bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania Safari Channel bora kabisa inayothaminisha nchi na muda wa mtazamaji

    Dokta Ayubu Ryoba anastahili kongole kwa ubunifu huu wa channel inayoweza kuangaliwa na dunia nzima ikielezea uzuri, historia na hadhi ya nchi yetu. Nimekuwa nafuatilia vipindi vya channel hii ya utalii nimejikuta naeleimika sana kuhusu uzuri wa nchi yangu na hata kuna maeneo ambayo si rahisi...
  2. R

    Kwa namna timu ya Taifa inavyocheza leo; Hemed Moroco ni bora kuliko kocha Mkuu; lakini utakuta analipwa kidogo au analipwa maslahi

    Game ya Tanzania na Zambia na game ya leo ni Ishara tosha kwamba yule kocha mgeni alikuwa ahujumu timu yetu. Angalia first 11 ya leo inavyopiga mpira wa kisasa, akina Fei Toto walikuwa wanafanya nini benchi? Kwa hizi game mbili vs game ya majaribio na Egypt na game ya Morroco ni wazi kocha...
  3. D

    Huyu ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea Duniani (GOAT)

    Zaki Khellaf huyu ni mmoja wa wasakata kandanda 'mahiri' zaidi kuwahi kutokea duniani. Ni mraibu wa soka anayetokea nchi ya Algeria anayefahamika kwa jina la Chouchaa(Shusha) maarufu duniani kote. Choucha ni mchezaji wa 'ajabu' ambaye aliweza kutambulika kwenye mitandao kutokana na mapenzi yake...
  4. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo serikali inapaswa kufanya haya ili tupate timu bora ya taifa itakayowakilisha vyema taifa letu

    Mpira wa miguu ni mchezo maarufu na wa kusisimua unaounganisha tamaduni na mataifa. Timu ya taifa ya Mpira wa miguu inaweza kutumika kama kichocheo cha kukuza fahari na mshikamano miongoni mwa raia wa nchi. Hivyo, ni muhimu sana kwa serikali kuweka msingi bora kwa vijana ili kutengeneza timu...
  5. Cristiano Ronaldo: Saudi Pro League is more competitive than Ligue 1

    [emoji599] Cristiano Ronaldo: “𝐒𝐚𝐮𝐝𝐢 𝐋𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 𝐢𝐬 𝐛𝐞𝐭𝐭𝐞𝐫 𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐋𝐢𝐠𝐮𝐞𝟏 already now, I’m sure of that" [emoji1210] ◉ “Saudi Pro League is more competitive than Ligue1, I can say that after one year spent there and I’m sure”. ◉ “We are better than French league already now”. ◉ “I feel so happy at Al...
  6. AFCON: Senegal yaingia Hatua ya 16 Bora wa kuipiga Cameroon magoli 3-1

    Timu ya Taifa ya Senegal imefanikiwa kuingia Hatua ya 16 Bora ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), leo Januari 19, 2024 kwa kuifunga Cameroon magoli 3-1, hivyo kufikisha pointi 6 katika Kundi C ikiwa imesaliwa na mchezo mmoja. Magoli ya Senegal yamewekwa wavuni na Ismaila Sarr...
  7. Djigui diarra top top top goalkeeper, maneno machache but kiwango bora kabisa!

    Ni moja ya sajili Bora kabisa ambayo Eng.Hersi said anastahili pongezi za dhati, ni goalkeeper ambae amekomaa vya kutosha na uzoefu wa kutosha! Mechi yake ya kwanza dhidi ya south Africa anaondoka na clean sheet uku akiwabeba Mali mgongoni mwake, save 6 za maana uku 3 akizifanya ndani ya box...
  8. Bora Taifa Stars icheze Leo tuone wachezaji wa Simba

    Dah jamaa zetu Yanga Mara tumuone Aziz Ki first eleven ya Burkina Faso Mara Diarra First eleven ya Mali. Sisi makolo mpaka Leo hatujaonekana. Timu kubwa kubwa Africa Kama Mamelody, Al ahly wachezaji wao washaonekana. Basi na Sisi ngoja Stars icheze tuonekane kidogo
  9. Gary Lineker: Mtangazaji wa Mechi Bora Amefuta chapisho lake mitandaoni la kuitaka Israel kupigwa marufuku kujihusisha na soka

    Nyota huyo wa zamani wa Uingereza, ambaye sasa ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi kwenye Kituo cha utangaji cha BBC, alituma tena chapisho la Kampeni ya Palestina ya Kususia Kielimu na Utamaduni ya Israeli (PACBI) kwenye X, ambayo zamani ilikuwa Twitter. Katika Chapisho Hilo, PACBI ilitoa...
  10. Kauli Bora Kutoka Kwa Mwanasimba LiaLia Baada ya kupoteza Fainali ya Mapinduzi

    Tusichoshane jisomeeee mwenyewe. Halaf shusha Reply unamuonaje huyu mtu ana maumivu kiasi gani? Na kasema hili kwa ukweli wa asilimia ngapi?
  11. Kipi Bora Tanzania tuwe wengi maskini au wachache wenye maisha bora

    Ukienda /kuishi vijijin utagundua watoto wanazaliwa ni wengi sana halafu 75% ya familia zote ni maskini.. Mfano kwimba misungwi, buchosa kijana maskini 30yrs ana watoto 5 Ukichek rasilimali zilizopo ni ardhi tu elimu wanayopata ni very poor ukuchek serikali Ina Mipango gani na future...
  12. M

    Bora ugaidi kuliko ushoga

    Mzuka wanajamvi. Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa. Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu. Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi...
  13. Vyuo bora vya kujifunza IT Tanzania

    1. Dar es salaam Institute of Technology (DIT) 2. St.Joseph University in Tanzania. 3. University of Dar es Salaam. 4. University of Dodoma
  14. Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

    Hivi wadada bora kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au kupata mwanaume mwenye hela? Hebu funguka unachagua nini? #nyumayapazia
  15. Namna bora ya kujiandaa kuanza ujenzi

    Habari wakuu. Nimeona kuna post za members kutaka kujua idadi ya material ya nyumba. Sasa Ili kuanza ujenzi unatakiwa kuwa angalau na idadi ya material ya kuanza kujenga mpaka kupaua. Kisha kutoka kwenye idadi ya material utapata gharama/bei zake halisi kwa sehemu unayotaka kujenga. Nitakuja...
  16. Njia 5 bora za kutengeneza pesa online 2024

    Watu wengi Wamekuwa wanataman kutengeneza pesa online na hawajui ipi njia bora na nzuri zaidi, kwanza toka hii kitu akilini mwako kwamba ukianza kitu after 5-7 days unaweza toboa kwa hiyo kitu. watu wengine wamekuwa wanagive up katika sehemu mbalimbali tena online tunaona vijn wengi wanasema...
  17. Utajiri upo katika kilimo bora cha mpunga, chukua nondo hizi

    KILIMO BORA CHA MPUNGA: A: kuandaa shamba shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow) Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti weka mifereji ya Maji vizuvizur Andaa majaruba mapema yawe level kupitika Kwa maji B: UANDAAJI WA MBEGU NA KUPANDA Kwa kilimo Cha nchi kavu...
  18. Video bora kuliko zote duniani inayoupamba mwaka mpya wa 2024

  19. Yanga ndio timu pekee iliyotoa wachezaji wengi kucheza AFCON 2024, timu bora inaendana na usajili bora

    Ni ngumu sana kupenya kwenye vikosi vya timu za taifa kwenda kucheza michuano mikubwa barani afrika, ubora pekee wa mchezaji husika ndio umpelekea kocha kumjumuisha mchezaji kwenye kikosi chake Cha mapambano! Kwa Tanzania ni klabu moja pekee iliyofanikiwa kupeleka wachezaji wengi kwenye timu za...
  20. 2024: Bora kuanza kunifunza animation kuliko programming

    Maoni!! Wengi huwa tuna malengo ya kujifunza mambo mapya huu mwanzo wa mwaka, Je ni kipi cha kujifunza kati ya animation na programming? Kama mimi ningeambiwa nichague ningeenda na animation Animation ina fursa sana na soko kubwa kulinganisha na programming, kuanzia 2D hafi 3D soko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…