bunge

  1. Digaller

    Unrwa yapigwa marufuku na bunge la Israel

    Bunge la Israel limepiga kura kupitisha sheria ya kupiga marufuku shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Palestina (Unrwa) kufanya kazi ndani ya Israel na Jerusalem Mashariki inayokaliwa na Israel, ndani ya miezi mitatu. Mawasiliano kati ya wafanyakazi wa Unrwa na maafisa wa...
  2. Ndagullachrles

    Wafanyakazi Bunge la Marekani ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti

    Serengeti. Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea Ujumbe wa Wafanyakazi wa Bunge la Marekani ukiongozwa na Bi. Courtney Butcher, ambao wamefanya ziara nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa Serengeti kuanzia tarehe 26 hadi 28 Oktoba 2024. Dhumuni la ziara hiyo ya miadi ni kujadili namna...
  3. K

    Marekani yamsifia rais Samia kwa kuimarisha demokrasia na bunge laidhinisha ufadhili kwa Tanzania

    KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani. Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
  4. Travelogue_tz

    Bunge latatua mgogoro kati ya Wizara ya Afya na Wamiliki wa Vyuo vya Afya Nchini kuhusu Vigezo vya Udahili

    Tarehe 18 Oktoba 2024 ilikuwa siku ya kihistoria baada ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia kwa Waziri wake Prof Adolph F. Mkenda kuwasilisha taarifa kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kwa namna Serikali ilivyoshughulikia malalamiko ya wamiliki wa Vyuo vya...
  5. JanguKamaJangu

    Bunge lapitisha jina la Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais wa Kenya

    Bunge la Kenya limepiga kura ya kuridhia Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais ambapo kwa kura 236 huku kukiwa hakuna iliyoharibika. Baada ya hatua hiyo, kinachofuata ni Prof. Kindiki kuapishwa na kuwa rasmi Naibu Rais wa Rais William Ruto. Atakapoapishwa atachukua nafasi ya Rigathi Gachagua...
  6. BLACK MOVEMENT

    JE wajua ni Tanzania pekee Bunge hukutana kujadili matundu ya vyoo vya shule na zahanati? Duniani ni Tanzania pekee

    Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani. Unakuta wanajadili Madaraja na Makaravati, wanajadili matundu ya vyoo vya shule. Na raia walivyo wajinga ndio vitu wanapenda kusikia, yaani...
  7. BLACK MOVEMENT

    Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  8. B

    Rais wa IPU Dkt. Tulia Ackson akifunga shughuli za Bunge Ajutia Sintofahamu iliyotokea

    17 October 2024 Geneva, Switzerland 🇨🇭 KIKAO BUNGE CHA 149 CHA IPU (Inter Parliamentary Union) CHAMALIZA SHUGHULI ZAKE GENEVA, RAIS DR. TULIA ATOA HOTUBA https://m.youtube.com/watch?v=LAYwfFWdwDI Mabibi na Mabwana nawashukuru sana , Hakika mambo ndani ya bunge yalikuwa moto, pia mgawanyiko...
  9. 4

    Leo niungane na Tulia( spika wa bunge feki tz )

    Wakuu Jf amani ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake . Kweli maccm plus machawa ni wapuuzi, ila leo nipo Tulia kwa kile amekionesha, japo kipo na mjadala mkubwa katika mijadala mbalimbali katika mitandao ya kijamii . OK itoshe kusema binafsi alijibu vizuri tu ,ukiweka siasa pembeni . Sasa...
  10. Moto wa volcano

    Wa Tanzania tuna katiba Bora kuliko ya wa kenya

    Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza na karamu tu kufanya maamuzi. Katiba yetu idumu
  11. M

    Dr Tulia akumbana na maswala mazito bunge la kimataifa tofauti na bunge la Tanzania

    Msikilize Na bunge letu lingalikuwa kama hili tungalikuwa tupo mbali sana kimaendeleo Cc Peter Msigwa Lucas
  12. Boss la DP World

    Akitokea mwekezaji mwenye mabilioni ya dola mwenye nia ya kununua majengo ya bunge kwaajili ya uwekezaji itakuwaje?

    Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania. Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
  13. Dalton elijah

    Bunge Uganda Lahoji Gharama kubwa ya Kununua Mbuzi

    Bunge limehoji kuhusu Sh7.4M ( dola 2000 ) & Shs400,000 ( dola 109) zilizotumiwa na Wizara ya Kilimo katika ununuzi wa kila mbuzi wa kigeni na wa kienyeji mtawalia, Mbuzi 409 kati ya 850 waliosambazwa kwa wakulima walikufa ndani ya wiki ya kwanza . Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya...
  14. JanguKamaJangu

    Spika wa Bunge apitisha hoja ya Kumtoa madarakani Naibu Rais kujadiliwa Bungeni

    Baada ya wabunge 291 kuunga mkono hoja ya Makamu wa Rais nchini Kenya Rigathi Gachagua kuondelewa madarakani, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kenya, Moses Wetang'ula ameidhinisha hoja hiyo kujadiliwa akisema sababu zote 11 zinakidhi vigezo vya kikatiba. Hoja hiyo imewasilishwa bungeni jioni hii na...
  15. C

    Ni wakati wa kuwa na House of Common iliyo juu ya Bunge ili kusimamia Taasisi ya Rais

    Nimekula chumvi nyingi hivyo najua mihemko ya Taasisi ya Rais, imekuwa ni utaratibu wa tawala zetu hapa nchini kuja na mihemko na kutoa ahadi nyingi ili kuongeza mapambo katika sanaa za siasa. Nakuja na mapendekezo yafuatayo ili kuepuka majoto: 1. Ni wakati sasa ianzishwe taasisi ya House of...
  16. Q

    Spika wa Bunge Tulia Ackson anashangaa kwanini hadi leo polisi bado inamshikilia Kada wa CHADEMA Kombo Mbwana

    Akiongea na Wasafi FM leo Spika wa bunge Mh. Tulia Ackson amesema anashangaa kwanini hadi leo hii polisi bado inamshikilia Kombo Mbwana kada wa CHADEMA. Mbwana alipotea tangu June 15 baada ya kutekwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana huko Tanga, awali polisi ilikana kuwa naye baadae ikakiri...
  17. Waufukweni

    James Mbowe: Bunge la Tulia ni Dhaifu na Halina Ubinadamu

    Mwanachama wa CHADEMA, James Mbowe, amekosoa vikali Bunge chini ya Spika Tulia Ackson, akisema kuwa ni dhaifu na halina ubinadamu. Kauli hii imekuja baada ya Bunge kutupilia mbali ombi la kujadili suala la utekaji na mauaji, ambapo Aida Joseph Khenani alitoa hoja ya kuitaka Bunge lijadili suala...
  18. Kabende Msakila

    Katibu wa Bunge BARAKA ILDEPHONCE atatufaa - ni MTU asiyekuwa na makando kando - smart na mwenye msimamo imara

    Jf, Nimeamini kuwa taasisi ya ikulu iko madhubuti sana kwa kila hatua. Uteuzi huu wa KATIBU wa Bunge ni wa aina yake. Mteua yuko makini sana Mteule ni mcha Mungu sana Bunge limepata mtendaji imara sana. Kwa uteuzi huu nadiriki kusema Rais wetu yuko makini sana. PIA SOMA - Uteuzi Septemba 16...
  19. Mwande na Mndewa

    Huyu ni Freeman Mbowe yupi? Yule wa bunge la katiba? Au huyu wa sasa kibogoyo asiyeweza kung'ata?

    HUYU NI MBOWE YUPI? Huyu MBOWE wa CHADEMA hii ya baada ya kutoka Ikulu kuongea na MAMA kwa siri; sio yule Mbowe wa CHADEMA ya Bunge Maalum la Katiba. Huyu ni MBOWE mwingine kabisa na wa tofauti; ambaye ameifanya CHADEMA ya sasa iwe Kibogoyo isiyoweza tena kung'ata. Hovyo kabisa! Yes! Ni MBOWE...
  20. Pfizer

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, yakagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswagwa (Mb) (wa tatu kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na...
Back
Top Bottom