bwawa la nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakati nakabidhiwa nchi, Bwawa la Nyerere na SGR viliniumiza kichwa

    Rais Samia amesema wakati anakabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi, mradi wa bwawa la Nyerere na SGR vilimuumiza kichwa kwa pesa zilizokuwa zinahitajika lakini sasa anazo pesa mpaka za kuifikisha Kigoma. Pia Rais Samia ameahidi umeme kutoka bwawani mapema mwakani. "Kila nikiangalia mapesa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Stereotype kuhusu Zoezi la ujazwaji maji Bwawa La Nyerere (JNHPP)

    Mods Msitoe huu Uzi. Serikali Juzi imefanya sherehe ya kurudisha mtiririko wa asili wa Mto Rufiji Kwa Kufunga geti la kupitisha maji katika diversion tunnel( njia ya mchepuko), sherehe zilizohudhuriwa na Rais wa Tanzania na zilizotumia gharama nyingi. Ukweli uliopo Serikali haikuzindua kuanza...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Takwimu za bwawa la Nyerere zinastaajabisha sana

    Nafikiri toka uhuru hatujawahi kufanya mradi mkubwa namna hii. Kukamilika kwake kutatujengea roho ya uthubutu kwenye miradi mikubwa. Eneo la ziwa litakuwa na ukubwa wa karibu km za eneo 1,350. Hii ni kama mara mbili ya ukubwa wa Mtera. Na kwa eneo litakuwa la tano nyuma ya ziwa Rukwa. Japo...
  4. mike2k

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaoogopwa kusemwa kuhusu bwawa la umeme la Nyerere

    LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme. JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022

    Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua zoezi la ujazaji maji katika Bwawa la Julius Nyerere, Disemba 22

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tukio la kushuhudia ufungaji wa lango la handaki mchepuko (diversion tunnel) ili kuruhusu maji kuanza kujaa katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere litakalofanyika siku ya Alhamis, 22...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maji yatakayojazwa Bwawa la Nyerere (JNHPP) yanaweza kuzalisha Umeme kwa mwaka mmoja bila kutegemea mvua

    Akizungumza na waandishi wa habari kutoka eneo la mradi huo uliopo katika bonde la mto Rufiji, Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mpaka sasa ujenzi wa bwawa hilo umefikia asilimia 78.68 ambayo ni hatua ya awali ya kuanza kujaza maji na inategemewa kuchukua misimu miwili ya mvua iliyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja. Waziri Makamba...
  9. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere limepotelea wapi

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa zoezi la kuingiza maji kwenye Bwawa la Julius Nyerere Disemba 22, 2022 badala ya Novemba 2021 iliyokuwa awali. Mheshimiwa Rais pamoja na hatua hiyo muhimu bado kuna mambo ya msingi sana ambayo Waziri wako wa Umeme hajayaweka wazi...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere likikamilika umeme utapanda bei ama utashuka bei?

    Kutokana na uwekezaji kwenye Bwawa la Nyerere kuhusisha na mikopo pia, je, lile bwawa likikamilika, bei ya umeme itapanda ama itashuka?
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Kumbe bwawa la Nyerere yalikuwa maono, Kenya yafunga mkataba wa miaka 25 kununua umeme wa bwawani kutoka Ethiopia

    Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo. Kenya wamewahi kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere mbona Zitto Kabwe uko kimya kulikoni?

    BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo. Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania UFISADI: Mpina aibua tuhuma za upigaji wa Sh. Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameibua tuhuma nzito bungeni kuhusiana malipo ya shilingi triliioni 1.5 ambazo hazijulikani zilipo alizotakiwa kulipa Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kama malipo ya CSR na faini kuchelewesha mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa miaka miwili kinyume cha...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kukopa Trillion 4 ndani ya wiki 1 huku Mradi wa Bwawa la Nyerere umekwama kwa kukosa pesa si busara

    Hizo trillion 4 zinaenda wapi wakati hata pesa za miradi muhimu kabisa hakuna?! Ni kwanini tusikope fedha kukamilisha miradi strategic ambayo tumeshaianza?
  15. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa mitambo ya kufua umeme kwenye Bwawa la Nyerere na mabadiliko ya tabia ya nchi

    Wakuu habarini za mchana. Hivi karibuni kuna taarifa zimetolewa na shirika la umeme kua kutakua na upungufu wa umeme. Hii ni kutokana na ukame wa muda mrefu uliosababisha maji kupungua katika mabwawa yanayozalisha umeme. Sasa hoja yangu ni kuwa, kwanini tunaendelea kumwaga mapesa mengi...
  16. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba unachokifanya kwenye Bwawa la Nyerere, hii dhambi itakutafuna milele

    Hivi mnafanya hivi kumkomoa mwendazake au kunufaisha mabeberu? Mimi sikuwahi kumpenda mwendazake hadi leo na sitokuja kumpenda ila kwenye suala la madini, SGR na Bwawa la Nyerere nilimuunga mkono maana huo ni utaifa na ni suala la utaifa. Ila kwakweli kwenye Bwawa la Nyerere mnayoyafanya...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Makamba: Sisi tumeamua kuwa wakweli, bwawa la Nyerere linaisha Juni 2024. Adai tarehe ya mwanzo isingewezekana kwa namna yoyote

    Akiwa Clouds TV, waziri wa nishati January Makamba amesema bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere linaisha mwezi Juni mwaka 2024 na wameamua kwenda na uhalisia na hawaoni aibu kusema litaenda miaka miwili mbele kuliko tarehe iliyotarajiwa kwani kwa namna yoyote isingewezekana ile tarehe...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Mradi wa Umeme Bwawa la Julius Nyerere wafikia 74%, Kamati ya Nishati na Madini yaridhishwa

    Ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere umefikia 74%, hatua ambayo imebainishwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini iliyofanya ziara katika mradi huo Oktoba 15, 2022. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Stella Manyanya amesema...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere ni uamuzi mgumu na wa kijasiri uliofanywa na Magufuli!

    Tunaposema Hayati Magufuli alikuwa mtu na nusu hasa kwenye mambo yaliyohusu kuamliwa kijasiri bila kujali faida na hasara zake hakika alikuwa kinara kwalo. Mfano ni uamuzi wa kujenga hilo bwawa hapo juu (Bwawa la Nyerere) ki-ukweli ili ujenzi wake uanze ilihitaji mtu jasiri na asiyeyumbishwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Maji ya kujaza Bwawa la Nyerere yatatoka wapi?

    Tanesco wametutaarifu kuwa vyanzo vyote vya mabwawa yanayofua umeme yamepatwa na upungufu wa maji na hivyo uwezo wa kuzalisha umeme ni mdogo. Consequently jana tulikuwa hatuna umeme (total blackout) kuanzia saa 4 usiku hadi saa 2 asubuhi ya leo. Sasa hizo hela kwanini tunaziharibu na kuharibu...
Back
Top Bottom