buriani

  1. Pascal Mayalla

    Buriani Mwadhama Polycarp, Cardinal Pengo, Japo Pengo Lako Halitazibika, Tutakuenzi Kwa Kukuishi, Haswa Ule Upendo Wako wa Dhati na Moyo wa Kusamehe!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.Jana tumempumzisha kwenye makao yake ya milele, katika makaburi ya Pugu, Mpendwa wetu, Mwadhama Polycarp, Cardinali Pengo, aliyekuwa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp, Cardinal Pengo...
  2. Mohamed Said

    Buriani Sheikh Ali bin Mussa Maarufu Sheikh Rocket (1928 - 2026)

    BURIANI SHEIKH ALI BIN MUSSA MAARUFU SHEIKH ROCKET Naamini hakuna Muislam aliyezaliwa Dar es Salaam au kuishi tu ambae hakupata kumfahamu Sheikh Rocket au kumuona angalau kwa mara moja. Mimi binafsi yangu nikimuona mara nyingi mitaani akipita amebeba bendera yake yenye maneno: ‘’Laillah...
  3. msuyaeric

    Buriani mzee wetu Edwin Mtei: Chadema wajue kuwa kifo hakina mwenyewe

    Ndugu Godbless Lema kwa muda sasa amekuwa ni "specialist"wa kuwatabiria vifo viongozi wa Serikali na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi. Kibaya zaidi Vifo vikitokea Machema wanajifungia sehemu na "kuchoma" nyama. Wakati wa Kifo cha Hayati John Pombe Magufuli walifanya hivyo, wakati wa kifo cha...
  4. Poppy Hatonn

    Batilda Buriani aleta balaa Ngorongoro

    Ubishi mkubwa umezuka,Batilda Buriani anagombania ardhi na wanakijiji Ngorongoro. Kwa hiyo wananchi wamefanya mkutano,amefika mwakilishi kutoka ofisi ya DC. Yule afisa anawaambia,ok tuanze mkutano, lakini kabla hatujaanza mkutano lazima tujue kama akidi imetimia. Kwa hiyo kila mtu aandike jina...
  5. kavulata

    Buriani Mzee Msuya, ulipenda kwenu kuliko kwetu

    Tukiwa watoto tulipokuwa tukijisomea kwa kukoka moto wa Kuni na vibatali kupata mwanga tulikuwa tunaambiwa huko mwanga na usangi kwao Cleopa Msuya umeme umesambazwa hadi migombani, kwenye mikahawa na unawaka hadi kwenye mazizi ya nguruwe . Kwakuwa sisi tulikuwa hatujafika huko Mwanga tulikuwa...
  6. C

    TANZIA Dr Ruthbetha Kateule (PhD) afariki dunia

    Kinda katika sayansi na mifumo ya kompyuta nchini Dr Ruthbetha Kateule (PhD) hatunae. Kwa umri huo wa Miaka 38 (1987-2025) na PhD kaipata majuzi. Naamini mirathi haitaleta shida labda vyeti kibao. #KataaPhD#
  7. Mohamed Said

    Buriani Mwanetu Awadh Mohamed Awadh

    BURIANI MWANETU AWADH MOHAMED AWADH Awadh Mohamed Awadh (Chico) alikuwa kafanana sana na baba yake. Mimi sikupata kumwita kwa jina lake la Awadh kwangu alikuwa Chico sijui kwa nini. Labda kwa kule kurandana sana na baba yake. Wazazi hatupendi kuzika wana. Hatupendi kwa kuwa ni jambo zito na...
  8. Mohamed Said

    BURIANI Sultan Jamshid BIN Abdulla BIN Khalifa (1926 - 2024)

    (1929 - 2024) Hiyo taazia hapo chini niliandika majuma machache yaliyopita nilipopokea taarifa kuwa Sultan Jamshid kafariki. Haukupita muda nikapokea taarifa kuwa si kweli yu hai. Nilijisikia vibaya sana. Ninachokumbuka ni kupokea ujumbe kutoka kwa rafiki yangu akiniambia nilifanya haraka...
  9. Jidu La Mabambasi

    Buriani Dkt. Ndugulile - Barua toka CANADA

    Wananzengo nimeona mtandaoni barua toka Canada, Mtanzania akimlilia Dr Ndugulile: FROM OTAWA...........................Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini ? Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu...
  10. Mohamed Said

    Buriani Salim "Sammy Davis" Hariz

    BURIANI SALIM ‘’SAMMY DAVIS’’ HARIZ Niko njiani naelekea Tanga. Safari nimeanza alfajir sana. Nasinzia baada ya kupita Wami. Naizima simu yangu kuhifadhi ‘’charge.’’ NIlipofika Tanga ndipo nikaifungua na kuona msururu wa ‘’mis calls.’’ Msg zinaingia moja baada ya nyingine na ndipo nilipoona...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    TANZIA Buriani Dr. Gilbert Sanga a.k.a Gill Biz

    Tutakukumbuka milele milele yote, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema. Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa. JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose ID yako na iendelee kubaki kificho. Hi-Lo tumelitenda kwa nguvu ya Mungu atupaye Leo na kesho...
  12. Mohamed Said

    TANZIA Buriani Mohammed Rafiq, mmoja wa Waasisi wa timu ya Saigon, Kariakoo

    KOKNI MUSLIM JAMAAT of DAR ES SALAAM, TANZANIA DEATH ANNOUNCEMENT ‎إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون "Surely we belong to Allah and to Him shall we return". It is with sadness that we share the news of the demise of MR MOHAMEDRAFIQ ZAHIR FAKI who passed away in Dar Es Salaam on 9th...
  13. Mohamed Said

    Buriani Mzungumzaji Wangu Abuu Shariff

    BURIANI MZUNGUMZAJI WANGU ABUU SHARIFF Taarifa ya msiba wa Abuu (na hivi ndivyo alivyokuwa akifahamika Dar-es-Salaam) nimeipata kutoka Tanga kwa shariff mwenzake, Shariff Mohamed Yahya. Wote walipata kucheza Young African kisha Cosmopolitan. Mohamed Yahya akiwa mlinda mlango na Abuu mlinzi...
  14. Ivan Stepanov

    Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

    Huyu bwana ni kama tulikua tumeshampoteza, lilikua ni suala la kuhesabu siku tu maana hata mkewe alikua kamkatia tamaa. Wakuu mambo haya yasikieni nyie akina min -me , hiv watu mnapata wapi ujasiri wa kusema hakuna uchawi?? Kwakwel kila nikitafakari sipati jibu kwamba hivi ni mahubiri gani...
  15. Mohamed Said

    Buriani Hamisi "Super VC 10" Kibunzi

    BURIANI HAMISI "SUPER VC 10" KIBUNZI Kila nilipokutana na Hamisi Kibunzi tutazungumza mengi kuhusu mpira wa miaka iliyopita wakati Sunderland walipompa jina la "Super VC 10." Hii ilikuwa aina ya ndege ambazo East African Airways ikitumia kwa safari za masafa marefu: Dar/Nairobi/Addis/London...
  16. Pascal Mayalla

    Buriani Mzee Ruksa: Ni Deng Xiaoping Wetu wa Mageuzi ya Kiuchumi, Demokrasia, Haki za Binadamu na Uhuru wa Habari. Asante kwa Ruksa Zako, Pumzika!

    Wanabodi Siku ya leo, tunampunzisha Mzee wetu, Rais Mtaafu wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, kwa jina maarufu la Mzee Rukhsa, kwenye nyumba yake ya malalo ya makao ya milele. Mara ya Kwanza Kulisikia Jina la Ali Hassan Mwinyi. Kwa mara ya kwanza jina la Ali Hassan Mwinyi, nililisikia mwaka...
  17. Suley2019

    Utamkumbuka Edward Lowassa kwa mambo gani?

    Habari Wadau, Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa Soma: Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia Katika mwaka...
  18. Mwande na Mndewa

    Buriani Edward Lowassa, Rais wa mioyo ya Watanzania

    Sitasahau Mei 2015 uwanja mzima wa Sheikh Amri Abeid, Arusha ukiimba "Lowassa Lowassa, Lowassa Lowassa, sitasahau ile picha Dr. Emmanuel Nchimbi na wengi wa wanachama wa CCM wakiimba "Tuna imani na Lowassa" kwenye mkutano wa NEC 2015. Kipindi cha mchujo hakijanitoka akilini, Edward Lowassa...
  19. Mwizukulu mgikuru

    RC Batilda Buriani tatizo la umeme Tabora hulioni?

    Nipo Tabora leo ni siku ya tatu nikifanya kazi maalumu ili kuendelea kulijenga taifa. Kinachonisaidia ni kuwa nina powerbank tatu, toka nimefika Tabora umeme unakatwa asubuhi na kurudi usiku saa nne, na muda Mwingine unaweza kukatwa hata mara sita. Nauliza mkuu wa Mkoa, Batilda Buriani hili...
  20. Adilinanduguze2

    Buriani Rashid Mbuguni, Mzalendo aliyedhulumiwa kiwanda amekufa hajaona haki

    Rashid Mbuguni Afariki Dunia. Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kuondoka duniani kwa Ndugu Rashid Mbuguni. Apumzike Kwa Amani. Maggid Luqman Maloto anaandika: Luqman Maloto “MZALENDO ALIYEDHULUMIWA KIWANDA AMEKUFA HAJAONA HAKI NAKUMBUKA mwaka 1999. Mara ya kwanza naingia chumba cha...
Back
Top Bottom