Microsoft imetoa kozi kamili ya kujifunza Akili Bandia (AI) bila malipo kupitia GitHub, ikiwa ni fursa kubwa kwa wanafunzi, watengenezaji wa programu na mtu yeyote anayependa teknolojia kujifunza AI hatua kwa hatua. Kozi hiyo inajumuisha masomo ya msingi ya AI, machine learning, AI agents...