Brela imekuwa mwiba kwa sasa, hawatoi huduma kama hujawapa kakitu.
Kumekuwa na hawa mawakala wanaosajiri makampuni na majina ya biashara. sasa ukiwatumia wale wanakwambia weka na 50,000 ya kupush kule ndani.
Sasa ikitokea hujawatumia hawa mawakala ukienda Brela ORS mwenyee ukatuma maombi...