captain

Captain is a title for the commander of a military unit, the commander of a ship, aeroplane, spacecraft, or other vessel, or the commander of a port, fire department or police department, election precinct, etc. The captain is a military rank in armies, navies, Public Health Service, coast guards, etc., typically at the level of an officer commanding a company or battalion of infantry, a ship, or a battery of artillery, or similar distinct unit. The terms also may be used as an informal or honorary title for persons in similar commanding roles.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Kumbe CDF alikubali ombi la barua ya Captain Tesha na wenzake

    https://youtu.be/nirLti-Vxt0?si=a_hn41CAuu1SUE0m
  2. Hance Mtanashati

    Captain Tesha awaacha watanzania kwenye mataa

    Jamaa mbwe mbwe zote zile na kuahidi atarudi kabla ya uchaguzi kutoa tamko lakini mpaka sasa ameufyata kimya. Sasa tumueleweje? Je naye amelambishwa asali? Kapewa onyo na wakubwa wake wa kazi? Kabadili maamuzi kwa mapenzi yake? Au alikuwa anatafuta umaarufu (attention seeker)?
  3. R

    Captain Tesha alisema atarudi, sijui meishia wapi? Au alikuja kupata maoni ya watu

    Nilitegemea mpaka muda huu awe amerudi kukamilisha majukumu aliyoyatangaza. Kulikoni? Naona double double...Duble Duble!
  4. K

    Wazalendo wa jeshi ni watendaji kama Captain kuliko majenerali

    Wazalendo wa jeshi ni watendaji kama Captain kuliko majenerali mafisadi. Rushwa ndiyo imewafanya hawa askari watendaji kuchukuwa nchi. Mfumo bora kwa nchi ni demokrasia tatizo hiyo demokrasia hatuna na vijana wanachoshwa na rushwa na familia tatu nchini kuendesha nchi kama yao pekee
  5. Carlos The Jackal

    Jimmy Mafufu, Stivin Mangele, Mbona hamumjibu Captain Tesha? Jitokezeni mjue vizuri tuko serious !!

    Wakuu Mama sianaupiga Mwingi? Jitokezeni Wakuuu ,au nyie Hamlindwi?? 🤣🤣
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    Kwanini Vijana wa UVCCM Wamepata Kigugumizi Kumjibu Captain Tesha the Hero?

    Haya haya wale vijana wa UVCCM mko wapi kuitisha press za kumjibu Captain Tesha? Au hamjasikia chochote? Kama hamna bando njooni niwape free WiFi🤣🤣🤣.
  7. Luca Paguro

    Captain Tesha ameleta taharuki

    "Tumeanza kuona mwenendo na mtiririko wa viumbe wakiwa wanakuja mitandaoni na kuandaa maudhui ya kuvuruga amani yetu" "Captain Tesha anajaribu kuleta nywinywi, na nywinywinywi" "Anataka tufuate katiba, kwa nini tufuate katiba? Katiba ni kitabu tu" "Eti analalamika kuwa tunaua wakosoaji. Ni...
  8. Poppy Hatonn

    Trab Trat ( Captain Tesha,) yupo Facebook

    Ana leanings kidogo towards Chadema. Slight leanings. Lakini analysis yake ya hali ya siasa ni quite accurate.Anaongea mambo yale yale ambayo Watanzania wanayazungumzia. Nadhani everyone should be calm,na hawa vijana idealistic,kama huyu Captain Tesha,ambao wanafikiria nchi yetu...
  9. Ashampoo burning

    Je, Captain Tesha ni nani?

    Je kweli ni mwanajeshi au kavaat mavazi jeshi Je ni kweli yupo kikosi cha anga Je kuna watu wamesoma nae majirani wanaweza kuthibisha kuwa ni mwanajeshi JWTZ pia watoke watoe tamko nani ni captain tesha Kachafua hali ya hewa sana leo hapa nchini
  10. DELETED ACCOUNT

    Captain ya Yanga Dickson Job akimtambia Captain wa Simba Shomari Kapombe kabla ya kuanza mchezo

    Ukiwa unajiamini bwana, raha sana. Unajua kabisa matokeo yatakayokuwa, unaweza kutamba utakavyo. Kabla mechi haijaanza, wakati macaptain wa Simba na Yanga, Shomari Kapombe na Dickson Job wakiwa na waamuzi kuchagua upande wa kuanza, Job alimwambia mwamuzi Arajiga na Kapombe kuwa hakuna haja ya...
  11. R

    Watoto wa captain John Komba na nyimbo za baba Yao za kuudhihaki upinzani!! Kweli hakuna aijuae kesho yake!!

    Kweli tusiichezee Dunia!? John Komba wakati anaimba nyimbo za kuwatukana na kuwazodoa wapinzani hakikua nn kitaikuta familia yake,akidhani hiyo ndio Dunia atakayoishi yeye na familia yake!!! !! Naomba hili liwe fundisho!! Wewe ua Teka lakin Saa yaja!! " Nawavimbe wapasuke,waacheni waandamane...
  12. Damaso

    Casting Captain Jack Sparrow for Pirates of the Caribbean movie (Parody)

    Choose your favourite to play Captain Jack Sparrow 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10.
  13. kyagata

    Pombe ya Captain Morgan haileweshi kabisa

    Wazee sijui ni mimi ndo nimekua konkodi kiasi kwamba pombe zinadunda au vipi? Kuna hii pombe ina ladha ya whiskey inaitwa captain Morgan. Wahusika wanajitahidi sana kuipromote but sioni kama inatoboa hii pombe ina alcohol % ya 37 5. Mimi leo nikasema niijaribu, nimepiga vile vidogo vitatu...
  14. Ghayo El Yehudi

    Kwanini Pro West humu jukwaani wengi wanamchukia Captain Ibrahim Traore?

    Mzuka wana jamvi ?? Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana. Tukianza na Hawa ; Yoda ; huyu ni chawa mkubwa wa Marekani na matendo yake ameshika usukani kwa vinyuzi yake...
  15. I

    Jeshi la Burkina Faso lasema lilizuia njama 'kuu' ya mapinduzi

    Jeshi la Burkina Faso lasema lilizuia njama 'kuu' ya mapinduzi. Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema ilitibua "njama kubwa" ya kumpindua kiongozi wa kijeshi Kapteni Ibrahim Traoré, huku jeshi likidai kuwa wapangaji hao walikuwa na makao yao katika nchi jirani ya Ivory Coast. Waziri wa...
  16. mdukuzi

    Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

    Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu. Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu...
  17. Mshana Jr

    Tuna mengi ya kujifunza Burkinafaso

    Rais wa Burkinafaso Bwana Ibrahim Traore ameamua kuwaongezea mshahara walimu na madaktari nchini kwake Burkina Faso huku akiwa ameshusha mishahara ya wabunge wa nchini humo. Maoni ya mdau: Yaani kaangalia kaona wabunge wanachukua pesa za bure bila kufanya kazi, hizo pesa bora nikawaongezee...
  18. Damaso

    Casting Captain America for Black Panther movie (parody)

    These are the possibility of actors to be casted (don't take it seriously 😃) Tom Cruise John Depp Samuel Jackson Morgan Freeman The Rock Arnold Schwarzenegger Rambo The Taker Freelancer Dr. John Sins
  19. kiuNews

    KIU head coach and Deputy Captain Join Ugandas National Basketball Team for Fiba Zone V Qualifiers

  20. R

    Rais wa Burkina Faso Capt Ibrahimu Traore anatarajiwa kuja Tanzania January, 2025. Je, atatingisha jukwaa kama alivyofanya nchini Ghana?

    Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake. Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo...
Back
Top Bottom