bwawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mikopo Chefuchefu

    JamiiForums Tanzania Sambamba na ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere, Serikali ianze kutafuta pesa za kujenga njia kuu ya umeme (Backbone)

    Miradi hii ni ya gharama kubwa na utekelezaji wake huchukua miaka mingi. Ni maoni yangu kuwa, sambamba na ujenzi wa bwawa la mwal Nyerere, serikali ingeanza kutafuta fedha za kujenga njia kuu ya kusafirishia umeme itakayopita magharibi mwa nchi hasa katika mikoa ya Lindi, Ruvuma, Njombe, Mbeya...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, wakulima wamejipanga vipi kunufaika na kilimo cha umwagiliaji baada ya bwawa la Nyerere kukamilika?

    Katika siku za usoni, chakula kitakuja kuwa ndio nyenzo muhimu ya nguvu la taifa husika, taifa lenye chakula cha kutosha na cha uhakika ndilo litakuwa na sauti nguvu ya maamuzi. Kwamba atakaeleta ubishi basi ananyimwa chakula, na hapo hapo anarudi kwenye mstari. Sasa basi, kwakuwa changamoto...
  3. My county

    JamiiForums Tanzania Kwanini ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere ni muhimu?

    KWANINI MRADI WA UZALISHAJI UMEME WA MAJI BWAWA LA NYERERE MTO RUFIJI NI MUHIMU? Mradi huu unatarajia kuzalisha megawati 2,115 za umeme hatua ambayo inaelezwa kwamba itasaidia kupunguza tatizo la nishati hiyo muhimu kiuchumi na kijamii hapa nchini. Wasomi wanaeleza kukamilika kwa mradi huu...
  4. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Wazee wampongeza Rais Magufui ujenzi bwawa la Nyerere

    CHAMA cha Saidia Wazee Tanzania (SAWATA) kimempongeza Rais John Magufuli kwa ushupavu, alioonesha wa kuamua kutekeleza ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Mto Rufi ji wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP), ambao ujenzi wake kwa sasa umefi kia asilimia 10. Mradi huo wa kuzalisha...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka sasa tangu ujenzi uanze, sijaona kilichofanyika Bwawa la Rufiji

    Nasikia kuna trilioni kadhaa zimeshatumbukizwa huko, nilitegemea by now kuona walau bwawa limeinuka angalau hata sentimita 50, lakini wapi! Kuna anayefahamu kinachokwamisha?
  6. Paddy

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye diesel pumps za kuvuta maji naombeni ushauri wenu

    Habari za leo wanaJF! Ninahitaji diesel pump ya maji yenye uwezo mkubwa wa kutoa maji kutoka mita 200 kwenye bwawa na kuyaleta kwenye tank lililopo mita nne juu (limejengewa mnara wake). Naombeni ushauri wa aina ya pump na horsepower (HP) zake.
  7. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Stiegler's Gorge kuanza kujengwa na kampuni ya Misri

    Kampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji. Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya miti milioni 2 kukatwa kupisha mradi wa umeme wa Stiegler's gorge

    Serikali ya Tanzania inajiandaa kukata miti eneo la ukubwa wa asilimia tatu ya hifadhi ya taifa Selous. Mapema asubuhi ya Jumatano, serikali ilipokea maombi ya zabuni ya kukata miti hiyo kutoka kwa makampuni ya ndani na nje ya nchi yaliyoonyesha nia ya kutekeleza mradi huo wa kukata miti...
  9. K

    JamiiForums Tanzania WWF waponda na kupinga mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge

    Soma hoja za WWF hapa kwenye linki https://wwf.fi/mediabank/10039.pdf. Je wewe uko upande upi na kwanini? ======= WWF is one of the world’s largest and most experienced independentconservation organizations, with over 5 million supporters and aglobal network active in more than 100...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakataa agizo la UNESCO la kuitaka kusitisha ujenzi wa mradi wa Stiegler's Gorge Selous

    Tanzania Yakataa Agizo La UNESCO La Kuitaka Kusitisha Ujenzi Wa Mradi Wa Stiegler's Gorge Katika Pori La Akiba La Selous HAMZA TEMBA - WMU Tanzania imesisitiza uamuzi wake wa kuendelea na mpango wa kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (Stiegler's Gorge Hydro...
Back
Top Bottom