ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ni nani alichomeka kipengele cha katiba mpya kwenye ilani ya CCM wakati ni wazi kwamba hawaitaki Wala hawana mpango nayo!?

    Hili jambo linatafakarisha sana, kwa kawaida CCM wana kila kitu kwa namna ambayo kitu chochote toka kwa yeyote ila kutimiza wanachokitaka. Inavyoonekana sio shida wala haja ya ccm kama chama kuruhusu wananchi wajitungie katiba Sasa kwa nn kusumbuka kuiweka kwenye kitu kinaitwa rasimu? Ni kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Basata yapunguza tozo kwa wasanii. Hapa sasa wataendelea kutumbuiza kwenye mikutano ya CCM

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza rasmi marekebisho ya kanuni yaliyopunguza kwa kiasi kikubwa utitiri wa tozo na ada ambazo zimekuwa zikitozwa wasanii na wadau wa sekta ya sanaa nchini kwa mwaka, ikiwa ni utekelezaji wa mabadiliko yaliyofanywa na Bunge ili kuimarisha usimamizi na...
  3. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Profesa Palamagamba Kabudi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) nchini Tanzania, tangu 02 April 2026 KIhistoria, Tanzania ni Taifa linalojumuisha dola mbili za Tanganyika na Zanzibar, tangu mwaka 1964. Jumla ya eneo la Tanzania ni kilomita za mraba...
  4. JamiiForums Tanzania Katiba na Sheria za Nchi hii zikibadilishwa/kufanyiwa mabadiliko msitegemee familia za wana ccm kua Tanzania.

    Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani... Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje. Sikia nikwambie siku sheria zikifanyiwa mabadiliko, katiba ikawa na nguvu kiongozi mkuu wa nchi akaweza kushitakiwa, na mihili...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi CCM inavyopeleka nchi ovyo ni rahisi ISS,al Qaeda ,M23 na makundi mengine kutumia mwanya huu kwa tanzania.

    Chizi hakiwa sio ndugu yako unaweza kufurahi. Mwenendo wa CCM na genge lake kupitia serikali imejitengenezea mwanywa au nyufa kubwa na rahisi kwa makundi ambayo utumia mwanya huu pale serikali zilizo kosa dira na giza mbele. Kumbuka haya makundi kama ISS ,al Qaeda ujitokeza sehemu ambapo...
  6. JamiiForums Tanzania Mch. Msigwa: Jeshi ni la Wananchi, mmeumbuka kama wachawi. Yule kiongozi wa CCM amesema maaskari wote waliosimama hapa, eti ni mali ya CCM

    Mchungaji Peter Msigwa amesema mfumo wa vyama vingi unahitaji kuwepo kwa uhuru wa mawazo na nafasi ya wananchi kuikosoa serikali bila kuhusishwa na usaliti au mapinduzi. Akizungumza katika Mkutano, Msigwa amedai kuwa kuna viongozi wanaona kuikosoa CCM ni sawa na kukosa uzalendo, huku akisema...
  7. R

    JamiiForums Tanzania John Heche: CCM makapuku hamna tofauti na House Negro as opposed to Field Negro enzi za utumwa huko Marekani

    Akina Chacha and Co.Ltd nyinyi ni kapuku tu. Hamna tofauti na watumwa huko Marekani ambapo House Negro walijiona bora kuliko Field Negro. Wote nyie CCM ni watumwa wa cartel ya CCM. Mnatupiwa makombo wakati wao wanajenga Dubai. Msikilize Heche
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kila kitu ni mali ya CCM

    Vyoteeeeeee
  9. JamiiForums Tanzania Nimemiss mikutano ya ccm! Ile ya kusomba watu kwa magari ya mizigo

    Picha mbalimbali zikionesha matukio katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 04, Oktoba 2026 Serengeti, mkoani Mara. Mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. John Heche
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge ataka Wanaompinga Samia CCM Washughulikiwe

    Ataka Dotto Magari aachiwe kazi ya kumsafisha Samia Kenya. https://youtube.com/shorts/ON_WpZu8iGA?si=GzigTRdyde9LV3_4
  11. JamiiForums Tanzania Kamati ya Maadili CCM : Hili la tapeli Wicknell Chivayo mnafunika kombe?

    Ni jambo la kudikitisha. Licha ya Ikulu kutoa samaam za rambirambi hivi karibuni, lakini huyu Wicknell Chivali wa Zimbabwe amekuja julikana kama tapeli na fisadi mbeba hela za viongozi wezi wa Afrika. Alifikaje Ikulu? Ana biashara gani Ikulu? Analipa kodi? Amefikaje hadi kwa Rais mama Samia...
  12. JamiiForums Tanzania Tajiri ninathibisha, CCM haina nia ya dhati ya kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo. Msikiti wa bilioni 21 unaojengwa na Makonda hauna tija.

    CCM haina nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo Watanzania. Msikiti wa bilioni 21 una faida gani kiuchumi na well being kwa individuals, na society . Hawa viongozi walafi na walevi wa madaraka, wanawaona Watanzania kama their source of personal income. Juzi tumeona kaboti ka bilioni moja...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tangu lini watawala wa ccm wakawa na uchungu na wananchi! EL NINO kwao ni fursa kubwa ya kupiga hela na most likely "zimeshapigwa".

    Bilioni 700 ni pesa zimeshagawanywa ...ni fursa...vikao nadhani vimeshakula robo! ☺️ ☺️:CarltonPls: Time will tell!
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Eti Mbowe Freeman kahamia CCM?

    Mwenye uhakika atuwekee hapa. Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa This would be the worst day of my life in politics
  15. JamiiForums Tanzania JK huwa ni muongo,au CCM ndio waongo!

    Msikilize hadi mwisho!
  16. JamiiForums Tanzania CCM imejikita sana kwenye phone farming kwenye mitandao ya kijamii kujisafisha na kushambulia watu.

    Habarini wana JF.Hii phone farming nahisi imeshazungumzwa ila kutokana na umaskini na matatizo ambayo CCM inatupelekea kuwa gizani ndio wao wanatumia pesa zetu kila mwenye wazo la kusaidia CCM. Nimejaribu kufatilia kwenye mitandao ya kijamii mbali mbali unakuta account inapost jambo kukashifu...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaomba mtupazie sauti, Watumishi wa Umma ngazi ya Kata, tunateswa na Madiwani, Watendaji na Uongozi wa CCM

    Tumeajiriwa kama wataalamu wa Kata, lakini baadhi ya Watendaji wa Kata wanatulazimisha kubaki ofisini na kufanya majukumu ambayo kimsingi ni yao. Hali hii inaturudisha nyuma kimaadili na kiutendaji. Tunachangishwa michango ya chama, wakati kwa maadili ya utumishi wa umma, wataalamu tunapaswa...
  18. JamiiForums Tanzania Vita ya kuwania madaraka ya urais 2030 ndani ya CCM inaweza kuleta anguko lake

    Kwa mara ya kwanza katika historia CCM itaelekea katika uchaguzi wa urais mwaka 2030 bila kuwa na mgombea yeyote maarufu, mwenye ushawawishi au anayeweza kubebwa au kujificha chini ya kanuni za utamaduni wa chama wa "muendelezo" wa Rais aliye madarakani. Hii inaweza kuwa fursa kubwa sana ya...
  19. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rasmi Freeman Mbowe ametimkia zake Chama cha mapinduzi (CCM)

    Kupitia mitandao ya kijamii, kumekuwepo taarifa inayodai kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, amejiunga rasmi Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chapisho hilo linadai: “Rasmi Freeman Mbowe ametimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM).” Chapisho lina ujumbe ufuatao:Kwa muda mrefu...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania 1995 Kolimba; CCM imepoteza dira, 2026 Nchimbi; Tupambane tupate katiba mpya.

    CCM wangemsikiliza Horace Kolimba kisingekuwa hapa kilipo, msipomsikiliza Nchimbi mnaenda kupotea mazima. 1995, Horace Kolimba alisema "CCM imepoteza dira", 1997 aliitwa kujieleza Chimwaga, kabla hajatoa maelezo yake mbele ya kikao hicho, akafariki ghafla kwa tatizo la kupumua. 2015...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…