caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAF Team of the Week: Simba Sc waingiza watano

    Yumo Bocco, Chama, Miqsone, Kapombe na Tshabalala. Simba ni timu kubwa sana Afrika hii
  2. F

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF ni Mzulu Patrice Motsepe kutoka Afrika Kusini. Simba pulizeni dawa muone Wazulu walivyo wabaya

    Nawakumbusha tu simba.. Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona.... Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele
  3. Utopologist

    JamiiForums Tanzania Mechi nyingine za CAF Champions League 2020/21

    15 min. MC Alger 0-0 Wydad Casablanca Wydad akiwa anatawala mchezo zaidi
  4. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Wito kwa CAF na FIFA wafuatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe fundisho

    Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii halikubaliki, kwani kabla ya hayo masaa 24 ratiba hiyo ya kiserekal ilikuwa haitambuliki? Yani...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CAF yataja Vilabu Bora 30 Afrika Simba SC yapanda hadi nafasi ya 13, ila Yanga SC hata katika Vilabu 200 Bora Afrika pia haimo

    Pongezi nyingi mno kwa Serikali ya Tanzania, Klabu ya Simba, Wanachama, Mashabiki, Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Shirikisho la Soka nchini TFF na hasa hasa Kwake Mwenyezi Mungu kwa 'Kuibariki' Klabu ya Simba SC kupata Mafanikio haya makubwa ( hasa Kimataifa ) na Kuitangaza Tanzania...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CAF confederation CUP 2020-2021

    Huu ndio msimamo wa mwisho wa match za makundi za CAF Confederation CUP 2020/2021. Je kwanini Vigogo kadhaa toka nchi za Africa Kaskazini zimetupwa nje ya mashindano?
  7. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Simba robo fainali CAF kukutana na CR Belouizdad, Kaizer Chiefs au MC Alger

    Sasa ni rasmi mpinzani wa Simba katika robo fainali ya CAF Champions League ni lazima awe mmoja kati ya timu hizi tatu; CR Belouizdad ya Algeria, Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini au MC Alger ya Algeria pia. Hii ni baada ya mechi za makundi yote manne kumalizika leo na timu hizo kushika nafasi za...
  8. N

    JamiiForums Tanzania CAF Ranks: Timu ya Simba ya 13, Namungo ya 59 na Yanga ya 74

    mambo ni faya fire fireeee mootoooooo..ewaaaahhhhhhhhh kings of East africa wanakamata nafasi ya 13 huku vijana wa waziri mkuu wa awamu YA TANO asiyejulikana kama atarudi madarakani wakiwa nafasi ya 59 na deportivo la utoPolo kama kawaida yao wako nafasi ya 74
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAF yatupilia mbali madai ya Al Merrick dhidi ya Simba

    Habari ndiyo hiyo
  10. Shadow7

    JamiiForums Tanzania CAF yamtaja afisa usalama mechi ya Simba Vs AS Vita

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemteua Inspekta Hashimu Abdallah kuwa Ofisa Usalama wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) kati ya Simba SC na AS Vita Club FC (DR Congo) utakaochezwa Aprili 3, 2021 saa 10;00 jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam, Tanzania...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAF Team of the Week, Luis Miqsone na Zimbwe Jr ndani

    Mnyama Konde Boy na Zimbwe Jr
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kumsema mbovu Metacha Dkt. Msolla adai simu yake ilidukuliwa

    Kama mnavyofahamu siku ya jana golikipa wa Yanga Metacha Mnata aliwaaga mashabiki wa Yanga kupitia insta na baadae kufuta lile bandiko. Kuna tetesi kuwa Sintofahamu hiyo ilisababishwa na Mwenyekiti Dr. Msolla kumchana Metacha kwamba anawahujumu akiwa langoni. Habari zimeendelea kujili jioni ya...
  13. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania CAF yafuta michuano ya Afcon U-17

    Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limefuta mashindano ya fainali za Afcon kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 Mashindano hayo ambayo yalikuwa yafanyikie Morocco yalitarajiwa kuanza Machi 13 Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania vijana chini ya miaka 17 tayari kipo Morocco na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ranks za CAF March 2021: Namungo ya 59, Yanga 74, Simba 18

    Kings of Tanzania na East africa tume slip nafasi moja mwezi uliopita tulikuwa namba 17 ila haina shida sana tunaingia robo fainali hadi nusu tutaruka hadi nafasi ya 13 Kwa kifupi ni kwamba kwa East Africa (1)Simba (2)Gore mahia (3)KCCA (4)Rayon (5)Namungo (6)Utopolo fc
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

    El Merreikh leo wanaangazia kujaribu kurudisha tumaini baada ya kupoteza michezo yake miwili ya kwanza ikiwemo mchezo wa nyumbani. Simba ikiwa imeshinda michezo yake miwili ya kwanza na kuongoza kundi, leo inataka kuweka mguu mmoja kuelekea kufuzu hatua ya makundi kwa kuifunga El Merrikh. Kuwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania CAF Champion league goal of the week

    Hili ndilo lililochaguliwa goli bora la wiki.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Simba yatoa wachezaji 2 kikosi cha wiki CAF Champions League

    Joshua Onyango na Konde boy ni miongoni mwa wachezaji wawili waliochaguliwa kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league wakiendeleza pale alipoachia Lwanga.
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc ndiyo kinara wa points katika makundi yote CAF Champions

    Kama hujui basi jua. Timu kigogo Africa Simba ndio kinara wao. Habari za Simba Sc zimezagaa dunia nzima. Kwa hiyo sina haja ya kueleza saaaaana. Kifupi ni kwamba kuna Wababe halafu kuna Mbabe
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Michuano ya CAF itavurugika? Kaizer Chiefs nayo yapigwa stop kuingia Morroco

    Hii ni kwa sababu CAF yenyewe haijajipanga kabisa kuhusu Ugonjwa wa Corona. Ikumbukwe kwamba kila nchi ina sera yake kuhusu namna ya kujilinda na Corona, wengine wanapiga nyungu za malimao na Tangawizi na wengine wanafuata muongozo wa WHO. Baadhi ya nchi haziruhusu kabisa wageni, huku nyingine...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Janga la Corona : CAF yaifuta Mechi ya Namungo huko Angola

    Hii ndio taarifa ya sasa kutoka CAF kutokana na sakata la wachezaji watatu na kiongozi mmoja wa Namungo kukutwa na corona Tusubiri taarifa zaidi kutoka CAF ambalo ndio shirikisho linalosimamia soka barani Africa
Back
Top Bottom