bus

A bus (contracted from omnibus, with variants multibus, motorbus, autobus, etc.) is a road vehicle that carries significantly more passengers than an average car or van. It is most commonly used in public transport, but is also in use for charter purposes, or through private ownership. Although the average bus carries between 30 and 100 passengers, some buses have a capacity of up to 300 passengers. The most common type is the single-deck rigid bus, with double-decker and articulated buses carrying larger loads, and midibuses and minibuses carrying smaller loads. Coaches are used for longer-distance services. Many types of buses, such as city transit buses and inter-city coaches, charge a fare. Other types, such as elementary or secondary school buses or shuttle buses within a post-secondary education campus, are free. In many jurisdictions, bus drivers require a special large vehicle licence above and beyond a regular driving licence.
Buses may be used for scheduled bus transport, scheduled coach transport, school transport, private hire, or tourism; promotional buses may be used for political campaigns and others are privately operated for a wide range of purposes, including rock and pop band tour vehicles.
Horse-drawn buses were used from the 1820s, followed by steam buses in the 1830s, and electric trolleybuses in 1882. The first internal combustion engine buses, or motor buses, were used in 1895. Recently, interest has been growing in hybrid electric buses, fuel cell buses, and electric buses, as well as buses powered by compressed natural gas or biodiesel. As of the 2010s, bus manufacturing is increasingly globalised, with the same designs appearing around the world.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Car4Sale Higer bus. Bus la kifahari kwa bei nafuu

    Jipatie Bus kali lenye bei Nafuu Higer KLQ6136DF pamoja na Higer PF4 Lenye choo au bila choo Bei zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu Weka order yako sasa 📞 +255622726182 📍Magomeni Kanisani Stock ni limited
  2. Uongozi wa Shabiby Bus Terminal waboresha vyoo vya Kituo cha Shabiby Bus Terminal - Dodoma

    Kampuni ya mabasi Shabbiy Bus imefanya maboresho ya vyoo katika Kituo Kikuu cha Upakiaji Abiria jijini Dodoma, ambavyo awali vilikuwa katika hali ya uchakavu, hatua inayolenga kuboresha mazingira na ustawi wa wasafiri. Mbali na marekebisho hayo, kampuni hiyo inaendelea na ukarabati mkubwa wa...
  3. Kwa nini stendi ya bus Iringa ilijengwa Igumbilo badala ya Ipogolo?

    Wakati watawala wa CCM wana design na kujenga stendi ya bus Iringa eneo la Igumbilo walikuwa wana mpango gani kuhusu bus za route ya Njombe na Mbeya kuelekea au kutoka Dodoma?
  4. A

    DOKEZO Walinzi wa getini Msamvu Bus Terminal wanalazimisha kulipa Sh 300 hata kama una tiketi ya mtandaoni

    Ukilipitia tiketi online, automatically utabakiwa na muamala wa malipo, unapofika stendi uendako kama huna risiti utatakiwa ulipie shilingi mia tatu getini. Kwani kulipia ticket online na kulipia ofisini kuna tofauti gani? Ukionesha SMS ya malipo hawataki, wanataka risiti ya tiketi ya EFD...
  5. Coaster ya school bus inahitajika

    Habari za asubuhi? Natafuta Coaster box body Iwe ya kununua au kukodi kwa mkataba. Kikubwa Coaster iwe na hali nzuri ya body na mashine. Shule ipo Tanga mjini. Tuwasiliane PM.
  6. A

    KERO Kampuni ya Sea Bus Express acheni utapeli

    Kampuni ya Sea bus express inayofanya route ya Mwanza to Tabora, wanapakia abiria wa kwenda Mbeya badala ya kuwafaulishia Nzega ili wapite njia ya Dodoma Iringa kama walivyokubaliana wao wanawafaulishia Tabora na kupitia njia ya Chunya ambayo ni Barbara ya vumbi. Nauli ya kutoka Mwanza hadi...
  7. KERO Barua ya wazi kwa Shabiby bus

    Naleta kwenu lalamiko langu kama ifuatavyo: Mnamo tarehe 4. 12. 2025 majira ya saa 1:40 usiku nilifika kituo cha mabus Mbezi Magufuri terminal kutuma bahasha kwenda ofisi ya Tanesco Dodoma, nilipokelewa na mhudumu wenu na kupewa ref ya mzigo no SSB 961 AKZ baada ya kufanya malipo, jambo la...
  8. Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus maarufu sana zilizokuwa zikijulikana kama Meridian, vipi kampuni ipo bado?

    Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus za Meridiani, vipi kampuni bado ipo? Hawa jamaa Meridian walikuwa maarufu sana wakishindana na Dar Express, safari zao zilikuwa Dar es Salaam to Kilimanjaro & Arusha Zamani bila kupanda bus hizo ulikuwa hujioni matawi ya juu Dar Express nawaona...
  9. Unajua kwanini Mabasi yakaitwa Ester Luxury Coach?

    Sababu ni hii huyu mama kwa Mujibu wa daily news digital ambayo ni mgazeti ya serikali yalienda hadi Iramba kwa Mwigulu Nchemba wakafanya naye mahojiano anaitwa Ester ndiye mama mdogo wa PM huyu ndiye alimlea PM tangu akiwa mdogo. SIJASEMA ndio maana yale akayaita Ester ili kumheshimisha...
  10. M

    Usafiri wa Bus za kwenda Dar-Kondoa

    Habar wakuu, Niko dar kesho nina safari ya kwenda Kondoa, nauliza kuna gari za kwenda huko? Ni kampuni gari nzuri ya bus za kutoka Dar kwenda Kondoa? Na nauli ni shilingi ngapi zinatoka Dar muda gani?
  11. Shuttle bus to/from SGR Stations

    Japo ni Jambo zuri ila bodaboda/bajaj/bolt watahujumu kwa Fitna za wazi na Sirini. Tujipe muda
  12. Kwanini Mwendokasi (BRT) wasiachane na magari ya mafuta au gesi wakachukua city bus za umeme mfano Yutong E18.

    Wakuu. Lengo kuu la mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kurahisisha usafiri kwa wakazi wa Dar es Salaam (na Pwani) kwa gharama nafuu salama. Pamoja na ilo kuu, mengine ni kupunguza msongamano wa magari mjini, kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa kwa hewa ya ukaa (carbon emissions) na kutoa ajira kwa...
  13. Mzunguko wa hewa huwa sio mzuri ndani ya Bus zenye viyoyozi (AC), bora kufungua vioo tu

    Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga...
  14. M

    KERO Shabiby Bus Acheni kukera

    Inakuaje kampuni ya usafiri kubwa na yenye jina kama Shabiby mnakera abiria kwa kuwafungulia muziki kwa sauti kubwa usiku wa manane? Gari zenu mnazo nzuri tu ila uswahili ndio umetamalaki kupitaliza. Badilikeni jamani. Makelele ni dalili ya ushamba uliopitiliza. Gari ni ya kiwango cha juu kwa...
  15. Samia ameshindwa kutunza mabasi ya mwendokasi, ataweza kuwatunza Watanzania milioni 65?

    Naauliza tu Mana naona kila siku zikienda ma bus yanakufa moja badala ya jengine Hata kama analeta mapya hio haitakua dawa
  16. Mwendo kasi 'Dar bus Transit' kama Tazara na SGR kua white elephant project kutokana na ubinafsi

    ukiangalia hii dhana ya mradi wa DART utaona ni dhana sahihi kutatua tatizo kubwa la usafiri wa umma katika jiji la Dsr es Salaam. Dhana ya bus transit sio ya zamani imeanza mwishoni mwa miaka ya 1990. Miji ya kwanza kujengwa rapit transit ilikua kule amerika ya kusini Curitiba Brazil na Bogota...
  17. Kwa nini Abood Bus wao hawatumii tiketi za ki electronic?

    Nafikiri hii ilikua kwa ajili ya usalama wa abiria na mali zake ? Au ni kwa ajili ya walipa kodi wengine huyu Abood yeye haimhusu ? Nimeona taarifa kutekwa kwa kada wa Chadema aliekua ndani ya Abood na walipoulizwa taarifa walisema wao hawana tiketi za ki electronic wao ni akina nani wasitake...
  18. Mke wa Mrisho Mpoto alikua na cheo gani mpaka mwili wake ubebwe na bus la jeshi?

    Nimeona mitandaoni huko,mwili wa mke wa mrisho mpoto umebebwa kwenye bus la jwtz. Je huyo marehemu alikua ni Askari wa jwtz?
  19. Military bus zilinunuliwa kwa lengo gani? Nazipenda Sana zikipita 🤣

    Naziona ziko nyingi ila kuna nyingine hata hazitumiki zilinunuliwa nyingi na bado ziko bandarini cha ajabu sometimes wanaazima bus za binafsi ila me nazipenda Sana hizi bus aisee 🤣🤣 wakuu hii mada ni nimeanzisha Tu baada ya kuziona zinasafiri empty nazipenda Sana hizi bus 🥰
  20. M

    Basi gani nzuri luxury ambayo nitasifiri kutoka DAR-MWANZA

    Habar wakuu naombeni msaada wenu gari Gani nzuri luxury ambayo ntasafiri comfortable nafamilia toka dar kwenda mwanza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…