https://youtu.be/1J1k-Bpi9Vc
SWALI KWA JASUSI BUTIKU: TUNAWEZAJE KUPATA NGUVU YA KUVUNJA DUARA LA UHARAMU, UKATILI NA UDHAIFU WA SERIKALI UTOKANAO NA CHAGUZI BATILI MWAKA HADI MWAKA?
Taasisi ya Mwalimu Nyerere ni shirika huru lisilo la kiserikali la Tanzania lililoanzishwa mwaka wa 1996 ili...
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni kumeripotiwa sintofahamu juu ya alipo.
Mchungaji Mwakipesile...
Sijui ni nani msimamizi wa jambo hili linaloitwa press conference nchini .
Kwa maoni yangu ni kwamba kila mwenye fedha anaitisha press conference na hakuna wa kumbabaisha.
Tabia hii itakomeshwa lini?
Kile kitendo cha kueleza kuwa alikuwa anafanya mawasiliano ya kila mara na Humphrey ni circumstantial evidence kuwa huyu mzee anajuwa wapi alipopelekwa Polepole.
Kama walijadili juu ya Polepole kupinga uchaguzi kufanyika bila reforms.Waliongea juu ya Poepole kuacha kazi sababu ya maovu ya CCM...
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Foundation) imeandaa mkutano wa mazungumzo kuhusu amani, umoja, haki na maendeleo ya watu, mkutano unaotarajiwa kufanyika Alhamisi ya Januari 22 mwaka huu (2026)
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Januari 19.2025...
Hii Taasisi inakwenda kupoteza hadhi yake. Inaongozwa na chawa kachara.
Matamshi yake ya juzi yanaivua nguo taasisi acha yeye mwenyewe anakuwa "takataka"!
Kupoteza heshima yake kubwa aliyoijenga for decades!
Haongelei matatizo makubwa ya utawala wa Samia, mauaji ya watu on 29, na mengine...
Najua utasema kuwa kesi iko mahakamani tusiizungumzie.
Kesi ya uongo kabisa hata "mjinga" wa sheria analiona hilo!
Umezungumzia waliouawa D29?Wanatendewaje haki?
Umezungumzia utekaji? Mauaji? Nepotism? Wizi wa kura? Bandari? Mbuga zetu? Rasilimali zetu kuuzwa kiholela in general....etc etc...
Nakusalimu Mzee,
Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo.
Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya October 29,2025 kulikuwa na tukio Gani kubwa nchini?
Utajibiwa kuwa, October 29 ilikuwa siku rasmi ya...
Hajawahi kukemea mauaji, leo anaitisha kongamano eti la Amani. Ni upumbavu kabisa. Je, amehongwa na wauaji awatetee...to normalize killings?
Mtanisamehe nimetumia lugha kali...moyo wangu unaumia sana kuona mzee kama yule anakuwa hivi!
Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha.
Sasa na wenyewe wanaogopa kutekwa! yaani hata kusema kitu kuhusu mtu ambaye Mama yake anaenda kulia mahakamani!
Kesho nani atakuwa salama
Heshima uliyojijengea miaka 85 ya umri wako umeiharibu ndaninya dakila 10 za press yako.
Ulaaniwe milele na Nyerere akupige kofi huko aliko.
Nyote semeni AMEN.
Mkikaa kimya wakati kijana wenu katekwa, ina maana mmemsaliti. Na huenda nyie ndio mmetoa taarifa za uwepo wa Polepole TZ.
Hasa mzee Butiku, Watanzania tunafikiri Wewe ndiye umemsaliti Polepole. Na kimya chako kinazidi kutu fanya tuendelee kuamini hivyo.
Ndio Furaha yako ?! .
Naona kale ka Asili ka 'Kizanaki' , ukigeugeu na Kujipendekeza ndiko kamekuharibia.
Hautakubalika tena na Watanzania , Wala hautaheshimiwa Tena na Watanzania , TUMEKUFUTA na kukuondoa katika Orodha ya Wazee Makini wa TAIFA hili.
Wewe Sasa ni Mmoja ya Wazee wahuni ...
Butiku jana ulisema Jeshi lisiingilie Siasa, Ila Hakuna namna kwenye this terror regime.
Tulitaka tuvuke huu mkwamo kwa kutunza heshima yenu, ila ameshindwa kuwacontrol hawa wahuni wake na wamekuwa rougue
Kama Butiku hutakemea hili, usitushauri kwa litakalokuwa
"Gloves are off". We need to...
Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi.
Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na ndevu ama kuvaa “pull neck” kumewapunguzia sifa gani?
Fidel Castro
Paul Kagame
Assimi Goïta
Nini Hatima ya Waliotekwa na Kufungwa na kuuwawa?.
Nini Hatima ya Vyama vya siasa hasa CHADEMA ?
Ni Hatima ya Tundu LISSU ?.
Nini Hatima ya Walio, wanao na watakaoendelea kuikosoa Serikali Kwa namna mbovu inavyoendesha Nchi?.
Nini Hatima ya Wazalendo ambao wanahitaji kuhakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.