bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Ushauri wa Bure: Usinunue gari hizi mkononi

    Ewe mtanzania mwenye kuhitaji gari BAJETI NDOGO ya mkononi kwa mtu kwa ushauri usijaribu kununua gari mkononi mwa mtanzania mwenzako isipokuwa kwa gari zifuatazo. 1. Toyota premio, Toyota allion, Toyota corolla x, corona premio, Axio, Toyota carina ( Mafundi tele, spare tele na cheap, zina...
  2. Wasanii kukaushiwa si masikhara, Dogo Janja apiga show bure Arusha bila raia kusogea

    Kupitia page ya Instagram ya kado media imeonyesha tukio la kushangaza, msanii MKUBWA Arusha na diwani dogo JANJA akipiga show ya Vodacom ya wazi isiyo na kiingolio, kichekesho hakuna raia hata mmoko aliesogea, mzee KAIMBA mwenyewe na watu wa Vodacom walio andaa hio hafla aisee watu hawana...
  3. Uchambuzi: Kwanini wasichana wengi wanafikia umri wa miaka 30 wakiwa hawajaolewa na hawajali

    KWANINI WASICHANA WENGI WANAFIKIA UMRI WA MIAKA 30 WAKIWA HAWAJAOLEWA NA WAKIWA “UNBOTHERED” UCHAMBUZI MPANA WA SABABU 10, ATHARI ZAKE KWA WANAWAKE, WATOTO NA CHANGAMOTO KWA WANAUME Katika jamii ya sasa, idadi ya wanawake wanaofikisha au kuvuka miaka 30 bila kuolewa imeongezeka, huku wengi...
  4. PostGE2025 Oktoba 29 na fursa ya utajiri wa nje nje

    Tengeneza jezi zako, andika , TANGANYIKA, ingiza mtaani Fanya BIASHARA ziuze bei chee TU achana na Simba na yanga we uza bei che vi faida kidogo TU ndani ya mwaka mmoja Yani 2026 TU, piga hesabu yako vizuri. Masoko Vyuo vikuu, mtandaoni ndo baba lao, Haya tajirika na wewe, hakikisha Kuna chapa...
  5. Je wewe ni mwajiri, tangaza ajira yako nasi hapa BURE

    Kama wewe ni mwajiri na unatamani kuajiri kisasa kabisa, tembelea website yetu www.kazilink.co.tz na utangaze kazi yako.. Platform hii pia itakusaidia kuweza kuona walioomba kazi kupitia account yako ya mwajiri na kuwaita kwenye interview moja kwa moja kwenye mfumo. Jisajili as employer na...
  6. Damu za watanganyika Haziwezi kumwagwa bure hivi: Je, Samuya Atakwenda The Hague?

    Hakuna mtu aliyetarajia hivi. Mwaka 2021 tulipompokea Samuya tulidhani tumepata Mama , aliyeahidi kufungua nafasi ya kisiasa. Leo, miaka minne tu baadaye, vijana wetu wengi wamepotezwa hawaonekani tena.Video za mochwari za Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na Mbeya ndo zinazidi kutia simanzi kubwa...
  7. Mnawalaumu bure tu Bakwata na waislamu kwenye swala hili la zima la maandamano..

    I salute my kinsmen.. Ujue nimefikiria sana kuona kauli hizi za viongozi wa Bakwata kwa yanaoendelea kwa kumsapoti mkuu wa nchi wakati wenzao kule TEC wao wametoa tamko kali sana kuwa Vijana waliokamatwa waachiwe haraka, Hawajaisapoti serikali kwa namna yoyote ile TEC wamenyooka sana Ila sasa...
  8. GE2025 Mgombea Ubunge ACT Jimbo la Kawe asema "Tutahakikisha kuwa elimu bure inatekelezwa kikamilifu"

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ameahidi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta za afya, elimu, na miundombinu ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge. Akizungumza katika kampeni zake, Tausi amesisitiza kuwa atahakikisha wananchi wengi wanapata...
  9. H

    Airtel wamepunguza kutuma matangazo ya bure kwa wateja wake ila Yas, Vodacom,nk bado wana kiburi

    Ni wazi matangazo ya bure ya mitandao ya simu yanakera sana,sana,sana, yawe ya serikali au ya mtandao husika. Ni vyema kuwe na kipengele cha kukubali matangazo au kusitisha na kiwepo kipengele cha kuwajibu wote wanaotuma sms za bure zenye maslahi yao. Tcra msijiamini sana na mnapaswa kufungua...
  10. Azam TV leo bure tu

    Chaneli zipo free tu sijui kuna aliyebonyeza kitufe kisichotakiwa kubonyezwa
  11. Kumbe hadi wasanii nao wamechoka, ila ushauri wa bure msijiachie kwenye hayo magroup kuna mamluki kibao

    Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii ambapo jumla ya wasanii ni 96,727 Tanzania bara 88,365 Zanzibar 8,362 Mkoa wa Dar es salaam umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wasanii wapatao 25,262. Wanufaika zaidi na mfumo hawazidi 100 (0.113%) Tanzia Mkoloni
  12. Usihangaike na VPN ingia JamiiForums na Twitter X kwa kutumia operamin ni bure kabisa bando lako tu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Wambieni na wengine ambao hawajui Asanten sana LONDON BOY Tumsifu YESU KRISTO
  13. H

    Kati ya Yesu na Muhamad nani ni msaada kwa Waafrika?

    Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao? Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu? Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu...
  14. Wanayanga Fikeni Klabuni na baadhi ya Matawi Jersey zinagawiwa Bure. Msikubali kuuziwa

    Imeamriwa kuwa watu wapewe jersey bure na pia kiingilio kiwe bure na au mchango mdogo. Tunashukuru sana Viongozi kwa upendo wao kwa wanayanga.. Soup tu ndo naona kama imecheleweshwa. Tungepata na supu chapati kwa wanayanga ingewatia moyo na mori wa kuelekea uwanjani. Naomba hili lifanyiwe kazi...
  15. GE2025 Polepole: Mama haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, halafu Tanzania Bara wanalipia

    Polepole: Haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, alafu Tanzania Bara wanalipia hii inaua umoja
  16. TTCL: Kufungiwa Huduma za Fiber ni bure, wanaodaiwa kuchukua rushwa hatua zitachukuliwa

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza changamoto ya kuunganishwa na Huduma ya TTCL Fiber, kupitia ukurasa wa Instagram baadhi ya waliotoa maoni wamedai kuwa baadhi ya watendaji wamekuwa na tabia ya kuwataka wateja kulipia gharama (Rushwa) za miundombinu ikiwemo nguzo ili waweze kupata...
  17. Wasira: Achana na Polepole, usijepata kiharusi bure!

    https://vm.tiktok.com/ZMAMVeYBo/
  18. Nimesoma page ya Mange ya Instagram, kuna ma Royce rolls na ma Bugatti acha kabisa, nimejiona mimi ni bure kabisa

    Lakini October tuka ✔️ Mali na fahari ni mambo ya muda mfupi sana, na sote tutapita. Hakuna kitakachobakia. Allah, tunaomba nusra zako. Waache uroho na ulafi, uwaamshe. Inaumiza kweli sana, lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa, na unafahamu kwa nini unatulaza njaa. Siri na...
  19. Nchi ya wanaume bure kabisa

    Uzi huu ukifutwa na hili jukwaa, na mwanzilishi wake ni mwanaume, basi itakupa picha namna wanaume nao wanaweza kuonekana kama tatizo kubwa kwa nchi hii… Toka kuumbwa kwa dunia, wanaume wamekuwa mstari wa mbele kuikomboa jamii katika majanga mbalimbali, unyonyaji, vita na mambo mengine mengi...
  20. Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

    Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora, Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…