caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. F

    JamiiForums Tanzania CAF sio wajinga kuwanyima marefa wa Tanzania mechi za CAF champions league

    Tazama mwenyewe picha .. Sehemu ya kuweka ukuta refa anakubalije mechi ianze wakati ukuta bado anaelekeza pa kukaa.. Tazama morrison alipo.. tazama refa alipo na anafanya nini huyo refa
  2. F

    JamiiForums Tanzania VAR yawapa away goal kaizer chiefs vs waydad.. caf champions league semi final

    Muhuni kaizer chiefs. Anaongoza 1-0 ugenini morocco.. thanks to Var technology... kuanzia semi final caf wanaeka var kumbe Huyu muhuni baada ya kumuotea simba leo anaendeleza bahati yake ugenini
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAF Club Ranking: Simba SC yasogea Top 10

    Timu tishio Afrika Simba Sc inazidi kujikita kuelekea kuwa timu Kigogo barani Afrika. Ilipo Yanga waulizwe Yanga wenyewe Goo Simba Goo Goo Mo Dewji Goo
  4. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kunyimwa uanachama wa FIFA na CAF ni chuki kisiasa au kukosa vigezo?

    Zanzibar sio jimbo la Tanzania ila ni nchi iliyopo kwenye muungano, natamani sana siku moja nione ikicheza kimataifa na hakika watafika mbali. Kwanini haya mashirikisho ya kimataifa yanawanyima uanachama? Hawana vigezo vya kuwa mwanachama au kwa sababu wapo kwenye muungano na Tanzania bara...
  5. hiram

    JamiiForums Tanzania Je Wajua? Mwaka ambapo Tanzania iliingia kwenye CAF RANKING kwa mara ya kwanza

    KUHUSU RANKING Afrika ina nchi 54 lakini ni nchi 32 tu zipo kwenye CAF RANKING na TANZANIA ikiwemo, hii ina maana kwamba mataifa 22 ya Afrika hayamo na ni kwasababu timu za nchi hizo hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya CAF. Tanzania iliingia kwa mara ya kwanza kwenye CAF RANKING mwaka 2017...
  6. hiram

    JamiiForums Tanzania Jinsi Yanga ilivyodhulumiwa nusu fainali ya CAF Champions League

    Mwaka 1968 Yanga walichukua Ubingwa wa Ligi na kuiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa barani afrika 1969. Yanga walienda nchini Romania kufanya pre season ya mwezi mzima kitu kilichowafanya kufanya vizuri sana kwenye mashindano Hatua ya awali. Yanga wakakutana na fitarikandro ya Madagascar...
  7. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania TFF: Tanzania kuwa na timu 4 mashindano ya CAF msimu ujao

    Hatimaye yametimia! Ongezeko la timu nne kushiriki mashindano ya CAF msimu ujayo yamekuja baada ya mafanikio ya SIMBA SC kufanikiwa kufika robo final licha ya kutolewa na Kaizer Chiefs ya South Africa. CAF champions league itashirikisha mshindi wa VPL kama ilivyo kawaida yake, huku mshindi wa...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAF Team of the Week: Simba Sc waingiza watano

    Yumo Bocco, Chama, Miqsone, Kapombe na Tshabalala. Simba ni timu kubwa sana Afrika hii
  9. F

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF ni Mzulu Patrice Motsepe kutoka Afrika Kusini. Simba pulizeni dawa muone Wazulu walivyo wabaya

    Nawakumbusha tu simba.. Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona.... Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele
  10. Utopologist

    JamiiForums Tanzania Mechi nyingine za CAF Champions League 2020/21

    15 min. MC Alger 0-0 Wydad Casablanca Wydad akiwa anatawala mchezo zaidi
  11. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Wito kwa CAF na FIFA wafuatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe fundisho

    Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii halikubaliki, kwani kabla ya hayo masaa 24 ratiba hiyo ya kiserekal ilikuwa haitambuliki? Yani...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CAF yataja Vilabu Bora 30 Afrika Simba SC yapanda hadi nafasi ya 13, ila Yanga SC hata katika Vilabu 200 Bora Afrika pia haimo

    Pongezi nyingi mno kwa Serikali ya Tanzania, Klabu ya Simba, Wanachama, Mashabiki, Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Shirikisho la Soka nchini TFF na hasa hasa Kwake Mwenyezi Mungu kwa 'Kuibariki' Klabu ya Simba SC kupata Mafanikio haya makubwa ( hasa Kimataifa ) na Kuitangaza Tanzania...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CAF confederation CUP 2020-2021

    Huu ndio msimamo wa mwisho wa match za makundi za CAF Confederation CUP 2020/2021. Je kwanini Vigogo kadhaa toka nchi za Africa Kaskazini zimetupwa nje ya mashindano?
  14. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Simba robo fainali CAF kukutana na CR Belouizdad, Kaizer Chiefs au MC Alger

    Sasa ni rasmi mpinzani wa Simba katika robo fainali ya CAF Champions League ni lazima awe mmoja kati ya timu hizi tatu; CR Belouizdad ya Algeria, Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini au MC Alger ya Algeria pia. Hii ni baada ya mechi za makundi yote manne kumalizika leo na timu hizo kushika nafasi za...
  15. N

    JamiiForums Tanzania CAF Ranks: Timu ya Simba ya 13, Namungo ya 59 na Yanga ya 74

    mambo ni faya fire fireeee mootoooooo..ewaaaahhhhhhhhh kings of East africa wanakamata nafasi ya 13 huku vijana wa waziri mkuu wa awamu YA TANO asiyejulikana kama atarudi madarakani wakiwa nafasi ya 59 na deportivo la utoPolo kama kawaida yao wako nafasi ya 74
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAF yatupilia mbali madai ya Al Merrick dhidi ya Simba

    Habari ndiyo hiyo
  17. Shadow7

    JamiiForums Tanzania CAF yamtaja afisa usalama mechi ya Simba Vs AS Vita

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemteua Inspekta Hashimu Abdallah kuwa Ofisa Usalama wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) kati ya Simba SC na AS Vita Club FC (DR Congo) utakaochezwa Aprili 3, 2021 saa 10;00 jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam, Tanzania...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAF Team of the Week, Luis Miqsone na Zimbwe Jr ndani

    Mnyama Konde Boy na Zimbwe Jr
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kumsema mbovu Metacha Dkt. Msolla adai simu yake ilidukuliwa

    Kama mnavyofahamu siku ya jana golikipa wa Yanga Metacha Mnata aliwaaga mashabiki wa Yanga kupitia insta na baadae kufuta lile bandiko. Kuna tetesi kuwa Sintofahamu hiyo ilisababishwa na Mwenyekiti Dr. Msolla kumchana Metacha kwamba anawahujumu akiwa langoni. Habari zimeendelea kujili jioni ya...
  20. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania CAF yafuta michuano ya Afcon U-17

    Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limefuta mashindano ya fainali za Afcon kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 Mashindano hayo ambayo yalikuwa yafanyikie Morocco yalitarajiwa kuanza Machi 13 Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania vijana chini ya miaka 17 tayari kipo Morocco na...
Back
Top Bottom