butiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku naye analinda kula yake kupitia MNF pale Rotana Johari Buildings amesahau matamko yake amelipwa Trilioni ngapi Watz M60 tumchangie?

    Kwa kifupi tu Andrew Nyerere mwenye Ubini na ihalali wa yale majengo alishamaliza kila kitu na ndiyo maana familia ya ndani ya Baba wa Taifa wapo kimya. Butiku asitake kula matapishi yake tuko imara kwa data aliwahi kuiponza Taasisi ya TPO leo anaona maslahi ya wanaye ni bora kuliko Taifa hafai...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku utukome. Ni heri ukae kimya kujitunzia heshima yako kuliko kukubali kufanya Upotoshaji

    Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome. Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja. Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku alituasa vijana tujihadhari na watawala wahuni leo hii naye kageuka kuwa Muhuni.

    GT Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu. Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini. Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsikiliza Askofu Gwajima leo nimeamua kuungana na Mzee Butiku kuwa wote tunyamaze twende kwenye Uchaguzi

    Mzee Butiku akihojiwa na Fakhia Middle huko Butiama kwenye kipindi cha kipima joto mwanzoni mwa mwezi huu, pamoja na kukiri na kukubali kuwa 1. Hakuna haki, 2. Uteuzi wa mgombea wa CCM ulikiuka katiba ya CCM 3. Polepole alimfuata kuongea nae 4. Watu kutekwa na kuuawa kisa siasa 5. Chadema...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Polepole utapigiwa simu na kina Mzee Warioba na Butiku wanaweza kuombwa kuongea na wewe ila kamwe usirudi nyuma. Sema tu uliilopanga

    Safari hii umeongea na umetamka wazi kuwa sasa ni bora hata CCM ife Taifa lipone kwa utakaloongea kwani Viburi vya viongozi vimezidi. Leo umetamka wazi kuwa viongozi wa CCM wamejaa Viburi hii inaonyesha sasa umefika mwisho wa uvumilivu na kuheshimu hawa viongozi wenye Viburi. Umetamka kuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Jaji Warioba, Mangula, Butiku na wengineo Jitoeni kwenye CCM hii ya "Maokoto" Tujue kuwa nyie ni Wazalendo kweli!

    Salamu kwa Jaji Warioba, Mzee Butiku na wengine mnaoamini katika CCM iliyoasisiwa katika misingi ya mkulima na wafanyakazi. Nyie kwa miaka mingi mmekuwa ni tone la matumaini ndani ya nchi na chama kama kielelezo cha uadilifu, heshima na hekima. Lakini leo mnaona CCM inafanya mambo utadhani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania BUTIAMA: Joseph Butiku asema hakukubaliana na Uamuzi wa Hamprey Polepole

    JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa inapotosha uhalisia. Soma hapa Msikilize huyu Mzee ambaye Kwa record zake nyingi amejipambanua kwa ukweli na kuwa mtu wa kuaminika, Joseph Butiku ni Mzsee Msemakweli na Uelewa mpana. Msikilize,
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI BUTIAMA: Mzee Butiku asema tangu awali hakukubaliana na Uhuni na Uendawazimu wa Humphrey Polepole

    Mzee Butiku asema, Ngoja nimwite Kwa lugha ya Mtaani Muhuni au Mwendawazimu na pengine si mwenzetu,
  9. Five55

    JamiiForums Tanzania GE2025 Butiku: No reforms no election ni kuvunja katiba ya nchi

    Hatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA. Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45 kinachorushwa na runinga ya ITV amewataka CHADEMA kuachana na hoja yao ya kususia uchaguzi kwani kufanya...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Butiku: Tunauwoga wa kutoa mawazo tofauti

    Tunako katabia kidogo Watanzania, nadhani kitaifa, 'uwoga' wa kutoa mawazo tofauti, na nadhani nayo ni kasoro, katika demokrasia kila mtu lazima asikilizwe hata kama hukubaliani naye, na umuheshimu atoe mawazo yake mpaka yakamilike na umjibu kwa hoja usimtusi wala kumkashifu, jibu kwa hoja"-Mzee...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Naliomba kwa unyenyekevu JWTZ wamlinde Mzee Butiku na Mzee Warioba

    Alipohoji Gwajima , Amenusurika kutekwa, Kafungiwa Kanisa, Wamefreeze accounts zake za Bank. Alipohoji MPINA, amekatwa Jinakwa Maneno ya RAIS. Alipohoji MH POLEPOLE, Dada yake ametekwa, anatafutwa ni wapi alipo, naamini wakimpata tu ni Ama Kumuua au kumpa Kesi kubwa. Amewahi Ongea Mzee...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mzee Joseph Waryoba Butiku "hili la mauaji nila aibu"

    Mzee Joseph Waryoba Butiku "hili la mauaji nila aibu", mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation. Aliwahi kuwa Katibu Mkuu Binafsi na chief of staff wa Rais Hayati Mwalimu Julias Nyerere
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira akutana na Jaji Waryoba na Mzee Joseph Butiku, wateta

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa Serikali. Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Warioba, Butiku and the whole Nyerere generation old guard, you have a moral obligation to save the country from this leadership moral decay

    Umewahi kujiuliza au kutafakari ikiwa leo hii Nyerere angukuwa hai kushuhudia kinachoendelea nchini Tanzania au ndani ya CCM angesema au kufanya nini? Okay, najua utasema Nyerere angekuwapo tusingefika hapa tulipo - na ni kweli kabisa. Tumefikia mahali pabaya sana, ambapo mtu yeyote mwenye...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa

    Ni Mzee Butiku. Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Butiku: Naunga mkono mazungumzo ya Reforms. Kuna rushwa, kuiba kura na Polisi kutumika vibaya

    Dakika 45 leo! Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura, rushwa, kufuta wagombea wengine ( ambao hapa ni wa upinzani) na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria. Mungu wetu ni Mkuu sana. Sasa kunaanza kukucha. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Butiku ajilipua, asema uchaguzi ni jambo takatifu, lisizuiwe na yeyote, kiongozi au raia

    Lissu amekuwa failure katika ajenda yake ya kwanza akiwa kiongozi wa chadema. Mzee Butiku anasema uchaguzi ni jambo takatifu. Haliwezi kuzuiwa. https://youtu.be/moFRPTLZiJ0?si=wXKDmukBjuS9eenO
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Press conference za mzee Butiku na Dr. Nchimbi, nani ana busara?

    Kati ya mzee JOSEPH BUTIKU na Dr. EMMANUEL NCHIMBI nani ana busara? (Hatima ya mkoa mkoa wa RUVUMA na viongozi wake Kwa waliosahau, Dr. Nchimbi ndiye alikuwa mbunge wa Jimbo la Songea mjini 2010-2015. Kwa waliosahau, Dr. Nchimbi ndiye alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati DAUDI MWANGOSI...
Back
Top Bottom