ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dhambi waliyoamua kuifanya baadhi ya waliokuwa viongozi wa CHADEMA wakishirikiana na CCM kumtoa sadaka ya mateso Lissu, itaamua maisha yao badaye

    Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Taswira ya serikali ya CCM; utekaji, uuaji, kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa

    Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama kweli haya ni mapokezi halali ya Samia Simiyu CCM inaogopa nini kuicha Tume ya uchaguzi kuwa huru?

    GT Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%. Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyikiti wa UVCCM Mohamed Ali Kawaida: Ushindi wa CCM ni sawa na Kifo

    Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Walimu Makada wa CCM wamempatia Tuzo ya utendaji uliotukuka Mbunge Aeshi Hilaly

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly amekabidhiwa tuzo ya utendaji uliotukuka na kuendeleza michezo, tuzo ambazo zimeandaliwa na Walimu Makada wa CCM Manispaa ya Sumbawanga. Mbunge Aeshi amepokea tuzo hizo alizokabidhiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa, Silafu Maufi ikiwa ni...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baraza la Wazazi CCM, Kahama: Midoli inadhalilisha Wanawake, inachochea mmonyoko wa maadili katika Jamii

    Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga limeishauri Serikali kutoa mwongozo wa namna bora ya matangazo ya biashara za nguo za ndani za wanawake kwa kutumia midoli ambayo imetajwa kuchochea mmonyoko wa maadili katika Jamii. Ushauri huo umetolewa na Baadhi...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko mkubwa kwa Wanachama wa CCM . Makundi yameibuka na msuguano mkubwa juu ya kupata wagombea ubunge na udiwani

    Sasa hivi kila jimbo la uchaguzi wanaCCM wanavutana nani awe Mbunge wao. Vijembe na mikwaruzano imeanza kutokea WanaCCM watauana safari hii sababu ya ubunge na udiwani.
  8. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu akiri anawaogopa CCM na vyombo vya dola watawaibia kura zao

    Wakati akijibu alipoulizwa na mtumiaji mmoja wa X kuhusu operesheni yao ya #lindakura kwamba wanaogopa nani ataiiba alijibu; "CCM na vyombo vya dola! Oktoba"
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tulia na CCM kama mna busara na hamjajisahau sana mnapaswa kujiuliza kwa nini Watanzania wanafurahia uamuzi wa Mahakama juu ya kuwashitaki viongozi

    Hivi juzi Mahakama ilitoa uamuzi kuhusi sheria iliyopitishwa na Bunge kuweka kinga kwa baadhi ya viongozi kushitakiwa kutokana na mambo wanayotenda wakiwa viongozi wa Taifa. Uamuzi huu wa Mahakama umewafanya Watanzania wengi kushangilia sana. Sasa jambo la kushangaza ni pale Spika wa Bunge...
  10. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya za kupata mgombea wa ubunge CCM ni kilio na kusaga meno kwa mawaziri na wabunge waliokaa bungeni muda mrefu

    Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe. Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania chanzo kikuu cha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye chaguzi ni maendeleo yanayo onekana kwa wanainchi

    Na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ndio hasa dira na formula inayotumika kuwaletea waTanzania maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Tabia ya CCM kuahidi wananchi maendeleo kwa maneno na kutekeleza ahadi hizo kwa vitendo, weledi na uaminifu mkubwa, kumewajengea imani kubwa waTanzania na...
  12. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Uswahiba baina ya Yanga na CCM unatuathiri mnoo sisi wana Simba

    Juhudi zozote za Simba kutaka kuipiku Yanga huenda zikawa ni mbio za sakafuni kwa sababu tu ya uswahiba uliopo baina Yanga na CCM. Kuna namna mbele ya macho ya watawala wa kiCCM inaonekana ni fedheha kubwa pale ambapo Yanga inapozidiwa kimpira na Simba. Kiburi chote cha Yanga kususia derby ya...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Debora Tluway: Jimbo la Nsimbo CCM na Jumuiya Zake Tuko Salama

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea kuendelea kujiandaa Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuhakikisha wanakipa Chama Cha Mapinduzi kura za kishindo. Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania TRA na Tume ya Madini tunaomba uthibitisho/ushahidi wa kodi ya Bilion 42 iliyolipwa na Mgodi wa Makaa ya Mawe wa CCM uliopo Mkoani Ruvuma.

    Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali iko Kimya, Watanzania walioko IRAN na ISRAEL hawajui Hatima yao!!

    Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!! Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!. Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema". Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanawapenda Wapalestina na waisraeli kuliko watanzania wenzao?

    Kuna watu wakisikia Mpalestina/muisrael kauawa huwa wanatamani kulipiza kisasi papo hapo. Lakini watanzania hao hao kina Josephat Gwajima ama Sheikh Ponda Issa Ponda wanapotoa orodha ya watu waliotekwa, kuuawa au kupotea, huoni wakiwa na hasira kama hizo. Ina maana watanzania wanathamini zaidi...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama ambavyo Mrusi na Mchina wameshindwa kumsaidia Mu-Iran, Vivo hivo hawataisaidia CCM baada ya Marekan na Ulaya Kutoutambua Uchaguzi 2025

    CCM endeleeni kushupaza Shingo !! Mtaelewa tu hapo Baadae !!.
  18. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Mnaomuelewa mwenezi wa CCM mnisaidie

    Huwa navutika kumfuatilia kila anapofanya mkutano wa kisiasa, matokeo yake naishia kuwa dissapointed, Hauishi mkutano hajataja Heche, CHADEMA n.k Wataalamu huko CCM msaidieni huyu mzee wetu Wengine hatuna vyama vya siasa tunajitahidi kufatilia sera zenu ili tuone kama tunaweza kuwaunga mkono.
  19. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Nani ana akili kuliko mwenzake? Huyu anayeiunga mkono ccm yenye nguvu madarakani au yule anayeishabikia Chadema yenye nguvu mtaani.

    Dj tupe mziki mzuri kutoka Studio...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema hata akijiunga CCM hawezi kupata nafasi yoyote kwa sababu hana elimu inayoeleweka

    Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki. Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
Back
Top Bottom