caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. Area 56

    JamiiForums Tanzania Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

    CAF: SIMBA YAIFUNGA GENDARMERIE 4-0, YAINGIA ROBO FAINALI Timu ya #Simba imefanikiwa kuingia Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya US Gendarmerie kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, usiku wa Aprili 3, 2022. Matokeo hayo ya michuano hiyo...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Haji Manara aipaisha ubora Yanga CAF

    Hakika Manara ni mmoja tu simba mmepoteza mtu hapa, toka Bugatti amejunga na vinara wa ligi kuu tz bara yanga. Amefanikiwa kuipaisha pakubwa clabu hiyo kwenye viwango vya caf, ikumbukwe kuwa, yanga ilikuwa ya 304 kwa ubora barani Africa kabla ya kujiunga nao. Kutokana na maneno yake yenye...
  3. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Kwa staili hii Simba hatuwezi kuchukua kombe la Caf

    Kwakweli kitendo cha Simba kupigwa na kuruhusu migoli mingi ugenini tunaomba kisiwe endelevu... et kwa kutegemea mechi za nyumbani utashinda. Wanapofanya hivyo kwa stage ya makundi haina noma... ila kwa upande wa robo fainali na nusu fainali litabia hili likiendelea kuingia nusu fainali ni...
  4. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

    Klabu ya Simba leo Jumapili March 20, 2022 inashuka kwenye Dimba la Stade de L'amitie General Nchini Benin kukiwasha na ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast kwenye mchezo wa marudiano hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC. Huenda mchezo ukawa mkali na wa kusisimua kwa vile kila...
  5. N

    JamiiForums Tanzania USGN waishtaki Rs Berkane CAf kwa "zengwe" lao na mwamuzi Mwarabu mwenzao

    Duh kwa kweli aiseee jamaa full time unaambiwa walikuwa wanabonga kiarabu na huyo mmisri awapendelee wanajua wakiongea Kifaransa wa Niger watawasikia inanikumbusha yule aliyemtukana kanoute tusi zito kwa mama yake kwa kiarabu kumbe dogo anakijua akamla mtama wa nguvu.
  6. homeless1

    JamiiForums Tanzania CAFCC: Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki

    Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki Skill Pace Finish 100%
  7. M

    JamiiForums Tanzania Isiwaume nauliza tu: Hivi Yanga walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF?

    Naona wenzetu ni wakarimu sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya CAF, je, walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF Champions League au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Azam TV Max app na matatizo ya channeli ya UTV siku za mechi za simba CAF

    Wakuu mimi ni mtumiaji mzuri wa azam tv max app kwenye simu yangu, kuna hii ya UTV chaneli kila ukifika muda wa mechi za simba unakuta imeondolewa HAIPO KABISA au ukiikuta na ukaifungua kwa ajili ya kungalia zako mpira unaambiwa CHANNEL IS NOT AVAILABLE IN YOUR AREA. Ajabu ni kwamba baada ya...
  9. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

    Leo ni sikukuu kwa wapenda kandanda nchini Tanzania. Mnyama Mkubwa mwituni, Simba Sc atashuka katika dimba la Benjamin Mkapa kucheza dhidibya RS Berkane ya Morocco majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Simba itaingia dimbani huku ikiwakaribisha nyota wake waliotoka majeruhi...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania CAF yaruhusu mashabiki 35,000 mechi ya Simba Vs RS Berkane, Uwanja wa Mkapa

    Uongozi wa Klabu ya Simba umethibitisha kupokea taarifa kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuwa inayotoa nafasi ya kuingiza mashabiki 35,000 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mchezo wa Kundi D, Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo...
  11. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

    Leo majira ya saa 4:00 Usiku, RS Berkane watakuwa wanawakaribisha Simba Sc katika mchezo wa tatu wa CAF Confederation Cup katika dimba la Stade Municipal de Berkane, nchini Morocco. Katika mchezo huu, Simba itawakosa Jonas Mkude, Mugalu na Israel Mwenda kutokana na sababu mbalimbali...
  12. John Haramba

    JamiiForums Tanzania CAF CHAMPIONS LEAGUE: Al Ahly, Zamalek ni anguko la wababe wa Misri au soka la Afrika limekua?

    Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea kwa sasa, ni msimu wa 2021/22 lakini kuna matukio kadhaa ambayo inawezekana yakawa na maana tofauti kuhusu soka la Afrika. Wababe wa Misri, Al Ahly licha ya kuchukua nafasi ya tatu hivi karibuni katika Klabu Bingwa Dunia walipoenda kushiriki...
  13. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

    Muda mchache ujao, wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Caf Confederation Cup, Simba SC atashuka dimbani ugenini nchini Niger, kumenyana na wenyeji wao, US Gendermerie katika dimba la General Seyni Kountche ambaye alikuwa kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo na kiongozi wa mapinduzi ya 1974...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc yapunguza kiingilio mechi ya CAF CC

    Kwa mapenzi makubwa kwa mashabiki wa timu hii kubwa zaidi nchini, Rais wa heshima, @moodewji amepunguza kiingilio cha eneo la Mzunguko kutoka Tsh. 5,000 hadi Tsh. 3,000. Nunua sasa tiketi yako. #NguvuMoja
  15. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Vihoja vya mabingwa wa kihistoria na rank za CAF

    Kipindi Yanga tulipokuwa chini ya Simba kimatokeo basi tulikazania sana suala llaUBINGWA WA KIHISTORIA Sasa hivi SIMBA wako chini ya YANGA kimatokeo nao sasa wamekazania sana RANK ZA CAF, IFFH, nk. kila siku zinaanzishwa nyuzi za kuonesha kuwa SIMBA ni ya 10 africa, mara ya 6 africa, mara ya...
  16. N

    JamiiForums Tanzania CAF wanaipendelea Simba SC; Barbara aalikwa fainali za AFCON

    Huku CAF wakiwa wametoa ruhusa kwa mashabiki 35 k tarehe 13 isisahaulike kwamba kuna wehu waliwahi kubishana nao wakatoa hadi flyers za bei siku wanacheza na wapopo wakalitia taifa aibu kutolewa mechi za awali Sasa basiii...Caf has done it again wamemualika adui wa matapeli ya soka la bongo...
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mtanzania kuchezesha AFCON

    Mtanzania kuchezesha AFCON. Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kina Kapumbu watinga Makundi CAF

    Zanaco wametinga makundi CAF timu zingine ni kama inavyoonekana hapo juu. Ukiongeza Orando Pirates na Berkane. Mengi zaidi kuhusu Kapumbu waulizwe Yanga Utopolo.
  19. Rilley

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Caf clears Nyayo stadium to host confederation match between Gor and Otoho

    Serikali ijitahidi tusikuje kupata aibu ya kucheza mechi nje ya nchii
  20. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania CAF Confederation cup play-off round POTS

    Pots kwa ajili ya kupanga michezo ya play-off kwenye kombe la shirikisho barani Afrika imetoka na mchakato wa kupanga mechi hizo za nani anakutana na nani?, Zitafanyika kesho Oct. 26 CAF Confederation Cup Play-off round POTS Draw Procedure POT 1 vs. POT 2 POT 4 vs. POT 3 POT 1 7 Highest...
Back
Top Bottom