caf

The CAF Champions League is an annual continental club football competition run by the Confederation of African Football (CAF). The top club sides from Africa's football leagues are invited to participate in this competition, which is the premier club football competition in the continent and the equivalent to the UEFA Champions League. Due to sponsorship reasons, the official name is Total CAF Champions League, with Total Champions League also in use.The winner of the tournament earns a berth for the FIFA Club World Cup, a tournament contested between the champion clubs from all six continental confederations, and also faces the winner of the CAF Confederation Cup in the following season's CAF Super Cup.
Egypt's Al Ahly SC is the most successful club in the competition's history, having won the tournament eight times. Egyptian clubs have accumulated the highest number of victories, winning the title 14 times.

View More On Wikipedia.org
  1. Da Dona

    CAF: Uganda Not Yet Ready for AFCON 2027

    Kampala, March 2026 – The Confederation of African Football (CAF) has flagged significant gaps in Uganda’s preparations to host the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), according to its official assessment as of February 2026. The report highlights challenges across stadiums, training...
  2. W

    CAF: Kenya haina Kiwanja chenye sifa za kutumika AFCON

    Ripoti ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imebaini mapungufu makubwa katika viwanja vya Kenya vilivyopendekezwa kwa ajili ya mashindano ya AFCON 2027. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, hadi Februari 2026, hakuna kiwanja, kati ya viwanja vitatu vilivopendekezwa, kilichofikia viwango vya Daraja la 4...
  3. Dalton elijah

    SI KWELI Raisi wa FIFA Ametoa Masaa 72 Uongozi wa CAF kujiuzulu

    kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa rasis wa fifa gian infantinho ameta masa 72 kwa uongozi wa caf kujiuzulu Katika chapisho hilo ambalo limesambazwa kwenye mtandao huwa facebook lia nukuu ya ujumbe kama ufuatavyo” BREAKING NEWS...
  4. Kichuguu

    CAF Champions League Inaendeleaje? Sijaifuatilia baada ya Kutolewa

    Nimesikia kuwa Al Ahly na Pyramid wameshatupwa nje. Vilevile Mamelodi wametwangwa kichwa na Stade Malien. Je, kuna taarifa zaidi?
  5. J

    SI KWELI Timu ya taifa ya Senegal imepeleka kombe la AFCON jeshini, baada ya CAF kutangaza kuipoka ubingwa wake na kuipa Morocco

    Naomba kupata msaada wa ufafanuzi
  6. tpaul

    Patrice Motsepe kupigwa chini CAF kwa sababu ya kujihusisha na ufisadi

    Ni suala la muda tu. Rais wa CAF bilionea Patrice Motsepe yupo kikaangoni baada ya kuhusishwa na ufisadi wa kutisha ndani ya CAF. Wafuatiliaji wa kiintelejensia waliotega mitambo yao ndani ya shirikisho hilo wamegundua ufisadi wa kutisha unaomhusisha Motsepe moja kwa moja, akishirikiana na ofisa...
  7. Yesha

    CAF President Patrice Motsepe Defends Decision to Strip Senegal of AFCON Title

    Patrice Motsepe, President of the Confederation of African Football, has defended the decision to strip Senegal of the AFCON title following their walkout during the final. The incident has sparked debate across the football community about discipline, sportsmanship, and the enforcement of...
  8. Pdidy

    Vilabu vyote vigome kushiriki michuano ya CAF kama vilabu vya Senegal vimetangaza kugoma

    SENEGAL NAO WAMETANGAZA VILABU VYAO VYOTE HAVITASHIRIKI MICHUANO YA CAF MPAKA WAPATE AOLN YA KOMBE LAO NGOMA BADO TAMU KUMEANZA KUCHANGAMKA
  9. Chibike

    Imefahamika: Wamoroko walishinikiza CAF wawape ubingwa ili waweze kuandaa WAFCON, sababu nyingine mbili zisome hapa chini

    Ukweli ndio huo ndugu zangu waafrika. Imebainika hivyo ya kwamba michuano ya WAFCON kwa wanawake ilimsimamishwa ghafla kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi, ila imekuja kubainika ya kua kumbe wamoroko walitoa mashinikizo makubwa na vitisho kwa CAF kuhusu rufaa yao kua wanaitaji kushinda na wawe...
  10. Waufukweni

    Senegal imeapa kukata rufaa ya uamuzi wa CAF kuwapoka ubingwa wa AFCON 2025

    Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limethibitisha kupokea uamuzi uliotolewa na Kamati ya Rufaa ya CAF kuhusu kupokwa ubingwa wa Kombe la Mataifa la Afrika 2025 FSF imepinga rasmi uamuzi huo ambao wanaona hauna msingi wa kisheria, upo kiholela na hauna uwiano. FSF inaamini kuna Ukiukaji...
  11. idiomer

    Mambo yanatafakarisha sana haya. Nawaza Nawaza Nawaza tena. CAF

    Wanafiki wa siasa eti wanasema Game is won on the stadium 🏟? Wakati kwenye siasa game is not won by voters but who count the voters votes 🤔 Hongereni sana Morocco Pia soma Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco
  12. Wakusoma 12

    Nimefurahishwa na maamuzi ya CAF kumvua ubingwa Senegal

    Senegali walifanya tukio la aibu mbele ya wageni na dunia nzima. Wakati mpira wa Afrika ukianza kuimarika na kutazamwa na watu wote dunia wao Senegal hawakuona hilo na wala hawakuweza kufikiri nini kinafuata. Mpira ni biashara na hatima za maelfu ya watu unawezaje kufanya blander kama ile...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Tanzania kuilipa CAF kuwa mwenyeji wa AFCON 2027, ni utaratibu wa kawaida kikanuni, Kenya na Uganda nao wamefanya hivyo

    Kwa mujibu wa kanuni na mikataba ya uenyeji ya CAF, nchi inayopata nafasi ya kuandaa AFCON hulazimika kusaini makubaliano ya uenyeji yanayojumuisha majukumu mbalimbali ya kifedha. Miongoni mwa masharti hayo ni kulipa kile kinachoitwa “hosting” au “commitment fee”, ambacho ni ada ya makubaliano...
  14. PAYE

    Orodha ya Waamuzi wa Afrika watakaochezesha mechi za FIFA World Cup 2026

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa ya kuwakilisha bara kwenye Mashindano makubwa zaidi ya Kandanda. Michuano hiyo ya Kombe la Dunia...
  15. kavulata

    Nassoro Mwinchui ni Simba lialia lakini tumtayarishe kuchezesha CAF.

    Mwamuzi wa dabi ya tarehe 01 March ni Nassoro Mwinchui ingawa wote tunajua kuwa inaipenda sana Coastal Union na Simba ss na alishapewa adhabu mara nyingi kwa kuzipa upendeleo Simba na Coasta kwa vipindi vya karibukaribu vilivyofuatana. Alishawahi kutumwa mara nyingi kuchezesha mechi za Yanga...
  16. O

    Bunge Lakataa Ongezeko la Bajeti ya AFCON 2027 Huku Kenya Ikiwa Bado Haijalipa Ada ya CAF

    Kamati ya Bunge ya Michezo na Utamaduni imekataa ombi la Wizara ya Michezo la kuongeza bajeti ya maandalizi ya AFCON 2027 kutoka Shilingi bilioni 3.5 hadi bilioni 5, ikisema sababu zilizotolewa hazitoshi. Wabunge walibainisha kuwa Kenya bado haijalipa ada ya lazima ya bilioni 3.5 kwa CAF...
  17. Waufukweni

    Hakuna Simba wala Yanga, wote wameishia makundi CAF, ni mwanzo wa anguko kwa Soka la Tanzania kimataifa?

    Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC na...
  18. JanguKamaJangu

    Wydad AC 2-0 Azam FC, Safari ya Wanalambalamba Michuano yha CAF imefikia mwisho Februari 15, 2026

    Timu ya Azam FC imekamilisha Michezo ya Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho kwa kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Wydad AC ya Morocco na hivyo kukwama kuingia Hatua ya Robo Fainali kwa kuwa imeshika nafasi ya 3 katika Kundi B. Matokeo mengine ya Kundi hilo, Maniema Union ya DRC nayo imeingia...
  19. Waufukweni

    Match Day | Yanga vs JS Kabylie l CAF CLl Group Stagel l New Amani - Zanzibar l Feb 15, 2026 1:00 Usiku

    Yanga inakutana na JS Kabylie kwenye mechi ya CAF Champions League, Group Stage, itakayofanyika kwenye uwanja wa New Amani, Zanzibar, leo Februari 15, 2026 kuanzia 1:00 usiku.
  20. Da Dona

    CAF yakanusha madai ya kutofanyika AFCON ya mwaka 2027

    --- Kujiamini na matarajio vinaendelea kuongezeka kuelekea Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON), huku Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) likijaribu kuzima tetesi zinazoongezeka kuhusu utayari wa mashindano hayo. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Rais wa CAF, Patrice...
Back
Top Bottom