buza

George Buza (born January 7, 1949) is an American-Canadian actor who is best known for voicing Beast in the X-Men Animated Series.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote

    Hivi kwanini daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote? Yanatakiwa kuishia Buza lakini hayafiki yanaishia Tandika. Hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka miwili sasa nah atua hazichukuliwi kama nilivyosema.
  2. A

    KERO Tabia ya kujenga Bandari Kavu kwenye makazi ya Watu inaongezeka Buza na Mwanagati, mamlaka zimeruhusu?

    Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi na kuleta foleni kubwa sana. Tunaomba mamlaka ituangalie Wananchi na kuangalia namna ya kuzisogeza...
  3. Roving Journalist

    TAKUKURU: Tunafanya uchunguzi Kituo cha Buza Kanisani kuhamishwa, tunashauri kwa sasa utaratibu wa zamani urejee

    MKUU WA TAKUKURU TEMEKE (M) - HOLLE MAKUNGU TAARIFA KWA UMMA TAKUKURU TEMEKE YACHUKUA HATUA KUFUATIA KERO YA WANANCHI BUZA Temeke Februari, 2026 Ndugu Waandishi wa Habari, TAKUKURU Mkoa wa Temeke tumewaita leo kufuatia taarifa ya kero ya wananchi wanaoishi eneo la Buzza, Wilaya ya Temeke...
  4. Roving Journalist

    Responded Maandamano ya Wananchi wa Buza - Dar es Salaam "Tumechoka tunamhitaji mkuu wa mkoa aje tunateseka"

    https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha magari ya Daladala Kutoka stendi mpya iliyopo kwa Mama Kibonge hadi Stendi ya Buza kanisani...
  5. Rorscharch

    Baa na Club Kubwa za Buza: Viwanda vya Kuzalisha Mashoga - Ni Wakati wa Kufichua Uovu Uliofichwa Mbele ya Macho Yetu!

    Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua kwamba tayari yamevunja milango yetu na kuingia chumbani. Ukweli huu ni mzito na mchungu, na...
  6. Mkalukungone Mwamba

    KERO Hizi foleni za Mbagala, Buza zimekuwa kero sana

    Foleni zimekuwa ni jambo la kawaida, hasa kwa wanaosafiri kuelekea maeneo ya Mbagala au Buza, ambako safari inaweza kuchukua hadi saa tatu kufika, sehemu ya kufika ndani ya lisaa limoja hata kama umbali si mrefu. Hali hii imekuwa kero kwa wakazi na imekuwa ikikwamisha shughuli nyingi za kila...
  7. sued's

    DOKEZO Changamoto wanayopata wanafunzi kutoka kwa Makondakta hasa magari ya Buza , na G/Mboto

    Kuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende nyumbani ilikuwa mida ya saa mbili kasoro hivi maeneo ya relini na walikuwa wanaelekea Gongo la Mboto. Na...
  8. Stability

    Niko maeneo ya buza getoni kwa shemeji yenu. Sasa mrembo huyu amenipikia haya majitu, sijui ni nini au kunas meseji gani anajaribu kunifikishia?

    Namuuliza, eti yeye ananiambia wewe kulaa bwana
  9. DELETED ACCOUNT

    Djigui Diarra ni Mwarabu wa Buza kwa Mparange

    Golikipa wa Yanga Djigui Diarra ukiacha footwork yake hana tofauti yoyote ya kumzidi Ally Salim wa Simba na hata Hussein Abeli. Kuna nyakati Salim amedhihirisha kuna vitu anamzidi Diarra. Moja ya jambo linaloniudhi kupita maelezo kuhusu huyu mdaka panzi ni vitendo vyake vya kupoteza muda...
  10. Fbn

    Siku hizi siwasikii tena Warusi wa Mbagala na Buza kama ilivyokuwa mwanzoni vita vya Ukraine na Urusi

    Kulikuwa na asili ya Warusi waishio Mbagala na Buza ni jina walilopewa kwenye mijadara ya mitandao ya kijamii mpaka hapa JF. Hawa Warusi wa Buza na Mbagara kipindi vita inaanza tulikuwa tunawagopa sana kwa habari zao na jinsi walivoipa urusi uchambuzi na propaganda zao kuhusu putin. Ila mpaka...
  11. Yoda

    Trump ana tabia zote za waswahili wa Buza

    Petty and vindictive.
  12. Poppy Hatonn

    Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

    Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam. Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini...
  13. Mhaya

    Hakuna Cha ‘Pray for Israel’ au Iran - Wacha Wapigane Hadi Wachoke! Mpalestina wa Buza na Muisrael wa Bonyokwa kaeni kwa kutulia

    Mi’ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida. Kwa nini? Wao wanatusababishia vita huku, wanachukua madini na vinginevyo na kusepa, so how come leo nikisikia watu wanatwangana nihuzunike? Je...
  14. Pdidy

    MSAJILI MSITOE USAJILI WA KANISA WALA SEHEMU YA IBADA KWA BW C.GODLOVE..MSSISEME AYUJAWAMBIA YA BUZA MLIYASIKIA MKAYAONA

    KWAKO MH MSAJILI NIMEONA CLIP MOJA YA KIJANA MMOJA MPENDA MTANDAO KAMA NDUGUYETU YULE KIBOKO YA WACHAWI HUYU BWANA ANASEMA HANA MPANGO WA KUFUNGUA KANISA ANAFUNGUA SEHEMU YA KUABUDIA MWENYE DINI YOYOTE AJE NA AJALAZIMISHA MTU KUJA AMESEMA YUKO KWENYE PROXESS ZA KUOMBA USAJILI NAOMBA KABLA...
  15. Pdidy

    BUZA KWA LULENGE PAMEANZA KUCHANGAMKA TENA.THX ASKOFU EDWARD

    Injili lazima iendeleeeee.... PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂 ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇 "TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
  16. comte

    Mme aliyeibiwa na dada wa Buza yuko wapi?

    Bwana anayegombaniwa na afande na dada wa buza yuko wapi? Mbona tumemuacha naye ndiye chanzo cha haya yote?
  17. benzemah

    RPC Dodoma atumbuliwa baada ya kutoa taarifa tata ya binti kulawitiwa anaweza kuwa anajiuza

    Tumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye...
  18. S

    Wazazi wenye watoto wa kike, tuna cha kujifunza kwenye matukio ya binti wa SAUT-Mwanza na binti wa Buza?

    Ukizingatia "hype" ya mitandaoni watu wapo "aggressive"kutaka kuona wanaume waliofanya matendo ya kishetani kwa wale mabinti kutaka kuona wanawajibishwa haraka iwezekanavyo,huku mkuu wa mkoa na wale wanajeshi wakiwa nyuma ya nondo wakilia na kusaga meno. 2. Sisi kama wazazi wenye watoto wa...
  19. GENTAMYCINE

    Nani aliyemwambia 'Kiboko ya Wachawi' akimbie Nchini baada ya Kanisa lake la Kitapeli Buza Kufungiwa?

    Taarifa za uhakika ni kwamba Kakimbia nchini baada ya kuambiwa kuwa angeweza Kukamatwa hasa baada ya baadhi ya Waumini waliokuwa Wakisali pale Kwake kulalamika kuwa Wametapeliwa nae sana huku Wengine wakitaka Kumshtaki kwa kusababisha Ndoa zao Kuvunjika na Familia zao kuwa katika Uadui na Chuki...
  20. D

    Serikali chukueni hatua za dharura na haraka dhidi ya Kiboko ya Wachawi kinachoendelea hapa buza mtalaumiwa

    Serikali Kiboko ya Wachawi anahamisha masanduku yasiyojulikani kuna nini ndani yake yanapitishwa porini na waumini wake yeye amekaa mahali hapo porini kuzipokea. Kuna nini? Kwa nini mtu huyu bado ana pasipoti? Rais Samia utaingia kwenye mgogoro. Toa agizo huyu mtu akae ndani hadi baada ya...
Back
Top Bottom