burkina faso

Burkina Faso (UK: , US: (listen); French: [buʁkina faso]) is a landlocked country in West Africa that covers an area of around 274,200 square kilometres (105,900 sq mi) and is bordered by Mali to the northwest, Niger to the northeast, Benin to the southeast, Togo and Ghana to the south, and the Ivory Coast to the southwest. The July 2019 population estimate by the United Nations was 20,321,378. Previously called Republic of Upper Volta (1958–1984), it was renamed "Burkina Faso" on 4 August 1984 by President Thomas Sankara. Its citizens are known as Burkinabé or Burkinabè ( bur-KEE-nə-bay), and its capital and largest city is Ouagadougou. Due to French colonialism, the country's official language of government and business is French. However, only 15% of the population actually speaks French on a regular basis. There are 59 native languages spoken in Burkina, with the most common language, Moore, spoken by roughly 50% of Burkinabé.The Republic of Upper Volta was established on 11 December 1958 as a self-governing colony within the French Community and on 5 August 1960 it gained full independence with Maurice Yaméogo as President. After protests by students and labour union members, Yaméogo was deposed in the 1966 coup d'état, led by Sangoulé Lamizana, who became president. His rule coincided with the Sahel drought and famine, and facing problems from the country's trade unions he was deposed in the 1980 coup d'état, led by Saye Zerbo. Encountering resistance from trade unions again, Zerbo's government was overthrown in the 1982 coup d'état, led by Jean-Baptiste Ouédraogo.
The leader of the leftist faction of Ouédraogo's government, Thomas Sankara, was made Prime Minister but was later imprisoned. Efforts to free him led to the 1983 coup d'état, in which he became president. Sankara renamed the country Burkina Faso and launched an ambitious socioeconomic programme which included a nationwide literacy campaign, land redistribution to peasants, railway and road construction and the outlawing of female genital mutilation, forced marriages and polygamy. Sankara was overthrown and killed in the 1987 coup d'état led by Blaise Compaoré – deteriorating relations with former coloniser France and its ally the Ivory Coast were the reason given for the coup.
In 1987, Blaise Compaoré became president and, after an alleged 1989 coup attempt, was later elected in 1991 and 1998, elections which were boycotted by the opposition and received a considerably low turnout, as well as in 2005. He remained head of state until he was ousted from power by the popular youth upheaval of 31 October 2014, after which he was exiled to the Ivory Coast. Michel Kafando subsequently became the transitional president of the country. On 16 September 2015, a military coup d'état against the Kafando government was carried out by the Regiment of Presidential Security, the former presidential guard of Compaoré. On 24 September 2015, after pressure from the African Union, ECOWAS and the armed forces, the military junta agreed to step down and Michel Kafando was reinstated as acting president. In the general election held on 29 November 2015, Roch Marc Christian Kaboré won in the first round with 53.5% of the vote and was sworn in as president on 29 December 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso yamtaka Mkuu wa UN kuondoka mara moja

    Serikali ya Kijeshi ya Nchi hiyo imemtaja kiongozi huyo wa Umoja wa Mataifa, Barbara Manzi kuwa ni mtu ambaye hatakiwi kubaki Nchini humo Waziri wa Mambo ya Nje, Olivia Rouamba amesema tamko la UN la hivi karibuni kuwa machafuko yanayotarajia kutokea Burkina Faso yanasababishwa na udini...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi lakifungia kituo cha Redio RFI ya Ufaransa

    Serikali ya Kijeshi imechukua maamuzi hayo kwa madai kuwa kituo hicho kimetangaza taarifa za uongo na kuwapa nafasi Waasi wa Kiislamu kusikika kwenye matangazo yao. Pia, Jeshi limesema RFI ilirudia ripoti iliyokanushwa kwamba Rais Kapteni Ibrahim Traore aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Mwanajeshi aliyeondolewa madarakani ajiuzulu na kuondoka nchini

    Taarifa imethibitishwa na viongozi wa dini waliofanya mazungumzo ya amani na Ibrahim Traore kiongozi aliyempindua Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba. Damiba aliyechukua mamlaka Januari, 2022 ameenda uhamishoni nchini Togo baada ya kuhakishiwa mambo mawili, Usalama wake na kurejeshwa...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Duuh! Inonga Baka aanza dhidi ya Burkina Faso

    Beki wa Simba Sc Inonga Baka ameanza kwenye cha Congo kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Burkina Faso. Hii imenistua kidogo,maana kosi la Congo limeesheheni nyota
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Burkina Faso lakiri kuua raia kimakosa katika mashambulizi dhidi ya Waasi

    Jeshi la Burkina Faso limekiri kuua raia wa kawaida kwa kimakosa katika mashambulizi yake ya anga Kusini Mashariki mwa Nchi hiyo wiki hii. Nchi hiyo ya Afrika Magharibi imekuwa ikipambana na waasi wenye silaha baadhi wakihusishwa na makundi ya Al-Qaeda na ISIL (ISIS). Jeshi hilo halijataja...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi lajipanga kudhibiti mashambulizi, raia watakiwa kuhama

    Jeshi limewataka raia kuondoka katika maeneo yanayotajwa kuwa na maslahi ya kijeshi katika Mikoa ya Kaskazini na Kusini Mashariki mwa Nchi hiyo kabla ya oparesheni zinazolenga kudhibiti ghasia kuanza. Maafisa wa Jeshi walioongoza Mapinduzi na kuiondoa Madarakani Serikali iliyochaguliwa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watu 50 wauawa katika shambulizi Burkina Faso

    Watu 50 wameuawa katika shambulizi la vikundi vya waasi katika Jimbo la Seno Kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo washambuliaji hao wamehusishwa kuwa na uhusiano na vikundi vya Al-Qaeda na ISIL (ISIS). Msemaji wa Serikali ya Burkina Faso, Lionel Bilgo amesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Wanajeshi 11 wafariki katika shambulio kwenye Kambi ya Jeshi

    Wanajeshi 11 wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililotokea Katika Kambi ya Jeshi Mashariki mwa Burkina Faso, lakini Jeshi lilijibu mapigo na kuwaua waasi 15 wakati wakitoroka baada ya kufanya shambulizi hilo. Kwa miaka sita taifa hilo limekuwa likisumbuliwa na mapigano...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha Mtanzania aende kuteseka kwenye migodi ya Burkina Faso?

    Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka. =========== Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Japan yapanga kupunguza uagizaji wa Makaa ya mawe kutoka Urusi

    Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda Koichi Hagiuda aliwaambia waandishi wa habari siku ya Ijumaa kwamba Japan italenga baada ya muda kukomesha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka Urusi, muuzaji wa pili kwa ukubwa wa nchi hiyo wa makaa ya joto mwaka wa 2021. Hagiuda alisema kupata wasambazaji...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Rais wa zamani Kabore aachiliwa kutoka kifungo cha nyumbani

    Roch Kabore ambaye alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani tangu alipopinduliwa katika mapinduzi ya kijeshi mwezi Januari, ameruhusiwa kurejea katika nyumba ya familia yake, kwa mujibu wa serikali ya mpito ya nchi hiyo. Kabore aliruhusiwa kurejea katika makazi yake katika mji mkuu wa Ougadougou...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Rais wa zamani, Blaise Compaore afungwa maisha kwa mauaji ya Mtangulizi wake, Thomas Sankara

    Mahakama ya Kijeshi imemhukumu Blaise Compaore aliyeongoza Nchi hiyo kuanzia Oktoba 1987 – Oktoba 2014 kifungo cha maisha kwa kuhusika katika mauaji ya 1987 ya Mtangulizi wake, Thomas Sankara Sankara aliuawa kwa kushambuliwa na risasi katika Mji Mkuu wa Taifa hilo, Ouagadougou miaka minne baada...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso yaidhinisha Serikali mpya

    Rais wa Mpito wa Burkina Faso, Paul-Henri Damiba ameidhinisha Serikali mpya yenye Mawaziri 25. Miongoni mwao ni Barthelemy Simpore aliyehudumu kama Waziri wa Ulinzi chini ya Rais Roch Kabore, kabla ya Jeshi kuchukua Mamlaka Mapinduzi wa Burkina Faso yalikuwa ya Nne kufanyika Afrika Magharibi...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi lateua Waziri Mkuu wa Mpito

    Albert Ouedraogo (52) ametangazwa kuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo kwa kipindi cha Mpito. Uteuzi wake unakuja siku chache baada ya Jeshi chini ya Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba kuidhinishwa kuongoza kwa miaka mitatu Ouedraogo ambaye ni Raia wa kawaida ana jukumu la kuunda Serikali Mpya...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi laidhinishwa kukaa madarakani kwa miaka mitatu

    Mkutano wa Kitaifa Nchini Burkina Faso umepitisha Mkataba utakaoruhusu Utawala wa Kijeshi kuongoza kipindi cha mpito cha miaka mitatu. Mkutano huo uliidhinisha Hati ambayo baadaye ilisainiwa na Luteni Kanali Henri-Paul Damiba Awali, ilipendekezwa kipindi cha Mpito kuwa miaka miwili na nusu...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu 60 wafariki katika mlipuko wa mgodi wa dhahabu Burkina Faso

    Takriban watu 60 waliuawa siku ya Jumatatu katika mlipuko katika mgodi wa dhahabu katika kijiji karibu na Gaoua kusini-magharibi mwa Burkina Faso. Makumi ya watu zaidi walijeruhiwa, wakiwemo wanawake na watoto Ilitokea wakati vilipuzi vilivyohifadhiwa karibu na eneo la kuchimba dhahabu...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Luteni Kanali Paul-Henri Damiba aapishwa kuwa Rais. Jeshi Nchini humo limeahidi kushirikiana na ECOWAS

    Jeshi Nchini humo limeahidi kushirikiana na ECOWAS katika kurejesha Mchakato wa Uchaguzi wa Kidemokrasia, lakini halijaweka wazi ni muda gani Luteni Kanali Paul-Henri Damiba aliyeapishwa kuwa Rais atakaa Madarakani Damiba aliongoza Jeshi kumpindua Rais Roch Kabore, huku sababu kubwa ya...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Jeshi nchini Burkina Faso latangaza kurejesha Katiba

    Jeshi la Burkina Faso limetangaza kurejesha katiba, wiki moja baada ya kutwaa mamlaka katika taifa la ukanda wa Sahel. Tangazo hilo limetolewa katikati mwa mazungumzo baina yake na wapatanishi wa kimataifa. Waziri wa mambo ya kigeni wa Ghana ambaye anaongoza ujumbe wa Jumuiya ya kiuchumi ya...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania ECOWAS yasimamisha uanachama wa Burkina Faso

    Kufuatia Mapinduzi ya Kijeshi ya Januari 24, Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imetangaza kusitisha Uanachama wa Burkina Faso, lakini kwa sasa haijaweka vikwazo vyoyote dhidi ya Taifa hilo. Jumuiya hiyo pamoja na washirika wake wa kimataifa wamelaani Mapinduzi hayo kwa...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Luteni Kanali Damiba atoa hotuba ya kwanza kwa taifa, aahidi Jeshi litaimarisha usalama

    Picha: Luteni Kanali Paul-Henri Damiba Luteni Kanali Paul-Henri Damiba aliyeongoza Mapinduzi yaliyomtoa Madarakani Rais Roch Kabore ametoa hotuba yake ya kwanza kwa Taifa hilo na kusema Jeshi litakutana na makundi mbalimbali ya Jamii kujadili mchakato wa kufanya mageuzi. Amesema Burkina Faso...
Back
Top Bottom