burkina faso

Burkina Faso (UK: , US: (listen); French: [buʁkina faso]) is a landlocked country in West Africa that covers an area of around 274,200 square kilometres (105,900 sq mi) and is bordered by Mali to the northwest, Niger to the northeast, Benin to the southeast, Togo and Ghana to the south, and the Ivory Coast to the southwest. The July 2019 population estimate by the United Nations was 20,321,378. Previously called Republic of Upper Volta (1958–1984), it was renamed "Burkina Faso" on 4 August 1984 by President Thomas Sankara. Its citizens are known as Burkinabé or Burkinabè ( bur-KEE-nə-bay), and its capital and largest city is Ouagadougou. Due to French colonialism, the country's official language of government and business is French. However, only 15% of the population actually speaks French on a regular basis. There are 59 native languages spoken in Burkina, with the most common language, Moore, spoken by roughly 50% of Burkinabé.The Republic of Upper Volta was established on 11 December 1958 as a self-governing colony within the French Community and on 5 August 1960 it gained full independence with Maurice Yaméogo as President. After protests by students and labour union members, Yaméogo was deposed in the 1966 coup d'état, led by Sangoulé Lamizana, who became president. His rule coincided with the Sahel drought and famine, and facing problems from the country's trade unions he was deposed in the 1980 coup d'état, led by Saye Zerbo. Encountering resistance from trade unions again, Zerbo's government was overthrown in the 1982 coup d'état, led by Jean-Baptiste Ouédraogo.
The leader of the leftist faction of Ouédraogo's government, Thomas Sankara, was made Prime Minister but was later imprisoned. Efforts to free him led to the 1983 coup d'état, in which he became president. Sankara renamed the country Burkina Faso and launched an ambitious socioeconomic programme which included a nationwide literacy campaign, land redistribution to peasants, railway and road construction and the outlawing of female genital mutilation, forced marriages and polygamy. Sankara was overthrown and killed in the 1987 coup d'état led by Blaise Compaoré – deteriorating relations with former coloniser France and its ally the Ivory Coast were the reason given for the coup.
In 1987, Blaise Compaoré became president and, after an alleged 1989 coup attempt, was later elected in 1991 and 1998, elections which were boycotted by the opposition and received a considerably low turnout, as well as in 2005. He remained head of state until he was ousted from power by the popular youth upheaval of 31 October 2014, after which he was exiled to the Ivory Coast. Michel Kafando subsequently became the transitional president of the country. On 16 September 2015, a military coup d'état against the Kafando government was carried out by the Regiment of Presidential Security, the former presidential guard of Compaoré. On 24 September 2015, after pressure from the African Union, ECOWAS and the armed forces, the military junta agreed to step down and Michel Kafando was reinstated as acting president. In the general election held on 29 November 2015, Roch Marc Christian Kaboré won in the first round with 53.5% of the vote and was sworn in as president on 29 December 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Kikwete na Janabi walienda Burkina Faso, Tanzania ina uhusiano upi na Burkina Faso?

    Picha na Daily News. Rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Kikwete ambae ni mjumbe maalum wa raisi Samia, siku ya tarehe 17 April alifanya ziara ya kikazi nchini Burkina Faso. Akiwa mjini Ougadougou mjumbe huyo aliwasilisha salamu kutoka kwa raisi wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambao ulisisitiza...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Burkina Faso lasema lilizuia njama 'kuu' ya mapinduzi

    Jeshi la Burkina Faso lasema lilizuia njama 'kuu' ya mapinduzi. Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema ilitibua "njama kubwa" ya kumpindua kiongozi wa kijeshi Kapteni Ibrahim Traoré, huku jeshi likidai kuwa wapangaji hao walikuwa na makao yao katika nchi jirani ya Ivory Coast. Waziri wa...
  3. JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete alivyokutana na Rais wa Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré

    Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré. Mkutano huo ulifanyika jijini Ouagadougou Aprili 17, 2025 na kuhudhuriwa na maafisa waandamizi kutoka Serikali zote mbili. Katika mkutano...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore : Umeme bure Maji bure kwa Wazee Burkina Faso Hakuna Kulipa

    Anaamini kwamba Umeme na Maji ni huduma za Msingi ambazo binadamu anahitaji kuzipata Tunayakujifunza kwa Watawala na Wapiga kura huku Kusini mwa Jangwa la Sahara Mungu ambariki huyu KIJANA !!! Earthmover Kasumbalesa
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Burkina Faso yalipa deni lote la taifa

    Huku kwetu kila kukicha deni linazidi kupaa na maisha kuzidi kuwa magumu. Na hapo tunajinasibu kuwa na amani na utulivu. Burkina Faso mbali ya kuwa katika machafuko kwa muda mrefu, kwa miaka 2 tu Traore kaweza kulipa deni la taifa la Dola Bil. 4. Halafu Tanzania Wasira anajisifu kuwa deni ni...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traoré akionesha ufundi kwenye Soka akiwa na Jay-Jay Okocha na Adebayor

    Rais wa Burkina Faso 🇧🇫Ibrahim Traoré ni mtu wa boli kweli kweli, hapa akiwa anacheza na wakongwe wa boli kwenye mchezo wa kirafiki akiwemo fundi wa Mpira kutoka Nigeria Jay-Jay Okocha, Emmanuel Adebayor na wengine.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Niger, Mali na Burkina Faso zajitoa kwenye Jumuiya ya nchi zinazotumia Kifaransa (Francophones)

    Baada ya kujitoa kwenye jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ( ECOWAS) , Niger , Mali na Burkina Faso zimejitoa rasmi kwenye jumuiya ya nchi zinazotumia lugha ya Kifaransa na zilizokuwa makoloni ya Ufaransa (OIF- Organisation Internationale de la Francophonie ). Taarifa ya kujitoa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore anatoa wapi fedha za kufanya maendeleo makubwa hivi Burkina Fasso?

    Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa wananchi wa hali ya chini. Katika maadhimisho ya wanawake ameonekana akiwa mashambani kisha kufanya...
  9. JamiiForums Tanzania FT: Burkina faso 0: 2 Tanzania

  10. JamiiForums Tanzania Burkina Faso launches first homemade electric vehicle, ITAOUA

    © ITAOUA Burkina Faso has launched its first 100% homemade electric vehicle, ITAOUA, produced at a cutting-edge plant in Ouaga 2000, a well-known residential district in Burkina Faso, with Burkinabe engineers leading the design and manufacturing processes. The ITAOUA electric car is a...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ramani mpya ya ECOWAS baada ya Mali, Niger na Burkina faso kujitoa

    Sasa ni rasmi kuwa Mali, Niger na Burkina Faso si wanachama wa jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiwa ni takribani mwaka mmoja tangu nchi hizo zitoe taarifa rasmi ya kujitoa kwao. Kwa taratibu za ECOWAS, uanachama hukoma takribani mwaka mmoja baada ya nchi mwanachama...
  12. JamiiForums Tanzania Burkina Faso, Mali na Niger zajiondoa rasmi Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS)

    Nchi zinazoongozwa na utawala wa kijeshi, ikiwemo Burkina Faso, Mali na Niger, zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS). Taarifa iliyotolewa na ECOWAS leo Jumatano, Januari 29, 2025, imeeleza licha ya kujiondoa kwao, imetaka mshikamano wa kikanda na...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso

    Rais wa Burkina Faso ameanza kazi vizuri na wengi wanampenda ameifanya Bara la Afrika kuwa sehemu ya Kivutio: SOMA HAPA 👇🏻 1.Mosi ,Amefukuz Majeshi ya Ufaransa Nchini Burkinafaso akidai Burkinafaso Ni Nchi Huru (Sovereign State) isiyohitaji Uwepo Wa Majeshi ya Mataifa ya Magharibi katika...
  14. JamiiForums Tanzania Burkina Faso wamezindua gari ya kwanza ya umeme: Wanaiita ITAQUA EV!

    Mapinduzi ya EV yanazidi kushika moto, na Burkina Faso kama moja ya nchi za Africa, hawapo nyuma. Wamekuja na chuma ITAQUA EV yenye range ya 300 km. Taarifa zaidi kuhusu gari kama bei, upatikanaji, perfomance na models hazijawekwa officially, ila ni mwanzo mzuri kwa nchi kama hiyo na iwe...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Ibrahim Traoré Rais wa Burkina Faso amewasili nchini kuhudhuria Mkutano wa Nishati

    Wakuu Nimeona vyanzo mbalimbali vimepost hii taarifa huko YouTube. Je, ni kweli Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso, amewasili nchini kuhudhuria mkutano wa nishati ambao unaendelea leo kwa siku ya pili?
  16. JamiiForums Tanzania Kapteni Traole apiga marufuku Majaji nchini Burkina Faso kuvaa Mawigi yanayofanana na Majaji wa Ulaya

    Kiongozi wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré amepiga marufuku majaji kuvaa mawigi yanayofanana na mitindo ya kikoloni ya Uingereza na Ufaransa, ikiwa ni juhudi za kuondoa athari za ukoloni kwenye mfumo wa mahakama wa taifa hilo. Mawigi hayo yalianzishwa na wakoloni kama sehemu ya mavazi rasmi ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Traole wa Burkina Faso italeta kichocheo kwa Watanzania cha kuchukia utawala wa kifisadi unaogawa rasilimali za Taifa kwa wageni?

    Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso Capt Ibrahimu Traore anatarajiwa kuja Tanzania January, 2025. Je, atatingisha jukwaa kama alivyofanya nchini Ghana?

    Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake. Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo...
  19. JamiiForums Tanzania Dikteta Captain Traore wa Burkina Faso ana maajabu gani kumfanya kukubalika sana na Waafrika wengi?

    Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani? Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
  20. S

    JamiiForums Tanzania Yabainika Ufaransa ililipa mabilioni ili majasusi wake waliokamatwa nchini Burkina Faso waachiwe

    Imebainika kuwa Ufaransa ililipa kiasi cha Euro Milioni 60 sawa na Shilingi Bilioni 156 za Tanzania ili majasusi wake wanne waliokuwa wamekamatwa na kushikiliwa nchini Burkina Faso waweze kuachiwa. Majasusi hao walikamatwa nchini Burkina Faso mnamo Disemba mwaka 2023 na kuachiwa mnamo Disemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…