cag

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa CAG usiozingatiwa ni wa nini?

    Demokrasia inahusu wengi kupewa. Hata hivyo ni busara zaidi walio sahihi kupewa: Kaguzi za CAG zinazofanyika miaka nenda rudi bila hatua zozote za maana kuchukuliwa ni za nini? Ya nini kupoteza pesa kwenye kuibiwa na kwenye kaguzi zisizozingatiwa? Kwa mwendo huu wanaoona ofisi ya CAG...
  2. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa maagizo waliotajwa ripoti za CAG, Takukuru

    Chama tawala nao wamesema: Hiki angalau kimtindo, kitakuwa kimeumana. Ngoja tuone. ----- Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Serikali kuwachukulia hatua kwa waliohusika kwenye ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka katika taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

    Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo: 1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi 2. Serikali...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG haina wizi, ina ukiukaji wa taratibu

    Kila siku CAG anakuja na report kuhusu upotevu wa mabilioni kwenye secta ya umma lakini hakuna hatua zinazochukuliwa. Wakati CAG akija na hoja hizo mara nyingi PCCB hakuna sehemu anakuja na hoja zakuthibitisha huo wizi badala yake kesi nyingi uisha Kwa matumizi mabaya ya Ofisi. Mtizamo wangu NI...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Madudu ripoti ya CAG, tunaua nchi wenyewe

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa Serikali, kusimamia vema rasilimali za nchi kwa kutumia mifumo na kuweka nidhamu, akisema kinyume na kufanya hivyo ni sawa na kuiua nchi yetu wenyewe. Mkuu huyo wa nchi ameeleza hayo wakati akifafanua kuhusu uzembe wa upitishaji wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sijasikia Zitto Kabwe na chama chake wakitangaza uchambuzi wao wa Ripoti ya CAG

    Kipindi cha magufuli Zitto Kabwe na kijana wake Ado Shaibu walijinasibu sana kuichambua report ya CAG na wakaja na madudu ya 1.5 t kuwa zimopotea na hazijulikani ziliko na walijinasibu kweli, kwa bahati nzuri report ya CAG ipo kila mwaka na report ya awamu hii yote inagusa utawala wa Samia...
  7. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Posho na Mishahara ya Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama nao ni wizi ambao CAG ulipaswa kuuzungumzia

    Wadau hamjambo? Nadhani kupokea posho au mishahara ukiwa huna sifa za kazi yako ni wizi. Ndio maana watumishi wa vyeti fake yaliwakumba na kufukuzwa kazi na ripoti ya CAG ilionesha kiasi gani cha fedha za umma zilipotea na kuokolewa baada ya kuwafukuza. Nimeshangazwa na Ripoti ya CAG...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wachunguzwe na CAG, wabadhirifu wa mamilioni wanyongwe

    Nimejiuliza kwanini hao TAKUKURU ofisi yao haikaguliwi na CAG. Hii nikwasababu ndani ya ofisi hiyo kuna walarushwa na wabadhirifu. Kuna kesi wamezikaliatu wala hawapepesi macho kuzipitia. Huu ufujaji unaotokea TAKUKURU wanamahali wamepwaya. Nchi nzima inanuka ubadhirifu, mikataba hewa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya CAG kuendelea kuibua upigaji wa pesa za umma tozo zisitishwe

    Habari wakuu wa JF, Kwa kurejea kichwa cha uzi napendekeza tozo zisitishwe ili kuwaondoloea wananchi ugumu wa maisha. Maana kwa mujibu wa ripoti ya CAG hizo tozo wanazokatwa miaka nenda rudi hazitakuwa na msaada wowote kwao zaidi ya kuendelea kuwaneemesha wazee wa ku inflate invoice...
  10. Rashidi Jololo

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa mikopo kwa wavuvi na wakuzaji viumbe maji; CAG hujatupatia ubadhilifu wa mradi huu

    Habarini ndugu? Kuna mwenye taarifa za ripoti ya CAG katika eneo hili la huu mradi? Hawa WAHUJUMU UCHUMI tangu bunge hili DHAIFU lilipopitisha bajeti ya mradi huu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 bado HAKUNA CHOCHOTE KILICHOFANYIKA HADI SASA. Wavuvi tumeendelea kupigwa "BLAH BLAH" tu tangu mwezi...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa ni sahihi Kupokea Madudu ya nchi kutoka kwa CAG jana wakati Usiku tunampokea Mgeni mkubwa Duniani?

    Au Tukio hilo (Ratiba ile) iliwekwa Kimkakati (Kimakusudi) ili Mgeni mkubwa Duniani akija ajue kuwa tunasimamia vyema Fedha zetu ili tumuombe nyingine nyingi au avutiwe tu hata Mwenyewe kutusaidia bila Masharti nasi tuendelee Kujenga Mahekalu yetu Mbweni, Madale, Mbezi Beach, Kawe Beach, Masaki...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wizi unaofanywa Halmashauri ni matokeo ya madiwani wasiowajibika

    Halmashauri ni mali ya wananchi na wanamiliki Halmashauri kupitia Baraza la Madiwani. Halmshauri inasimamiwa moja kwa moja na Madiwani, inasikitisha sana Halmashauri ndipo pesa zinapigwa sana, huku wasimamizi wapo kila siku na wanaendelea kula posho za vikao. Tatizo la kuibiwa ni matokeo ya...
  13. Championship

    JamiiForums Tanzania Ninatarajia IGP Camillus Wambura atatuletea taarifa ya kuwakamata watuhumiwa wote baada ya ripoti ya CAG na matamshi ya Rais Samia

    Mheshiniwa Rais leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na Rais ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana. Sasa kwasababu Rais ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la Polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CAG Ripoti: Matumizi NHIF yanazidi michango ya Wanachama

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi umebaini kuwa matumizi kutoa huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya yamekuwa makubwa ikilinganishwa na michango yao. Katika mwaka 2021/2022 mfuko umepata hasara ya Sh189.65 bilioni...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Bunge na Watanzania kwa ujumla, tulichukua hatua gani kwa waliohusika na madudu katika Ripoti Ya CAG iliopita? Another political silly season!

    Binafsi sishangai haya yaliobainishwa katika Ripoti ya CAG ya 2021/2022, bali nawashangaa wanaoshangaa yaliyoibuliwa katika ripoti hii. Kama `Bunge lenye wajibu wa kuisimamia serikali halikuchukua hatua kuhakikisha waliousika na ubadhirifu na ufisadi katika ripoti iliyopita wanachakuliwa hatua...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

    Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini? ATCL “Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea...
  17. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Tuna Rais asiyepuuza ripoti ya CAG. Hongera Rais Samia

    Nimemkumbuka Mzee wetu Prof Assad. Nimekumbuka alivyoondolewa madarakani kwa mabavu, nimekumbuka ile IST yake siku anaondoka ofisini. Nimekumbuka pia kwamba RIPOTI YA CAG ilikuwa inaogopwa na Serikali na kupingwa vikali. Nimekumbuka wapinzani kuishi kama digidigi pale wanapojaribu kujadili yale...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022 leo Machi 29, 2023 Ikulu ya Magogoni, Dar es salaam. CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
  19. Tryagain

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021-2022; Waziri Mkuu hana msaada kwa Rais, Baraza livunjwe

    Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza CAG na nakubaliana na Mchungaji Msigwa Serikalini kuna Upigaji mkubwa kila mahali

    Kiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha mtoto Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa? Ramadhan kareem! cc: Mchungaji Msigwa Chadema
Back
Top Bottom