela
Patrick Chokala
Joseph Sinde Warioba
Dr Ali Mohamed Shein
Idd Simba
Dr Abdallah Kigoda
Dr William Shija
Source
2015...
CCM OYEEEEEE
👉OYEEEEEEEEE
CCM SAFIIIIIIIIII
SAAAAFIIIIIIIIIIIII
Ukweli mtupu ni kwamba anae weza kuitoa CCM madarakani ni Mungu pekeee
CCM mitano tena SAMIA SULUHU HASSAN MITANO TENA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.