Bungeni is a large sprawling rural settlement situated on top of one of the foothills of the Soutpansberg mountain in Louis Trichardt, Limpopo Province, South Africa. The Levubu agricultural plantation, where avocado, bananas, litch, Macadamia nuts, peaches and mangoes are grown in abundance is just 3km away north of Bungeni village. It lies 35 km east of Makhado, with the R578 road (South Africa) passing through it. With more than 30 000 people, Bungeni is the largest Tsonga village in Makhado local municipality. In 1994 and in 2016, administrative control of this western portion of Gazankulu has been sub-divided in half and allocated to two Municipalities, first in 1994 to Makhado Local Municipality and in 2016, to the New Malamulele Municipality in the Vhembe district. As of April 2016, the Western portion, known as 'Bungeni West' by the locals, has remained in Makhado local municipality, while the eastern portion, known as 'Bungeni east', has been allocated to the new Malamulele Municipality.
Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni?
HIi ni hoja nzito sana na sii ya kuchukuliwa kirahisi
Ili Chama cha Siasa kikue lazima kiwe na idadi kubwa ya Wanachama wenye wadhifa mkubwa katika nchi
Mbowe alizalisha viongozi...
Marehemu ruge is best sio huyu majizzo.
Marehemu ruge ana kwambia mungu na teknolojia ndio vitakuumbua kwa dunia ya sasa.
Ni kweli kabisa ndio maana kufanya interview na Odema inabidi kufanya mazoezi ya kukumbuka ukweli na uwongo.
Kipindi kile bunge lilikuwa na manguri na mabishano makali ila...
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya...
Kweli Job ndungai SPIKA mtepe mtepe ndiye aliyesaaulika mara hii kwenye Bunge la 2025 hata wabunge mshindwe KUSIMAMIA hata dakika Moja kumwombea Badala yake mliombea waandamanaji walio UAWA?
NAWAMBIA nyinyi wabunge MLIO msaau haraka hivyo hata nyinyi mu mtepe mtepe mnaweza saaaulika haraka...
Naona mmepigwa ganzi s butwaa hiyo ndiyo faida ya party cocus na vifijo vya kuwa bendera fuata upepo bila kufikiri, nadhani sasa mmejua kwamba chama kinatumika kukamilisha mission za wahuni ila ndiyo hivyo mmechelewa sasa
Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo
1. Utangulizi
Mnamo tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitoa hotuba ya kufungua Bunge la 13, akiwa bungeni Dodoma.
Hivyo, hapa chini najadili muundo, maudhuo...
Sasa hivi CCM wanajifanya kushangaa watu wanapotaka kuingia msituni kama njia mbadala ya kudai haki.
Katika kudai haki kuna njia nyingi. Ikiwemo mazungumzo, Mahakama, Maandamano na kadhalika. Yote yalishindikana watu wanaingia msituni kupambania haki zao. Ndivyo nchi nyingiza Afrika walifanya...
Habari wakuu…
Lengo la uzi huu sio kumbananga mbunge kwa ulemavu wake. Lengo ni kuomba kufahamishwa namna ambavyo mbunge yule wa viti maalum kutokea Zanzibar ambaye ni kiziwi atakavyokuwa anashiriki mijadala bungeni na wabunge wenzake.
Maana leo nimeona clio akiapa, naona kabisa kuna tatizo...
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
balozi
bashiru
bashiru ally
bungeni
dkt. bashiru
dkt. bashiru ally
dodoma
jamhuri
jamhuri ya muungano
kuteuliwa
mbunge
muungano
na rais
novemba
rais
rais wa jamhuri
tanzania
tarehe
Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja vya bunge Dodoma, ikiwa ni ishara ya utayari kutumikia wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mbunge Mteule wa Viti Maalum Zanzibar Mwanaenzi Hassan Suluhu, leo Novemba 12, 2025 katika Bunge la 13 Mkutano wa kwanza kikao cha pili Jijini Dodoma, amekula kiapo kulitumia Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kikamilifu
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura.
Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
azzan zungu
baada
bunge
bunge la 13
bungeni
jamhuri
jamhuri ya muungano
kikao
kuongoza
kwanza
mara
mheshimiwa
mkutano
mussa azzan zungu
muungano
novemba
spika
spika wa bunge
tanzania
uchaguzi wa spika
ukumbini
zungu
Mbunge wa Jimbo laTunduru kaskazini akila kiapo Bungeni wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu wa Bunge leo Novemba 11, 2025.
Ikumbukwe Ado Shaibu ni miongoni mwa wabunge wachache wa upinzani kutoka ACT-Wazalendo walioshinda katika kinyanganyiro batili cha...
Mkiwa na viongozi wasio na maono haya ndio madhara yake, mnapo kuwa kwenye vikao vya chama mnapitisha mambo huwa hamuwazi nje ya kikao hicho , na manapo kuwa mnapitisha sheria za hovyo pale bungeni kwa umoja na mshikamano mkubwa kabisa huwa hamuwazi nje ya pale.sasa mnatulalamikia nini huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.