Isiwaume nauliza tu: Hivi Yanga walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,664
18,039
Naona wenzetu ni wakarimu sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya CAF, je, walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF Champions League au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!
 
Utopolo mbona vichwa vyenu vigumu kuelewa? Kuchukua ubingwa ni jambo zuri sana , pia kuongoza kundi kisha kutinga robo fainal ni jambo zuri maana hatua hiyo pia inakupa fedha.
Achana na hayo majinga this year zanaco anamaliza wa nne kwenye kundi lake zambia wanaenda poteza nafasi ya kuingiza teams 4 , hawajui kwamba kwenye makundi hata ukiwa wa tatu kuna faida yake...majinga hayo hayajui simba 1974 kacheza nusu fainali na 1993 kacheza fainali
 
Uzi una masaa mawili lakn wachangiaji tupo wachache mno. Jitafakali
Naona wenzetu ni wakarimu Sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya caf, je walishawahi kuongoza kundi lolote la caf champions league au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!
 
Ahmed Ally

37m ·
Simba tunapaswa kuheshimiwa sana nchi hiii
Mpaka sasa tumecheza mechi 4 tumevuna alama 7..
Anaejiita mpinzani wetu na anaejiita timu kubwa Afrika mashariki ilimlazimu acheze mechi 18 Ili kufikisha points 7
Mwaka 1998 alicheza mechi 6 za makundi akavuna alama 2 (Usicheke
😄
)
Mwaka 2016 alicheza mechi 6 za makundi akavuna alama 4
Mwaka 2018 alicheza mechi 6 za makundi akavuna alama 4
Ili kufikisha points 7 ambazo Mnyama amefikisha kwa mechi 4 tuu jirani yetu imemlazimu acheze mechi 18 tena katika kipindi cha miaka 24
Hivi mnatoaga wapi ujasiri wa kubishana na sisi
😀
😀
tena hapo kuna kitu sijasema naona aibu kwamba kwa miaka yote hiyo 1998, 2016, na 2018 mliburuza mkia kwenye hayo makundi
Mwana Simba hapo ulipo sema jipige kifua kisha sema SISI HATUNA MPINZANI
 
Naona wenzetu ni wakarimu Sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya CAF, je walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF Champions League au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!
Baada ya Simba kushinda...Manara kaamua kuanza kupambana na Makondakta ... ili kupunguza presha!
 
Naamini utopolo hata kama atapangwa kundi Moja na timu za Somalia , shelisheli, Djibouti na Eritrea bado atamaliza akiwa wa mwisho kwenye kundi.
 
Mbona kama nimeiona yanga inaongoza kwenye kundi fulani na somalia akiwemo. Kwani ni michuano gani ile?
 
Ahmed Ally

37m ·
Simba tunapaswa kuheshimiwa sana nchi hiii
Mpaka sasa tumecheza mechi 4 tumevuna alama 7..
Anaejiita mpinzani wetu na anaejiita timu kubwa Afrika mashariki ilimlazimu acheze mechi 18 Ili kufikisha points 7
Mwaka 1998 alicheza mechi 6 za makundi akavuna alama 2 (Usicheke
😄
)
Mwaka 2016 alicheza mechi 6 za makundi akavuna alama 4
Mwaka 2018 alicheza mechi 6 za makundi akavuna alama 4
Ili kufikisha points 7 ambazo Mnyama amefikisha kwa mechi 4 tuu jirani yetu imemlazimu acheze mechi 18 tena katika kipindi cha miaka 24
Hivi mnatoaga wapi ujasiri wa kubishana na sisi
😀
😀
tena hapo kuna kitu sijasema naona aibu kwamba kwa miaka yote hiyo 1998, 2016, na 2018 mliburuza mkia kwenye hayo makundi
Mwana Simba hapo ulipo sema jipige kifua kisha sema SISI HATUNA MPINZANI
Nimeshajipiga Gamba...Sasa nasema SISI HATUNA MPINZANIIIIIIIIII....!
 
Hata huo ukarimu hawana, huwa wanawapokea tu lakini wakiondoka hawawasindikizi.
 
Naona wenzetu ni wakarimu Sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya CAF, je walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF Champions League au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!
Hakuna kombe la kupokezana kuongoza kundi. Labda ingekuja na hoja ya makombe hizi timu zilizoshinda nje ya nchi tungeweza kuwa na jambo la kuchangia.
 
Naona wenzetu ni wakarimu Sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya CAF, je walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF Champions League au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!
Yanga washawahi kuongoza kundi kwenye Mapinduzi Cup inayofanyikiaga Zanzibar ambae ni mwanachama wa CAF. So ki msingi jibu ni Yes...!!!
 
Back
Top Bottom