burkina faso

Burkina Faso (UK: , US: (listen); French: [buʁkina faso]) is a landlocked country in West Africa that covers an area of around 274,200 square kilometres (105,900 sq mi) and is bordered by Mali to the northwest, Niger to the northeast, Benin to the southeast, Togo and Ghana to the south, and the Ivory Coast to the southwest. The July 2019 population estimate by the United Nations was 20,321,378. Previously called Republic of Upper Volta (1958–1984), it was renamed "Burkina Faso" on 4 August 1984 by President Thomas Sankara. Its citizens are known as Burkinabé or Burkinabè ( bur-KEE-nə-bay), and its capital and largest city is Ouagadougou. Due to French colonialism, the country's official language of government and business is French. However, only 15% of the population actually speaks French on a regular basis. There are 59 native languages spoken in Burkina, with the most common language, Moore, spoken by roughly 50% of Burkinabé.The Republic of Upper Volta was established on 11 December 1958 as a self-governing colony within the French Community and on 5 August 1960 it gained full independence with Maurice Yaméogo as President. After protests by students and labour union members, Yaméogo was deposed in the 1966 coup d'état, led by Sangoulé Lamizana, who became president. His rule coincided with the Sahel drought and famine, and facing problems from the country's trade unions he was deposed in the 1980 coup d'état, led by Saye Zerbo. Encountering resistance from trade unions again, Zerbo's government was overthrown in the 1982 coup d'état, led by Jean-Baptiste Ouédraogo.
The leader of the leftist faction of Ouédraogo's government, Thomas Sankara, was made Prime Minister but was later imprisoned. Efforts to free him led to the 1983 coup d'état, in which he became president. Sankara renamed the country Burkina Faso and launched an ambitious socioeconomic programme which included a nationwide literacy campaign, land redistribution to peasants, railway and road construction and the outlawing of female genital mutilation, forced marriages and polygamy. Sankara was overthrown and killed in the 1987 coup d'état led by Blaise Compaoré – deteriorating relations with former coloniser France and its ally the Ivory Coast were the reason given for the coup.
In 1987, Blaise Compaoré became president and, after an alleged 1989 coup attempt, was later elected in 1991 and 1998, elections which were boycotted by the opposition and received a considerably low turnout, as well as in 2005. He remained head of state until he was ousted from power by the popular youth upheaval of 31 October 2014, after which he was exiled to the Ivory Coast. Michel Kafando subsequently became the transitional president of the country. On 16 September 2015, a military coup d'état against the Kafando government was carried out by the Regiment of Presidential Security, the former presidential guard of Compaoré. On 24 September 2015, after pressure from the African Union, ECOWAS and the armed forces, the military junta agreed to step down and Michel Kafando was reinstated as acting president. In the general election held on 29 November 2015, Roch Marc Christian Kaboré won in the first round with 53.5% of the vote and was sworn in as president on 29 December 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

    Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni. Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu. Awali ilionekana asingehudhuria sherehe hiyo, ila akatokea dakika za lala salama. Katika sherehe...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Raia nchini Burkina Faso waamua kulala barabarani nyakati za usiku ili kumlinda Rais Ibrahim Traore

    Baadhi ya Raia nchini Burkina Faso wameanzisha utaratibu wa kutumia muda wa usiku katika barabara na maeneo muhimu ya mji mkuu wa Ouagadougou badala ya kulala majumbani mwao ili kumlinda Rais Kapteni Ibrahim Traore dhidi ya jaribio lolote la mapinduzi. Raia hao walioanzisha kikundi kinachoitwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Burkina faso yaanzisha utaratibu wa kurusha mubashara ( live) kesi zinazohusu ubadhirifu/ wizi wa fedha za umma

    Burkina Faso iliyo chini ya utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore imeanzisha utaratibu wa kurusha live kesi zote zinazohusu ubadhirifu wa fedha za umma. Utaratibu huo umeanza mwezi Novemba 2024 na watuhumiwa walioanza nao ni maafisa wa wizara ya misaada ya kibinadamu wanaotuhumiwa kuiba...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja Serikali

    Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amemfuta kazi Waziri Mkuu Apollinaire de Tambela na kuvunja serikali ya nchi hiyo. Tamko lililotolewa na ofisi ya Rais Traore jana, Disemba 6 limesema kuwa wadhifa wa Waziri Mkuu umefutwa, lakini hakuna sababu maalum iliyotolewa kwa uamuzi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso kununua mabasi 500 kwa ajili ya kurahisisha usafiri kwa wanafunzi

    Serikali ya Burkina Faso inayoongozwa na Kapteni Ibrahim Traore inatarajia kununua mabasi 500 kwa ajili ya kurahisisha usafiri na kuondoa adha wapatayo wanafunzi hasa waishio maeneo ya mijini. Hayo yamesemwa wakati wa utoaji wa ripoti ya kikao cha kawaida cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa majeshi wa nchi zinazounda Umoja wa Sahel (AES) wakutana nchini Niger

    Wakuu wa Majeshi kutoka nchi za Niger, Mali na Burkina Faso zinazounda umoja wa nchi za Sahel ( AES ) wamekutana na kufanya kikao nchini Niger jana tarehe 3 Disemba 2024. Wakuu hao wa majeshi walifanya tathmini ya mwenendo wa mapamabano dhidi ya magaidi wanaozisumbua nchi zote tatú. Baada ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kapteni Ibrahim Traore azindua kiwanda cha kusindika nyanya

    Rais wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amezindua kiwanda cha kusindika nyanya kilichopo katika mji wa Bobo-Dioulasso. Uzinduzi wa kiwanda hicho umefanyika leo tarehe 30 Novemba 2024 . Kiwanda hicho chenye uwezo wa kuchakata tani 6 za nyanya kwa saa moja, kinatazamiwa kuiwezesha nchi hiyo...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso inapanga kufuta baadhi ya leseni za uchimbaji madini

    Burkina Faso inapanga kufuta leseni za uchimbaji madini kutoka kwa baadhi ya makampuni ya kigeni na itatafuta kuzalisha dhahabu yake zaidi, alisema kiongozi wa junta Ibrahim Traore siku ya Jumamosi, bila kubainisha ni leseni zipi zinaweza kufutwa. "Tunajua jinsi ya kuchimba dhahabu yetu na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkinafaso hatoshiriki tena mikutano ya mataifa makubwa isiyo na maslahi Kwa nchi yake

    Captain. Traore kafunguka akiwa anaongea na mawaziri wake, Alisema hivi. Unadhani kwako unapokaa kuna jirani atakuja kukujengea? Kamwe hayupo, Hakuna bepari atakayekuletea maendeleo bila wewe mwenyewe kupambana maana hata bepari nae hupambania watu wake kupitia wewe, Lazima tulinde na kutumia...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Swamidwa Habidadi Mkulima Mwenye Ndoto Kubwa Kutoka Burkina Faso

    Swamidwa Habidadi ni kutoka Burkina Faso ambaye ni mkulima mwenye mafanikio makubwa. Alianza kilimo akiwa na umri mdogo wa miaka 16 baada ya wazazi wake kufariki dunia, na kwa sasa amejitolea kikamilifu katika shughuli za kilimo kuliko masomo yake. Aligawa shamba alilorithi kutoka kwa wazazi...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Takriban watu 200 wameuawa katika shambulizi katikati mwa Burkina Faso

    Up to 200 people killed in attack in central Burkina Faso An armed group linked to al-Qaeda, Jama’at Nusrat al-Islam wal-Muslimin (JNIM), has claimed responsibility for what it says was an attack that killed up to 200 people and injured at least 140 in central Burkina Faso. The attack took...
  12. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imeshindwa kutafsiri dhana ya Burkina Faso?

    Hususan kwa watendaji, washauri wa Rais na vyombo vyetu vya intelijensia. Nchi ndogo za magharibi ya Afrika zimeonesha jinsi Afrika inavyohitaji mabadiliko ya namna tunavyoongoza nchi na kusimamia Serikali. Tanzania ni wakati umefika itazame uhalisia. Ya nchi hizo ndogo ni mfano mzuri sana, na...
  13. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako juu ya kauli ya Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso?

    Wanasubiri tufungue accounts za benki kwao (Ulaya) ili siku moja watwambie fanyeni hiki, fanyeni kile, vinginevyo tunawafungia. Sisi hatujali… Hatuna accounts huko na hatuhitaji kuwa na accounts… Hatuna chochote huko na haitokaa itokee tukamiliki chochote huko. Kila tunachokifanya ni kwa ajili...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania VOA: Zaidi ya Wanajeshi 80 wa Burkina Faso wauawa na Wanajihadi. Rais Traore akimbia Ikulu na kujificha ikihofiwa Uasi wa Jeshi

    Huko Burkina Faso Hali inazidi kuwa tete Kwa bwana mdogo Rais Captain Ibrahim Traore ambae kwa Sasa anaishi Kwa kujificha ficha akihofia usalama wake. Hali hii inajiri kuliwa na taarifa za Wanajeshi wengi wapatao 80-120 kuuwawa n wanamgambo wa jihadi hukunikidaiwa kwamba usalama wa Nchi hiyo...
  15. Sijali

    JamiiForums Tanzania Nahamia Burkina Faso

    https://youtu.be/hHvbungjv-I?si=WvGqWz5ugZWo4yrY Kuna wakati Mtanzania hakuwa anashughulishwa na tumbo lake tu: kufikiria atalipiaje kilo ya sukari, atalipiaje maji, umeme, gesi.... zote bidhaa muhimu kwa maisha lakini zimewekewa VAT ya kiwango cha juu (Value Added Tax. Hata hawajui maana...
  16. Sijali

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Cptn. Ibrahima Traore apunguza mishahara ya wanasiasa

    https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm Huko ni Burkina Faso. Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka lengo la kutonunua chakula kutoka nje katika miaka mitano ijayo, pia kutengeneza asilimia 60% ya nguo...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traore awapa wananchi ruhusa ya kumuadhibu waziri kwa ufujaji wa fedha za umma

  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore wa Burkina Faso ni mfano hai kuwa ili nchi iendelee inahitaji kiongozi dikteta

    Hakika wananchi wa Burkina Faso wanabubujikwa na machozi kwa rais mzalendo waliyenpata🙂. Ndani ya muda mfupi Ibrahim Traore ameonyesha kwa vitendo nia yake ya kuikonboa nchi yake kutoka kwenye umaskini. Ameanza ujenzi wa refinery kubwa ya dhahabu yenye uwezo wa kusafisha tani 150 kwa mwaka...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Matangazo ya Redio ya BBC na VOA yafungwa kwa kuripoti Jeshi linavyodhalilisha Raia

    Burkina Faso suspended the BBC and Voice of America radio stations for their coverage of a report by Human Rights Watch on a mass killing of civilians carried out by the country’s armed forces. Burkina Faso’s communication spokesperson, Tonssira Myrian Corine Sanou, said late that Thursday that...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Unaweza kudhani ni maajabu, ila huo ndio ukweli, Kijana alozaliwa 14/3/1988, aloamua kuchukua Nchi Kwa njia ya mapinduzi mnamo 30/9/2022 .. ni Mwaka mmoja na miezi 6 tuu ila Mzalendo huyu Kijana kaamua kuanzisha safari aloiachia HAYATI Thomasi Sankara. Kwa watoto wa 2000, Thomas Sankara ni...
Back
Top Bottom