botswana

Botswana ( (listen), also UK: ), officially the Republic of Botswana (Setswana: Lefatshe la Botswana), is a landlocked country in Southern Africa. Formerly the British protectorate of Bechuanaland, Botswana adopted its name after becoming independent within the Commonwealth on 30 September 1966. Since then, it has been a representative republic, with a consistent record of uninterrupted democratic elections and the lowest perceived corruption ranking in Africa since at least 1998. It is currently Africa's oldest continuous democracy.Botswana is topographically flat, with up to 70 percent of its territory being the Kalahari Desert. It is bordered by South Africa to the south and southeast, Namibia to the west and north, and Zimbabwe to the northeast. Its border with Zambia to the north near Kazungula is poorly defined but is, at most, a few hundred metres long.A mid-sized country of just over 2.3 million people, Botswana is one of the most sparsely populated countries in the world. Around 10 percent of the population lives in the capital and largest city, Gaborone. Formerly one of the poorest countries in the worldโ€”with a GDP per capita of about US$70 per year in the late 1960sโ€”Botswana has since transformed itself into one of the world's fastest-growing economies. The economy is dominated by mining, cattle, and tourism. Botswana boasts a GDP (purchasing power parity) per capita of about $18,825 per year as of 2015, which is one of the highest in Africa. Its high gross national income (by some estimates the fourth-largest in Africa) gives the country a relatively high standard of living and one of the highest Human Development Index of continental Sub-Saharan Africa.Botswana is a member of the African Union, the Southern African Development Community, the Commonwealth of Nations, and the United Nations. The country has been among the hardest hit by the HIV/AIDS epidemic. Despite the success in programmes to make treatments available to those infected, and to educate the populace in general about how to stop the spread of HIV/AIDS, the number of people with AIDS rose from 290,000 in 2005 to 320,000 in 2013. As of 2014, Botswana has the third-highest prevalence rate for HIV/AIDS, with roughly 20% of the population infected.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani kawafundisha Botswana mambo ya nje ya uwanja mbona wanatisha hivi?

    Hawa Botswana wamekubuhu kwenye mbinu za nje ya uwanja, wanakufunga kwako kama umesinzia vile. Sijui wameimport product ya wapi inayowabeba kiasi hiki siku hizi. Jwaneng Galaxy alimpiga Wydad kwake, waarabu wakabaki wameduwaa wakawashutumu kwa kuroga. Leo Botswana imempiga Cape Verde huko huko...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Botswana afikishwa Mahakamani kwa mashtaka ya Makosa Jinani baada ya kurejea nchini humo

    Rais Ian Khama, amerejea Botswana baada ya kuishi uhamishoni Afrika Kusini kwa takriban tangu Mwaka 2021. Ijumaa ya Septemba 13, 2024, alifikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka 14, ikiwemo umiliki haramu wa silaha na utakatishaji fedha. Khama ameyakana mashtaka hayo, akidai kuwa ni...
  3. JamiiForums Tanzania Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

    Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa Au Morocco na nchi nyingine ongezea. Bongo sitaki, Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM...
  4. JamiiForums Tanzania Botswana yagundua almasi kubwa yenye uzito wa karati 2,492, inaaminika kuwa ya pili kwa ukubwa duniani

    Jiwe kubwa la almasi lenye uzito wa karati 2,492, ambalo linaaminika kuwa la pili kwa ukubwa kuwahi kupatikana duniani, limegunduliwa nchini Botswana. Jiwe hili kubwa linaaminika kuwa ni kubwa zaidi kuwahi kupatikana tangu almasi ya Cullinan yenye uzito wa karati 3,106 ilipogunduliwa Afrika...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada nataka kwenda kujaribu maisha Botswana ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ

    Habari za hapa wana jamii, Mimi ni Mtanzania ila kwa sasa niko ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Kenya ila mmmh life ya Kenya kiukweli ni ngumu mno. Sasa nilikuwa naomba wazoefu wa haka kanchi kanaitwa Botswana ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ Nataka nikajaribu na hukoo anaejua hii nchi vizuri natakaiwa niandae nini na nn ili niishi vizuri hapo...
  6. JamiiForums Tanzania Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

    Welcome to Botswana ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education. University students receive $154 in allowances monthly. It has low debt. It has Africa's best Police service. It is an upper-middle-income country. It has Africa's highest credit rating. It is...
  7. JamiiForums Tanzania Afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Botswana anaonekana mitaani na mahakamani mkoani Kilimanjaro akizurura na gari la Ubalozi!

    Ninasikitika sana! Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau? Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana. Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa Botswana kuwa nchi tajiri kuliko nchi nyingine za Afrika?

    Why is Botswana richer than other African countries? Botswana is richer than most other African countries because of 3 basic factors: DIAMONDS At independence, the country had no more than 12km of tarred roads in 1965. It also had less than 10 graduates. The discovery of diamonds changed all...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaojua Viwango vya Mshahara kwa Mwalimu nchini Botswana

    Habarini wanajamvi, Nimechoshwa na maisha ya walimu hapa nchini. Nimekuwa nikiona baadhi ya machapisho kuwa angalau Botswana kuna kaunafuu. Kwa anaejua mshahara wa Mwalimu wa Degree nchini Botswana naomba anijuze, na pia connection kama itawezekana. Ahsanteni.
  10. JamiiForums Tanzania Botswana: Serikali yakanusha kutelekeza Wanajeshi wake vitani Msumbiji

    Jeshi la Ulinzi la #Botswana (BDF) limesema taarifa hizo zilizoripotiwa na Magazeti kuhusu Wanajeshi kukabiliwa na njaa kutokana na kutokana na kukosa chakula ni za uzushi na hazina msingi. Taarifa ya #BDF imesema Wanajeshi wake waliotumwa Kaskazini mwa Nchi hiyo kulinda amani wapo katika Kambi...
  11. JamiiForums Tanzania Botswana: Rais Mstaafu adai Serikali inapanga kumkamata na kumuua akirejea nchini humo

    Tamko hilo linafuatia mahojiano ya Khama kueleza kuwa ana taarifa Serikali ya Rais Mokgweetsi Masisi inapanga kumkamata na kumuwekea Sumu atakaporejea Nchini humo kutoka Afrika Kusini anakoishi tangu mwaka 2021. Khama amesema Serikali ya Botswana inahofia ushawishi mkubwa alionao kuelekea...
  12. JamiiForums Tanzania Raia wa Botswana afungwa miaka mitatu kwa kuishi nchini kinyemela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemuhukumu raia wa Botswana, Theo Leborang kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kuishi nchini kinyume cha sheria na kutoa taarifa za uongo kwa Maofisa wa Uhamiaji. Hukumu hiyo imetolewa jana Jumanne...
  13. JamiiForums Tanzania MAAJABU YA SOKA: Wiki hii imejirudia, iliwahi kutokea August 11 -24 mwaka 2019

    August 10, 2019 Simba alitoka sare ya bila bila ugenini na UD Songo ya Msumbiji na Yanga walitoka sare ya 1-1 na Township Rollers ya Botswana. Kama kawaida yao wachambuzi maandazi waliishambulia sana Yanga kwa kuruhusu bao nyumbani na kuisifu sana Simba kutoka sare tasa ugenini. Tulinyanyasika...
  14. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki kila siku vikao, wenzenu Namibia na Botswana wameruka, sasa ni vitambulisho siyo pasipoti!

    Nchi wanachama wa Afrika mashariki zikiwa ni tatu Kenya, Uganda na Tanzania zimekuwa zikijikongoja kuuganya muungano kuwa mwepesi kwa raia wake hata kwa muingiliano siyo issue ya kazi but mpaka leo tukiwa na utitiri wa nchi ndiyo balaa linaongezeka. Seล•ikali za Namibia na Botswana zimekubali...
  15. JamiiForums Tanzania Mechi ya Tanzania Vs Botswana yaota mbawa, Botswana waja juu

    MECHI YA STARS NA BOTSWANA YAOTA MBAWA Chama cha soka cha Botswana (BFA) kimetoa taarifa rasmi ya kuifuta mechi ya kirafiki dhidi ya Tanzania iliyokuwa ifanyike Machi 26. ๐Œ๐ž๐œ๐ก๐ข ๐ฒ๐š ๐ญ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐ญ๐š๐ข๐Ÿ๐š ๐ฒ๐š ๐๐จ๐ญ๐ฌ๐ฐ๐š๐ง๐š ๐ข๐ฅ๐ข๐ฒ๐จ๐ฉ๐š๐ง๐ ๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐œ๐ก๐ž๐ณ๐ฐ๐š ๐๐ก๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐Œ๐š๐œ๐ก๐ข ๐Ÿ๐Ÿ”, ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ ๐ข๐ฆ๐ž๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐ฐ๐š. ๐Œ๐ž๐œ๐ก๐ข ๐ก๐ข๐ฒ๐จ ๐ข๐ฆ๐ž๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐ฐ๐š...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Salim Mwalimu na Margit Hellwig-Boette, Wakutana Botswana

    Salaam Wakuu Balozi wa Ujerumani Nchini Botswana Margit Hellwig-Boette leo Nov. 08, 2021 akiteta na Makamu Mwenyekiti na Mgombea Urais wa 2020 Tundu Lissu na Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar na Mgombea Mwenza wa Lissu wakati wa mkutano wa Kimataifa unaohusu Uchaguzi Afrika...
  17. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya dhahabu Botswana - Sehemu ya pili

    "Itakuwa furaha Sana kwangu Kama mods mtauacha huu uzi hapa hapa na sio kuunganisha na ule wa sehemu ya kwanza... Natanguliza shukrani kwenu na kazi iendelee kwa pamoja tukiwa Kama Wana jamuhuri wa jamuhuri tukufu ya muungano wa Tanzania, Mungu ibariki Tanzania." Kwanza kabisa napenda...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Botswana, natakiwa kuwa na Visa?

    Wakurugenzi nimepata mchongo Nampula Botswana je hints nafikaje huko? Ubalozi wao upo wapi hapa Tanzania? Naona hapa pananifaa. Vigezo gani vya kuingia huko? Nimetenga 1500$ Kama safari alafu 1000$ ya kukaa miezi mitatu rental
  19. JamiiForums Tanzania Botswana: Waziri Msaidizi asimamishwa kazi kwa kukiuka kanuni za kupambana na Corona

    Rais wa Botswana amemsimamisha kazi kwa mwezi mmoja Waziri Msaidizi wa Afya, Sethomo Lelatisitswe, kwa kukiuka taratibu zilizowekwa ili kudhibiti maambukizi ya COVID19. Serikali Nchini humo ilipiga marufuku mikusanyiko yote kutokana na ongezeko la Visa vya Corona na miongoni mwa mikusanyiko...
  20. JamiiForums Tanzania Linganisha Delegation ya Botswana na ya Tanzania kwenye kuapishwa Rais Mteule wa Zambia

    Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM. Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ