bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

    Hello wanajamii forums, Ni wiki kama mbili sasa tokea kutumia zile apps za wire tun, Thor VPN na HA Tunnel zinazotoa huduma ya free internet kutoka servers za mbali kama vile UK, US, German e.t.c Simu yangu iliyotoka kiwandani ikiwa na 6000 mAh, ambayo ilimaliza siku 3 pasipo kuchajiwa kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tunacheleweshana bure na maendeleo ya Taifa yanachelewa

    Ndg wanajukwaa kumekuwa na tabia ya ubaguzi ktk utoaji mikopo ya manispb kwa vijana.Mfano hai ni manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Miaka mi3 nyuma niliunda kikundi tukaakisajili, tukafungua akaunti tukandaa mchanganuo. Kabla hawajatutembelea ikaibuka hoja dhaifu eti miongoni mwa barua ipitie...
  3. JamiiForums Tanzania Bidhaa za taulo za kike kutolewa bure kwa Wanawake wote Scotland

    Kuanzia leo Agosti 15, Wanawake nchini Scotland wanaanza kupata Taulo za Kike bila malipo kufuatia Sheria muhimu iliyopitishwa mwaka 2020. Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali iliyotolewa na Katibu wa Haki Jamii, Shona Robinson imesema Halmashauri na watoa Elimu watalazimika kisheria kuhakikisha...
  4. K

    JamiiForums Tanzania wadau naomba maneno ya wimbo " WAMTETEA BURE" wa KIKO KIDS mtunzi SALUM ZAHORO

    wimbo mzuri sana sana kutoka kwa huyu fundi wa tabora kiko kids
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Waziri Ummy Mwalimu kuhusu NHIF

    Habari wana JF ,Binafsi huwa sipendi kutoa ushauri wa bure huwa naamini kile nlichosomea ili kizae matunda ni Lazima kiwe na thamani lakini kwa leo ntampa ushauri wa bure kuhusu mfuko wa Taifa NHIF .Mambo mengi haya unayajua ila naweka msisitizo . Kwa kifupi sipendi waziri uwe Chanzo cha...
  6. JamiiForums Tanzania Chicharito yupo tayari kucheza Man United bure ili kuokoa jahazi la ushambuliaji

    Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez “Chicharito” amesema yupo tayari kurejea klabuni hapo ili kuikoa jahazi la timu hiyo katika suala la ushambuliaji Chicharito, 34, aliyefunga magoli 59 katika mechi 157 akiwa United kwa sasa anaichezea LA Galaxy ya Marekani amesema...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania wengi hawana uwezo wa kumudu matibabu, basi yawe bure

    Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila Rombo. Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la matibabu la Sh9 milioni aliloliacha baba yake aliyefariki dunia Hospitali ya Mloganzila ili apatiwe...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itenge fedha ya dharura kukabili changamoto za elimu bure

    FEDHA YA DHARURA ITENGWE HARAKA KUOKOA ELIMU NCHINI🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ✍️Mwl. Modest Alphonce (Mwandishi wa Makala hii ni mwalimu wa Sekondari, mwalimu wa Taaluma Mwandamizi na Mjumbe wa Kamati ya Shule ya Msingi iliyopo jijini Dsm) Wakati shule wanazosoma watoto wa watunga Sera hapa nchini zikizidi...
  9. JamiiForums Tanzania Suluhu kwenye mafuta - ushauri wa bure

    Moja kwa moja kwenye mada, mods msiuunge huu uzi na nyuzi nyingine, ladha zinatofautiana. Inawezekana kabisa walioko kwenye mifumo wanajua shida iko wapi, ila tatizo lao kubwa ni ubinafsi na kutojali watu wao - UBINAFSI NI TABIA MOJAWAPO SUGU YA MWAFRICA, NI SAWA NA UCHAWI TU...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hata Trump haamini, amebaki kinywa wazi na kushindwa kutweet chochote mpaka sasa!

    Aisee nimetokea kumpenda bure huyu mama Nancy Pelos jamani. katikati ya mijabali miwili inayotunishiana misuli, mama anatembea kwa madaha bila wasiwasi wowote. Hili hata Trump, pamoja na kujitia kichaa, asingeweza! Hili hata yule msema hovyo aliyetimuliwa uPM kule UK, Bojo, asingeweza...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Huu ni utumwa katika Elimu

    Huu ni Utumwa Katika Elimu. Ni wazi kuwa hakuna umuhimu wa Elimu bure maana cha bure hakina Thamani. Udogoni tumekimbia sana kukwepa kujisomea jioni na wazazi walituacha tu ila hatukujaribu kukwepa tuition tukihofia wazazi kutuadhibu yote sababu tunaonekana kuchezea pesa yake ambayo anaitoa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Niko nasikiliza nyimbo zao bora zilizowatambulisha nimegundua kuna tofauti kubwa mno; Sijui kiliwakumba nini vichwani hawa waimbaji siyo bure

    Niko hapa nasikiliza nyimbo mbalimbali za kidunia na kidini! Aisee nyimbo kama za Twenty percent ukisikiliza una feel kabisa ubunifu waziwazi, pia nyimbo kama za prof. J, Wagosi wa kaya, Mwinjuma muumini na wasanij wengine wengi unaona kabisa kuna kitu kilifanyika! (Wasanii na maproducer)...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    Ninaomba tujadili jambo hili.
  14. JamiiForums Tanzania WIFI za bure maeneo ya umma (Public areas) zinavyohatarisha usalama wa data zako binafsi

    Katika ulimwengu wetu wa leo matumizi ya Intanet yamekuwa ni miongoni mwa hitaji la msingi kwa kila mtu. Katika mazingira mbalimbali tumejikuta tukiwa katika maeneo ya umma ambapo kuna wifi za bure na kwa namna fulani tumekuwa tukifurahia na kuunganisha vifaa vyetu kwa na mitandao hiyo. Maeneo...
  15. JamiiForums Tanzania Waislamu wametufanyia uhuni mtaani kwetu kwenye hii sikukuu yao

    Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa? Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure? Huo si uhuni?
  16. JamiiForums Tanzania Tyson Fury: Nipo tayari kupigana na Anthony Joshua bure kabisa

    Bondia Tyson Fury amesema kuwa yupo tayari kutoka kwenye kustaafu na kurejea ulingoni kupigana na Anthony Joshua bila malipo kwenye Uwanja wa Wembley, England. Fury, 33, alishinda pambano lake dhidi ya Dillian Whyte, Aprili 2022, na akasisitiza kuwa anastaafu. “Ni Bwana Biashara, siyo...
  17. JamiiForums Tanzania Ulichokipata wewe kwa gharama wengine walikipata Kkwa bei sawa na bure

    Kwema Wakuu! Wakati wewe ulitumia mamilioni ya pesa kufaulu Kidato cha nne, kuna wajuba gharama zao Kwa ujumla tangu Kidato cha Kwanza mpaka cha sita hawafikishi hiyo milioni Moja. Hivyo usiringe Sana Utaonekana mshamba tuu! Wakati wewe ulitumia mamilioni ya Pesa kupata Pisikali Fulani, kuna...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa TFF na Bodi ya Ligi kuhusu utoaji we Tuzo kwa Msimu ujao 2022 / 2023

    Kura zipigwe na Sisi Wadau wa Soka au na Makocha au na Wachezaji wa zamani na siyo na Watendaji wa TFF waliokaa hapo Karume na Vitambi vyao kama Mapipa ya SIMTANK ndiyo Wachague / Watuchagulie Washindi. Huwezi kusema kwa Magoli yote yaliyofungwa katika Msimu wa Ligi Kuu Goli la Fiston Mayele...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sisi wenye 'Testasterone' nyingi tunaonekana wahuni, mtusamehe bure

    Unakuta mtu anajisifu kuwa yeye hapendi mademu kumbe ana kiwango kidogo cha testasteron mwilini. Sisi wenye kiwango cha juu cha testasteron tunaonekana wahuni kisa tuna michepuko mingi. Mtusamehe sio sisi bali ni hormone zimezidi hatuna jinsi zaidi ya kupeleka moto kwa hawa viumbe. Kama una...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda na RC Kagera, kwanini watoto wanarudishwa majumbani kwa mzazi kushindwa kulipa mchango? Je, elimu bure ni kuhadaa wananchi?

    Leo limetokea tukio la kustaajaabisha sana hapa katika shule ya msingi Tumaini iliyopo manispaa ya Bukoba, watoto wamerudishwa majumbani kwa kuwa wazazi hawajalipa mchango wa Tuition ya jioni. Kinachoumiza ni kumrudisha mtoto asubuhi nyumbani, yaani akose vipindi vya msingi vya asubuhi kisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…