ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Kweli CCM mtawaondoa Wachangamsha Bunge Akina Mpina, Bunge lijalo litakuwa Mithili ya Kanisa la Mwamposa

    Kama fununu kuwa Mpina kaondolewa asigombee ubunge,Bunge lijalo litakuwa la Watoa pongezi kwa viongozi kama waimba mapambia makanisani. CCM tukumbuke kuwa wananchi wanaliona bunge la Sasa ni afadhali mabunge ya enzi za Chama kimoja. Enzi hizo wabunge walikuwa machachali kama alivyo Mpina...
  2. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nani kaliwa kichwa huko CCM?

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza kama una taarifa ya mgombea aliyeliwa kichwa katika mchujo weka jina!. Kumeanza kuchemka
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaitegemea CCM Kuwaletea viongozi bora

    Hilo ni jukumu ambalo wananchi kutoka kata na majimbo yote wameikabidhi CCM kuhakikisha kuwa viongozi wenye tija,weledi,hofu ya Mungu na kaliba inayofanania wanapitishwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi huu wa 2025. Tuwape haki hii!!Tunajionea wanavyojitokeza kusema!
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dorothy Semu: CCM hawajafanya jitihada ili uchaguzi uwe wa huru

    "Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada zozote kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na kuaminika. Sisi tunawaambia kuwa tumejipanga. Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na mikakati." Ameeleza haya katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Same Mashariki Mkoani...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Hatuwezi kuwaondoa CCM kwa kubadili tume ya uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema hakuna maana ya kupoteza muda kwenye mjadala wa kutegemea CCM iandae mazingira ya haki yatakayowawezesha wapinzani kushika dola, kwa kuwa haijawahi kuwa hulka ya chama hicho tawala kufanya hivyo. Akihutubia mamia ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Did CHADEMA really say No Reforms No Elections, or No Reforms No Erection, implying they will strive to make the ruling party politically impotent?

    Tangu Lissu asemekane kuja na msimamo wa Chadema wa No Reforms No Elections, nimeona CCM wakihaha huku na huku kujaribu kupinga hili kwa nguvu zote. Hata hivyo, taratibu Watanzania wameanza kukichukia chama tawala cha CCM kutokana na matendo yake yanayozidi kufunuliwa kutokana na msimamo huu wa...
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Namshauri Lissu akitoka aachane na siasa. Aungane na CCM ale pesa umri umeenda

    Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi. Kinachonifurahisha...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiza Kiyeye: CCM wamepitisha mafao kwa wake wa viongozi wakati watu wanateseka

    Wakuu, ivi kuna kipindi tuliambiwa tupo uchumi wa kati tulifikaje? kwa sera hizi hizi au kuna zingine mpya ======= Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mkoa wa Kigoma, Kiza Mayeye ameshangazwa na hali duni ya uchumi ilhali bungeni wabunge wamepitisha sheria ya mafao kwa wake wa Viongozi wakuu.
  9. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Msichokijua kuhusu uchaguzi na ushindi wa Chama Cha Mapinduzi CCM

    Ninatamani siku moja tupate mabadiliko lakini hilo haliwezekani kwa miaka ya hivi karibuni. Hizi ndizo sababu na ukweli unaotakiwa kuufahamu Ukweli no 1. CCM huwa wanashinda kwa uhalali kiti cha Raisi, kura nyingi wanazipata kwa jamii ziishizo vijijini Sababu Katika utafutaji wangu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli, kampeni za kimya kimya wafanyazo ccm zimetokana na operation ya NRNE?

    Hellow! Kwamba kwa kuwa bila CHADEMA kutokea uwanjani na kugomea mechi kuchezwa bila Reforms ,hapatokuwa na hamasa ya mchezo, hivyo maamuzi ni kufanya mambo kimya kimya? Kwamba kwa kuwa mpinzani Mkuu amegomea mechi isifanyike, wameamua kufanya hekaheka za kimya kimya? Kwamba zoezi la...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jessica Mshama: CCM inajivunia kuwaamini vijana katika uongozi

    Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ndg. Jessica Mshama, amesema kuwa CCM inatambua na kuthamini uwezo wa vijana katika uongozi na ndiyo maana imekuwa mstari wa mbele kuwapa nafasi za juu za kiuongozi. Akizungumza katika...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukimwona mtu kwa sasa yuko jukwaani kujinadi au kukinadi chama chake kwa uhuru huyo ni product ya CCM

    Nianze kwa kukemea watu mnaorushia hotuba sijui za Rungwe, Zitto, Madeleka n.k tusipotezeane muda. Tunajua CCM hawana ustahimilivu wa kuwavumilia wapinzani wakijinadi. Hii ni game, watachezewa wajinga pekee
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM haipo mioyoni mwa Watanzania kama ilivyo CHADEMA. Hata kama itashinda uchaguzi ni sababu ya mikakati wanayoitumia kila chaguzi

    Tembelea vijiwe vyote, iwe ni baa, kwa mama ntilie, kwa wavuvi hata kwq mafundi viatu utapata huu ukweli. CCM haikubaliki, kila kundi la watanzania haliridhiki na namna CCM inqvyowatumikia tangu tumepata uhuru. Watu hawana uhakika hata wa mlo mmoja! Kundi la machawa na wanaCCM wachache ndio...
  14. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Yaani kuitoa CCM madarakani ni kazi ngumu sana, labda CCM ibadilike yenyewe

    Yaani kama wewe ni kijana unataka MAENDELEO YA TAIFA LA TANZANIA Ni Bora uingie kwenye siasa pitia CCM leta changes lakini ukasema ulete harakati za no election unachelewa mnoooo
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwalimu: CCM wameua zao la karafuu Pemba na kusababisha kudhoofisha msingi wa kiuchumi wa wakazi

    “Mungu alikuwa na kusudi lake kuipatia Pemba karafuu. Na kusudi hilo lilionekana miaka ya 70 na 80, utajiri wa watu wa Pemba ulivyotokana na karafuu. CCM walipoona watu wa Pemba wanafaidi na kujitegemea kiuchumi, wakaanza kulifisidi zao la karafuu,” aMEsema Mwalimu. Amedai kuwa hatua hiyo ya...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua CCM ni matapeli ziangalie Simba na Yanga wanavyozitumia

    Mo wakati anaingia Simba alitoka kustaafu kuwa Mbunge wa CCM uko Singida Akaja Simba akatudanganya Simba itaichukua champions ligi Akajaza wahuni wa CCM kwenye timu Kama Mangungo na Try Again. Kibaya zaidi kajenga uwanja na kuuita jina lake badala ya jina la club Katiba ikapigwa kapuni na...
  17. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania GE2025 Esther Matiko ni mwanachama wa CCM tokea mwaka 2022, alikuwa bungeni kwa tiketi ipi?

    Kwa yanayofanyika ndani ya nchi kwa sahivi ni aibu sana Copy and paste CCM WAMWANIKA MATIKO Nimesogezewa na mwanaCCM ambaye kachoka kuliko sisi Kaona isiwe shida katoa anachodai ni ushahidi wa usajili wa Esther MatikoDuh! Kumbe Matiko yuko Bungeni kwa kinga ya Tulia Ackson na Mahakama kama...
  18. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM tunavyojimaliza wenyewe ndani kwa ndani!

    Nimefanya utafiti kwa mikoa sita haraka haraka kwa kusafiri mwenyewe na mikoa mingine 15 kwa kufanya mawasiliano ya simu. Jumla nimejitahidi kuwafikia na kuwasiliana na wadau takribani katika wilaya 57 ya mikoa hiyo na kugundua jambo moja baya sana kwa CCM. Uwezekano mkubwa asilimia zaidi ya...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukataji holela majina ya wagombea,waleta Vurugu za Kisiasa Moshi Mjini: Kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya CCM yavunja kwa makusudi kanuni ya 14

    Katika hali ya kutatanisha iliyojitokeza mjini Moshi, kikao cha kamati ya siasa ya Wilaya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezua maswali mengi kuhusu uwazi na uaminifu wa viongozi wa chama. Kanuni ya 14 ya chama, inayosisitiza umuhimu wa kuheshimiwa kwa vikao vya ndani na kutokutoa Siri za teuzi...
  20. ofisa

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Morogoro kama mnamuogopa Abood mpeni ubunge wa kuteuliwa (viti maalum)

    Wananchi wamemchoka Mh Abood na misaada yake ya kuzika watu.kuna watu hutafuta clip ya Mbunge wao anachochangia bungeni hawakioni. Tunajua wajumbe wakipitisha jina ameshinda kwa vile ni CCM,Sasa kwa mimi nashauri wamlete mtu mwengine atupambanie kwenye barabara za lami mjini, mjini lami...
Back
Top Bottom