boti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete apongeza Serikali kwa kuwanajengea Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi wa Pwani ya Bahari

    Naibu Waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze amepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali kuhakikishia wananchi wanaoishi katika Wilaya za Pembezoni mwa Bahari ya Hindi za kuhakikisha kuwa wanajengewa Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi kwa kuwapatia Vifaa vya...
  2. JamiiForums Tanzania Wahamiaji 14 waliokuwa wakizamia kwenda Ulaya wafariki baada ya boti kushika moto Senegal

    Wahamiaji 14 wamefariki Dunia baada ya boti waliyokuwa wakiitumia kushika moto katika Jimbo la Kasamance Nchini Senegal. Safari yao ilikuwa ni kuelekea Ulaya kupitia Visiwa vya Kanari vya Hispania. Meya wa Mji wa Kafountine jimboni hapo, David Diatta amesema wamefanikiwa kupata mili 14 baada...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama ya kukodi boti kwa ajili ya birthday party hapo mjini Darisalama

    Wakuu msaada kuna hela nilikuwa nimetunza kwa ajili ya kununua kiwanja lakini baada ya kufanya tathmini ya kina nikaona nitakuwa nimwfanya kitu Cha kitoto hasa ikizingatiwa hapa duniani tunapita tu, sisi hapa duniani ni wasafiri. Msaada nataka kujua Gharama ya kukodi boti hapo mjini kwa ajili...
  4. JamiiForums Tanzania Boti iliyookotwa Zanzibar hii hapa, Wanajeshi waifanyia uchunguzi baada ya hofu ya mabomu

    Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo, Rashid Hadid Rashid amesema hakuna mabomu yaliyokutwa katika boti iliyookotwa kando kando mwa fukwe ya bahari ya Bwejuu kama ilivyodhaniwa na baadhi ya wavuvi walioisogeza boti hiyo ufukweni RC...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kuifahamu biashara ya uvuvi wa samaki baharini

    Wenye exprience nipeni mwongozo boti ninayo tayari na mota pamoja na net nipeni profit and loss za hii biashara Eneo la uvuvi ni Mtwara
  6. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Wavuvi wapewa Boti za Kisasa, Bara kulikoni?

    Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi. Jambo la kheri kabisa! Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu? Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi? Kweli Zanzibar kumenoga.
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana, tafadhali anzia Kituo cha Boti za Zanzibar na Viwanja vya ndege. Watu wetu wanatudhalilisha na kutuaibisha sana!

    Jana blogger maarufu katika Mtandao wa You Tube muingereza Jason Billam amepost kuhusu safari yake kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar. Blogger huyu amekuwepo Tanzania kwa muda wa wiki sasa na amekuwa akielezea mengi mazuri kuhusu Tanzania jambo ambalo ni zuri kiutalii Jambo la kusikitisha...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola mmelitoboa Jahazi, itisheni boti za uokozi tusizame

    Mhe Rais wavumilie wenye Dola, wakumbushe umuhimu wa wao wenyewe kuwa na wivu dhidi ya vyombo vyao, usiendelee kuwateua, waelekeze wazifanyie mabadiliko sheria zao, waunde waweze kujisimamia, watenganishe na chama chako na kuwapandisha na kuwapa madaraka Kwa kuzingatia utendaji wao na siyo...
  9. JamiiForums Tanzania Nauli ya Zanzibar kuwa Tsh 25,000 vigezo gani vimetumika?

    Ile nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali? Maana Zenji ukitoka na boti tu bandari ya Dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho, na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha Wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25,000...
  10. JamiiForums Tanzania Vikwazo vyaendelea, Ujerumani yazuia boti ya bilionea wa Urusi

    Mamlaka nchini Ujerumani zinashikilia boti ya kifahari ya bilionea wa Urusi, Alisher Usmanov yenye thamani ya Sh trilioni 1.4. Hatua hiyo imekuja siku mbili baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kumuwekea vikwazo alivyodai vina lengo la kumchafua, na kwamba atapambana kulinda heshima yake. Vikwazo...
  11. JamiiForums Tanzania Baharia wa Ukraine akamatwa akitaka kuizamisha boti inayomilikiwa Mrusi Nchini Hispania

    Mbaharia mmoja wa Ukraine amekiri kujaribu kuizamisha boti inayomilikiwa na mkuu wa kampuni ya silaha ya serikali ya Urusi, kwa lengo la kulipiza kisasi kwa uvamizi wa Ukraine. Boti hiyo yenye urefu wa mita 48 sawa na futi 157 inayoitwa Lady Anastasia inamilikiwa na Mkurugenzi Mkuu wa...
  12. JamiiForums Tanzania DR Congo: Takriban watu 20 wafariki dunia baada ya boti kushika moto bandarini

    Takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine 11 kuungua vibaya baada ya Boti kushika moto kwenye Bandari ya Ngafura iliyopo Mto Kongo. Imeelezwa, Boti hiyo ilikuwa na idadi kubwa ya bidhaa zenye kuwaka moto Serikali Nchini humo imepiga marufuku abiria kupanda boti za mizigo lakini Wananchi...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Pemba: Watu 9 wafariki dunia baada ya boti kuzama baharini. Zoezi la uokoaji kuendelea asubuhi

    Watu 9 wamefariki dunia na wengine 6 kuokolewa wakiwa hai baada ya boti kuzama baharini Kisiwani Pemba wakati watu hao wakitokea Chakechake kwenda kisiwa cha Panza kwenye shughuli za mazishi. Zoezi la uokozi limesitishwa usiku na litaendelea Januari 5, 2022 asubuhi. Shahidi katika tukio hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Oil sahihi Kwa injini za Boti

    Boti ndogo zinatumia injini za Nje(Outboard Engine) zimetengenezwa kulingana na mapigo ya injini (engine stroke/cycle). Hapa kuna aina mbili (2) injini kulingana na mapigo Kuna 2 Stroke Outboard Engines na 4 Stroke Outboard Engines. Watumiaji wengi wa boti au vyombo vidogo vya majini wamekuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Boti Inauzwa Tsh Milioni 4

    Inafaa Kwa Matumizi mbalimbali. Bei:45 ML
  16. JamiiForums Tanzania Lini Kampuni ya Azam Marine itaanza Safari Zake za Boti Mpya ziwa Victoria?

    Uzoefu wake kwa kweli kwa sasa inabidi aongeze mipaka!? Watu wale maisha ya kisasa.. Tunamkaribisha KANDA YA ZIWA VICTORIA... UTAJILI WA MTU MMOJA UNA MAANA KUBWA DUNIANI
  17. JamiiForums Tanzania Azam Marine boresheni vyoo vilivyoko kwenye boti zenu za Unguja kwenda Pemba

    Nimesafiri na Boti za Azam kutoka Dar kwenda Unguja mara nyingi, wamefanikiwa kuwa wasafi, ndani ya boat na hata kwenye vyoo vyao. Zile "boat" zinazofanya safari ya Unguja kwenda Pemba na Pemba kuja Unguja kwa kweli ni chafu. Ni chafu kuanzia kwenye viti hadi vyooni. Sielewi ni kwa nini...
  18. JamiiForums Tanzania Senegal: Watu wapatao 48 hawajulikani walipo baada ya boti kupinduka

    Takriban watu 48 hawajulikani walipo baada ya boti iliyokuwa imebeba abiria wapatao 60 kupinduka Pwani ya Kaskazini mwa Nchi hiyo. Abiria 11 ambao 8 ni Raia wa Senegal na 3 ni Raia wa Gambia wamekolewa Kumekuwa na ongezeko kubwa la Wahamiaji wanaofanya safari hatarishi kutoka Barani Afrika...
  19. JamiiForums Tanzania Mifumo rafiki kwa watumiaji boti kwa shughuli mbalimbali.

    Kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta kila mara, si watumiaji pekee wa magari wanaoathirika. Boti ndogo za uvuvi,utalii na matumizi binafsi wamekuwa wakitumia petrol kwa ajili ya kuendeshea boti zao. Sasa inabidi kutumia njia mbadala za nishati kama jua,umeme au gesi asilia kuendeshea...
  20. JamiiForums Tanzania Bangladesh: Bwana harusi na wageni wake wapigwa na radi, wajeruhiwa na wengine wafariki dunia

    Wakuu, Radi nchini Bangladesh imewapiga na kuwaua wageni 17 waliohudhuria sherehe ya harusi moja nchini humo. Watu 14 wengine ikiwemo bwanaharusi walijeruhiwa. Wakati huo bi harusi hakuwepo katika sherehe hiyo. Sherehe hiyo ilikuwa inafanyika katika boti moja katika mji uliopo karibu na mto wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…