Tunajifunza nini kwa Botswana kuwa nchi tajiri kuliko nchi nyingine za Afrika?

uperiti

New Member
Mar 9, 2023
4
4
Why is Botswana richer than other African countries?

Botswana is richer than most other African countries because of 3 basic factors:
  • DIAMONDS
At independence, the country had no more than 12km of tarred roads in 1965. It also had less than 10 graduates. The discovery of diamonds changed all that. Botswana is now the 2nd largest producer of diamonds in the world and the revenues earned have been properly accounted for and used to transform the country.
  • VERY LOW LEVELS OF CORRUPTION
Corruption in Botswana has been very low. This was a legacy left by the first president of the country, Sir Seretse Khama who ruled as a benign democrat from 1965 to 1984. He was incorruptible and ensured that those who served under him were also.

Botswana has severally be rated as the least corrupt country in Africa. Corruption, which has been the bane of many African countries, has been almost non-existent here but has grown lately.
  • SIR SERETSE KHAMA LEADERSHIP SKILLS
Seretse Khama as the new president introduced many policies that were advanced for that era.

He enthroned the Rule of Law, enforced contracts, allowed market forces to work and so on. These far-reaching policies were the sought The Economist magazine would have recommended and not the socialistic ones many newly independent African countries like Tanzania were embarking on which were to leave them worse off than under colonial rule.

These are the 3 reasons why Botswana is where it is today. Personally, I feel the country could have done better with far deeper policies. Anyway, one must not discount the great progress made since 1965.
 
Kichwa cha habari ni Kiswahili, maelezo ya Kiingereza.... Muandishi utafika mbinguni umechoka, chagua lugha moja ili iwe rahisi kufikia walengwa wako... Kama ni waingereza au Waswahili. Mswahili akisoma kichwa cha habari kitamfutia hila maelezo yatafanya akimbie, na muingereza akiona kichwa cha habari tu hawezi kufungua ndani kusoma maelezo... Kwa hiyo chagua lugha moja unapotaka kuwasilisha ujumbe
 
Namba moja naikataa, Botswana ni Tahiti kwa sababu wametumia rasilimali zao vizuri.
Kama diamond ingekuwa sababu DRC Congo ingeongoza kwa utajiri.
Botswana wanauza Sana nyama nje ya nchi Ila ukilinganisha na Tanzania sisi tuna mifugo zaidi ya kwao na hata wataalamu wengi walioko huko wanaotoka Tanzania
 
Write your reply...hata sisi tulikuwa na nyerere hakuwa fisad na diamond tunayo mwadui napia tuna tanzanite ya kutosha na gold na km ni mifugo tunao wengi kuliko wao.
 
Kwenye suala la coruption imewezekana kwa vile botswana hawana kodi za kijinga sasa unatoa rushwa ili iweje.
 
Nchi ina rasilimali ya Diamonds na nyama kama biggest exports ila imefanikiwa kutajirisha wananchi wake kwa kiasi kikubwa ,njoo sasa nchi zenye kila rasilimali kama Tanzania hii ,uone sasa,upuuzi mtupu unaendelea humu .
Umasikini uliootopea ,wachache wananeemeka ,majority wanaishi kama wakimbizi
 
Mifumo mibovu,zinatajirisha wageni
 
Vipi idadi ya watu hujaweka tujue kama wapo wengi au wachache
Botswana 🇧🇼 ina watu chini ya 3M,na zimbos 4M!!!,Tanzania tuendelee kuzaaana kama simbilisi, serikali itatunza bila shaka,tupo 66M,uchumi unakua kati ya 5% to 7% na tunaongezeka kwa more than 3%,it's craze, welldone mtoa mada kwa kuelezea vema Botswana, hadi leo unaweza kuendesha kutoka Kasane hadi Gabbs bila kutoa cent moja kwa traffic officer's, check points zipo 3tu,almost 800km, Dar to Moro(194km)tuna check points 27!!!!,wizi mtupu
 
Namibia, Botswana, south Africa ndizo nchi pekee hazikuwafukuza wakoloni baada ya Uhuru wao waliomba usawa.
Huku wakiwaachia wakoloni waendelee na shughuli zao na Sio kuwafukuza au kutaifisha mali zao,
 
Why is Botswana richer than other African countries?

Botswana is richer than most other African countries because of 3 basic factors:
  • DIAMONDS
At independence, the country had no more than 12km of tarred roads in 1965. It also had less than 10 graduates. The discovery of diamonds changed all that. Botswana is now the 2nd largest producer of diamonds in the world and the revenues earned have been properly accounted for and used to transform the country.
  • VERY LOW LEVELS OF CORRUPTION
Corruption in Botswana has been very low. This was a legacy left by the first president of the country, Sir Seretse Khama who ruled as a benign democrat from 1965 to 1984. He was incorruptible and ensured that those who served under him were also.

Botswana has severally be rated as the least corrupt country in Africa. Corruption, which has been the bane of many African countries, has been almost non-existent here but has grown lately.
  • SIR SERETSE KHAMA LEADERSHIP SKILLS
Seretse Khama as the new president introduced many policies that were advanced for that era.

He enthroned the Rule of Law, enforced contracts, allowed market forces to work and so on. These far-reaching policies were the sought The Economist magazine would have recommended and not the socialistic ones many newly independent African countries like Tanzania were embarking on which were to leave them worse off than under colonial rule.

These are the 3 reasons why Botswana is where it is today. Personally, I feel the country could have done better with far deeper policies. Anyway, one must not discount the great progress made since 1965.
Umesahau kuwa hilo ni koloni la Mmarekani mpaka sasa na hapo kuna Base kubwa ya Jeshi la Marekani .
Hivyo acha uongo anapambwa na CNN na BBC lakini bado ni maskini wa kutupwa na Makampuni yanayochimba madini yote ya kigeni na hakuna hata tajiri mmoja kutoke hapo ambaye yupo kwenye List ya Matajiri kumi wa Afrika.

Achana na Propaganda za Ulaya na Amerika.

Ukiona huna vikwazo vya EU na Amerika halafu upo Afrika juwa Wazi wewe bado ni Mtumwa tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom