🚗 CY3001 Car Diagnostic Scanner
Fanya diagnosis ya gari lako mwenyewe popote ulipo
✔ Soma makosa ya Engine (Check Engine) haraka
✔ Angalia Live Data ya gari (RPM, Joto, Sensor n.k)
✔ Futa Check Engine bila kwenda garage
✔ Tambua tatizo kabla halijawa kubwa
✔ Inafanya kazi magari mengi (OBD2)
📦...
March 22, 2026
The mysterious disappearance of former Cabinet Secretary and Jubilee Party Secretary-General Raphael Tuju has sent shockwaves through the country. Tuju, along with his driver Steve Mwanga, vanished on Saturday afternoon under circumstances pointing to a suspected abduction. With...
Following the eviction of vendors off Kampala streets, the state minister for works and transport Mr Musa Ecweru in his remarks said Government has turned the operation to car dealers operating along road reserves.
Government through the ministry of works and transport issues a directive...
Habari Wana JF.
Mimi nikijana wa miaka 23 nilipambana kutafta mtaji na Sasa nimepata million nne
My plan nikufungua car wash ndogo.
Mkoa niliopo nimefanya uchunguzi wa pressure washer machine nimekutana na wanaotumia za LUTIAN na EASY POWER nimekuja mbele yenu wakubwa naombeni mnishauri kati ya...
🚗✨ CAR MINI VACUUM CLEANER (2 IN 1) ✨🚗
🧹 Usafi wa kina – hakuna kona itakayobaki chafu!
✔️ Inavuta vumbi, nywele, chembe za chakula & uchafu wa aina zote
✔️ Dry & Wet suction – hata maji si tatizo
✔️ Ina brashi maalum kwa sehemu ngumu kufika
✔️ Inafaa kwa:
• Milango ya gari
• Dashboard &...
Karibuni kwenye uzi wa kujadili mpambano kati ya magari yanayofanana kigezo na kimuundo. Leo ni 2011 ford crown victoria vs 2011 toyota crown.2011 toyota crown
Wakuu, leo tudiscuss kuhusu mfumo mzima wa suspension.
Kwa uzoefu wangu, wengi tukisikia suspension tunachojua ni “shocks” peke yake, kumbe ni mfumo mkubwa unaojumuisha vitu zaidi ya kumi vinavyofanya gari lisitetemeke, liwe stable barabarani na kuzuia vibration isiingie ndani ya cabin...
Wakuu, kwema?
Leo tuongelee hizi Spark plug na coils ambavyo ni vitu vya muhimu sana kwenye gari, na ndiyo zinazoamua kama engine yako irun smooth au rough wakati wa utendaji wa kazi.
Hivi viwili visipobadirishwa kwa wakati, gari linaanza kumiss (ile milio ya puh puh puh), rough hidle...
Wakuu, leo tuongelee machujio ya hewa na mafuta (air filters na fuel filters). Nayo nayaita mwana mpotevu kwasababu kuna watu hawabadirishi miaka nenda miaka rudi.
ENGINE AIR FILTER
Engine air filter inachuja hewa inayoingia kwenye injini kabla ya combustion, ikizuia dust, michanga, pollen na...
Power Steering Fluid na Differential Fluid zipo kwenye kundi la fluids ambazo uwa zinapotezewa sana wakati wa kufanya service, ilihali gharama zake ni ndogo kuzidi ata faini moja ya trafiki.
POWER STEERING FLUID
Power steering fluid inasaidis pampu ya steering kufanya kazi vizuri, kwa kufanya...
Wakuu, kwema?
Wengi tunabadirisha engine oil kila mara, lakini tunasahau fluids zingine muhimu sana, mfano coolants na brake fluids.
Leo kwenye muendelezo wetu wa service, tuzungumzie coolant na brake fluid ambazo zikipuuzwa zinaweza kuharibu engine au system ya breki au zikakupa majanga...
Wakuu. Poleni na kila kitu.
Nimeona leo tuwe na open discussion ya engine na gearbox oil service. Kama kuna mtu ana ujuzi na uzoefu wa aina aliyitumia na mabadiriko aliyoyaona inaweza kua msaada kwa mwingine.
Kwa kuanza, mi nitatoa flashback kidogo na experience yangu ndogo kwenye hivyo...
Hizi chuma za mwendo wa ngiri huwa zinafanyiwa majaribio katika viwanja maarufu viitwavyo Automative Papenburg (ATP) nchini Ujerumani.
Hapo ndipo mjadala wa chuma ipi yenye kasi zaidi duniani humalizwa. Vyuma hupigishwa lap ya maana kupima km/hr au mph na acceleration ya engine in time.
Katika...
Brazilian Couple Marcone da Silva Cardoso and Adriana Machado Ribeiro Die After Car Plunges 400m Off Cliff During Alleged Intimate Moment
Tragedy struck in Venda Nova do Imigrante, south-eastern Brazil, when a couple lost their lives after their car reportedly plunged 400 metres off a cliff...
Habari ndugu wanajamii,
Katika kuhakikisha huduma bora na kuendeleza mahusiano na wateja wetu waaminifu, Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwajulisha kuhusu ofa maalum kwa wateja wote waliowahi kupata huduma kutoka kwetu!
📢 Ndiyo! Tunatoa Free Car Inspection na Engine Diagnosis bila...
Habari wakuu wa JamiiForums,
Kwa heshima na taadhima, napenda kushiriki nanyi taarifa njema kwa wale wote wenye magari na ambao wamewahi kupata huduma kutoka Jerry Spare Parts & Services, kampuni inayopatikana Makumbusho, Dar es Salaam. Kama sehemu ya shukrani kwa wateja wao waaminifu, kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.