buku

Buku Sudoku (titled Buku Números in Mexico and Buku数字パズル in Japan) is a downloadable puzzle game developed by Ukrainian studio Absolutist Ltd and published by Merscom based on Sudoku for the Windows PC's. The game was also released for the Xbox 360 via Xbox Live Arcade, on May 28, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    Machawa wa jeshi, wanasiasa acheni unafki mnampigania samia kweli au mnapigania vyeo na buku saba ?

    Machawa wa jeshi, wanasiasa acheni unafki mnampigania samia kweli au mnapigania vyeo na buku saba ? ukiwaona wanajitoa akili wewe waulize tu hivi unapigania samia au buku saba ? nyuma ya pazia hawa jamaa hawana time kabisa na samia bali ni njaa na tamaa. hawafikirii watanzania wenzao ni...
  2. Genius Man

    Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ?

    Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ? Maana mnaenda kinyume na wale wanaopinga vitendo hivyo vya kuuliwa na kutekwa je mnapiginia haki za kutekwa? au mna magonjwa ya akili ? katika utafiti wangu mimi sielewi hawa watu...
  3. Sales man

    hawa madogo wa buku bee mlikuwa mnawadharau ila ndo wameipa nchi heshima mpaka sasa .

    ukikutana na dogo wa buku bee mvulie kofia na umwambie shikamoo.
  4. October 2pm

    Mwambieni Gerson Msigwa wakati wake unakuja. Polepole alikuwa na vyeo vikubwa kumshinda lakini leo ni kama panya buku sembuse yeye mshika maiki?

    Mwacheni aropoke si ndio kazi yake. Lakini abakize akiba ya maneno. Cheo chake ni kidogo sana. Hana mizizi na hana ushawishi wowote kwa watawala na wananchi. Asijisahau tofauti yake na Polepole ni wakati tuu. Tena yeye atapotea na hakuna wakumuulizia zaidi ya familia yake. Na bado.
  5. Analogia Malenga

    Nguvu ya buku

    Bila shaka umeshasikia mtu kaua mtu kwa kuwa anamdai mtu buku au hela chini ya buku. Wengine hata kufikia hatua ya kuua watoto wao kwa makosa yanayohusika na kupoteza kiwango hicho kidogo cha fedha. Hata hivyo, hii ilitosha kutuambia nguvu ya buku tunayoijua ni tofauti na nguvu ya buku mtaani...
  6. ELI COHEN

    Vijana wa buku 2000 hawawezi jua hizi mambo😂

    Nasikia bado zipo usukumani😂
  7. W

    iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  8. BabaMorgan

    Thamani ya TSH imeshuka huu ndio msosi wa buku nne

    Wakuu mjini pagumu
  9. mimi mtakatifu

    Mkeka wa buku wa behewa upoje?

    Anayejua kutengeneza mkeka wa buku ambao unaweza kunipatia million 10-30 Tshs. Naomba nisaidie namna ya kuupanga huo mkeka. mfano naweka timu ngapi? Ni wa kufungana au GG? Mimi sifahamu kabisa betting lakini nataka kuwa najaribu bahati yangu japo mkeka mmoja au miwili kwa wiki. Unaweza...
  10. ngara23

    Wanauchumi nipeni bajeti nikiwa na buku 3 natoboa vipi siku

    Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe kwa mtaa Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
  11. ngara23

    Wanauchumi nipeni bajeti nikiwa na buku 3 natoboa vipi siku

    Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe Kwa mtaa Naomba ushauri wa kina, me ni Mtanganyika mwenzenu
  12. Roseyree

    Kwa BuKu 1000 njoo nikupe siri machimbo unayoweza pata mitumba safi na quality za watoto,za wadada bei nafuu nguo kuanzia 300 pga 0625056158

    Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba Za watoto Za kike Na kiume Bei nafuu Mfano nguo za watoto unapata kwanzia sh 300 , 500 , 1000 wewe tu Nguo...
  13. Under-cover

    Hawa wenzetu sijui hawanaga mishipa ya aibu, mtu anakuomba laki kama anaomba buku.

    Wakuu mnawafanye hawa (KE)
  14. Roseyree

    Sale sale: Jamani karibuni nauza Mtumba gauni 3500 tu na vishati 1500 tu sketi imebaki moja 2000 tu karibuni sale ya moto Mbezi Magufuli

    Kabla ya kufungua mzigo mpya nimeamua nifanye sale Jaman nauza gauni mtumba quality 3500 af tatu tu Sket imebak moja 2000 tu Vitop vishat 1500 tu Karibuni sana wasap or call 0625056158
  15. Marashi

    Ushauri: Nimeagiza Valeur ndogo nimeletewa Viceroy na nina buku 5 cash. Mhudumu ni pisi kali niliyokuja kuilia misele niombe namba

    Natokaje hapa, ndo ushauri ninaohitaji. Hapa jirani kuna pub mpya imefunguliwa mwezi sasa, kuna pisi za hatari …. kuna hii moja juzi nilikuja ikanichekeachekea leo nilikuja mahsusu kwa ajili ya kuomba namba nikasema nizuge na Valeur ndogo nina buku tano tu. Sa kaleta Viceroy ndogo na...
  16. U

    Msanii mkongwe nchini Ferooz asema kuwa enzi zao walianza kutoa show kwa kulipwa Tsh.30,000, kiingilio ni buku jero mpaka buku

    Wadau hamjamboni nyote? Soma maneno ya msanii mkongwe nchini Ferooz "Tulianza show kwa kulipwa Tsh.30,000 na kiingilio ilikuwa ni buku jero mpaka buku getini" - Feroozz mkongwe Bongofleva akiongea EA Radio
  17. Mr Chromium

    Mwanamke hata umtoe Out, mnunulie zawadi za bei, Umfanyie shopping lakini kama anakudai Buku yake Bado hamtaelewana

    Wakuu, Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti, Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema. Chamsingi anza kulipa deni lake ndo...
  18. NyegereBOY

    Je, unaamini katika kuwekeza? Nina wazo la biashara kuanzia 10/20m ( kuuza unlimited internet buku tu kwa siku mteja atatumia hata gb 500 yeye tu

    Habari ya uzima wanajanvi? Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa? Tusichoshane sanaaa Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji wa huduma ya internet isiokuwa na ukomo (Unlimited internet) kwa kutumia local network providers...
  19. S

    Vipi kama enzi za Mfalme Sulemani kungekuwa na mitandao ya kijamii angekuwa anapata comments 1000 za wake zake

    Ongezea pia comments za watoto, ndugu wa upande wa wake na masulia pamoja na majirani. Jamaa angeupiga mwingi sana. Mtandao X wangempa blue ticks mpaka wakome. Halafu anatokea mtu katika zama hizi anawadanganya watu waoe mke mmoja! Aaah! Mfalme Sulemani wewe! Yaani jamaa angeishi zama hizi...
  20. D

    Milioni 50 kwa Buku?

    Haha wanangu wa majamvi wikiendi ya maokoto si ndo hiii, Kuna LiJackpot nimekutana nalo huko Sokabet, hehe yani mechi 6 tu unatabiri kwa buku tu! Kama mnavonijua mm sio mchoyo wa michongo, Keka labgu hili hapa: Amua Ushindi Wako, Usije sema sikukwambiaa😂😂😂
Back
Top Bottom