bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya "bosses" wa kizungu wana roho nzuri na waumgwana kuzidi Waafrika, waarabu, wachina na wahindi? Malezi bora au ni nini?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Uliwahi kuwa na boss Mzungu, mchina, Mwarabu?? What was your experience?? Siku boss wangu Mzungu anaondoka mwaka 2018, alitupa staki zote kwa mujibu wa sheria plus 900,000/= kila mmoja wetu kutoka katika akiba yake baada ya kuuza assets zote na kurejea kwao Denmark...
  2. JamiiForums Tanzania Bora Veta au Vyuo vya kati kwa form 4?

    Wanafunzi wanaokosa kwenda kidato cha tano na sita huwa wanapangiwa vyuo. Picha: Daily News Ila nilichogundua mkakati huu unalundika wanafunzi wengi kusoma koz nyingi ambazo hazina athari ya moja kwa moja kwenye maisha yao zaidi baada ya kuhitimu wanakuja kuwa na mawazo ya ajira. Mfano...
  3. JamiiForums Tanzania Story bora za mapenzi nilizowahi kuzisoma hapa JF ❤️📖

    Mimi napenda sana kusoma love stories, na kwa hapa JamiiForums nimewahi kusoma stories kadhaa za mapenzi. Lakini kuna story tatu ambazo kwangu mimi nimeziona ni best kabisa. Hizi ndio top 3 zangu: 1. Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na mwanamke wa ajabu – INSIDER MAN 2. How I Met My...
  4. JamiiForums Tanzania Sera ya CCM kuwa wafia chama badala ya nchi ndizo zinazo liua Taifa, wakibadili tu huo mtazamo wa tutapata viongozi bora kabisa maana wapo

    Na hata hivyo huko kwenye chama wanaburutwa tu kama tela la punda, Mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti tangu zama za nyerere ndio zinazo liua sana taifa hakafu kuna anasema nyerere mtakatifu, anautakatifu gani wakati alijiandalia katiba inayo mlinda yeye
  5. JamiiForums Tanzania Ulimwengu: Kwa miaka 10 iliyopita, hakuna uchaguzi bora uliofanyika kama wa CHADEMA

    Mwanahabari mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu amesema Tanzania inapaswa kujipa muda katika kujenga mifumo bora ya kidemokrasia, akitolea mfano uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa mapema Januari 2025, kama miongoni mwa chaguzi za mfano zilizofanyika kwa uwazi...
  6. JamiiForums Tanzania Elite Home Tuition – Elimu Bora Tanzania Nzima 🇹🇿

    📚 Elite Home Tuition tunatoa huduma bora za Home Tuition Tanzania nzima, kwa wanafunzi wa viwango mbalimbali kuanzia KG 1 hadi watu wazima. Tunawasaidia wanafunzi wenye mahitaji tofauti ya kielimu, ikiwemo: 🧩 Autism / Autism Spectrum Disorder (ASD) ♿ Wanafunzi wenye mahitaji maalum ya kielimu...
  7. JamiiForums Tanzania NI NJIA GANI BORA YA KUTOA FEDHA KUTOKA META (Facebook).

    Wakuu mimi ni mgeni katika sekta ya pesa mtandaoni, ila Meta kwa sasa wananitaka kuweka payout details, kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuna mbinu 3 hivi 1-Kupitia Payoneer 2- PayPal 3-Direct kuja bank zetu hizi Lengo langu pia ni kutunza hivyo vijisenti vikiwa katika Dollar make...
  8. JamiiForums Tanzania John Heche: Tukisema msiue watu kwenye uchaguzi tunaonekana wanaharakati, hatuoni shida kuitwa wanaharakati

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amesema chama hicho kimeamua kuendelea kudai mabadiliko ya kweli badala ya kufanya siasa kwa ajili ya kuonekana pekee. Heche amesema wanapozungumzia masuala yanayowagusa wananchi na kudai mabadiliko, baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita...
  9. JamiiForums Tanzania Nchimbi ni bora umewawahi hawa watu

    Li nchi linakwenda zigzaga utafikiri halina jeshi. Kikundi cha watu kinaendesha nchi upumbavu mtupu. Kwa katiba ilivyo akitokea Kiongozi kichaa anaweza kuwaamuru hata jeshi lifanye jambo la ajabu na jeshi likatii...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera JJ Ephraim Kwa Maudhui Bora, Ukiendelea Hivyo Utafanya Zaidi Ya Hapo

    Habari, Nimemtazama JJ Ephraim ambaye ni mtoa Maudhui ya video kwa namna ya kuburudisha jamii pamoja na kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha. Nampa Kongole kwenye ubunifu wa kuandaa mawazo, jumbe na mafunzo yanayolenga jamiii moja kwa moja kwenye kuonya,kufundisha na kuburudisha. Umekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tukiondoa Huu Ujinga wa Kudhaminiwa na Chama cha Siasa, 2030 Akisimama Kama Mgombea Huru, Hakuna Mtu Atashindana Naye. Rais Bora ni Kutoka CCM Pekee!

    Wanabodi Kwanza nitangulize kuomba radhi kwa kusema samahani kwa shurti la udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!. Kiukweli kitu ambacho ni cha kijinga kweli kukiita ni ujinga,ni halali...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna martial art bora kuliko Judo?

    Nimeona wanamartial arts wengi wanapigwa na wacheza judo. Je judo ndiyo martial art bora zaidi?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tuyaonyeshe mataifa yanayotubexa kwa utovu wa utawala bora kwa kumwomba mh rais akubali kufika kwa mahakama

    Hii ingeonyesha heshima kwa sheria zetu na utawa bora unaogeshimu sheria Katuga hakufikiri vizuri kuweka pingamizi la mashahidi wa Lissu upande wa serikali kwani hofu yake ni nini. Kwani wakisimama kutoa ushahidi watageuzwa kuwa wao ndiyo wahaini Wito wangu kwa mama yetu mwambie...
  14. JamiiForums Tanzania Elite Home Tuition – Elimu Bora Tanzania Nzima 🇹🇿

    📚 Elite Home Tuition tunatoa huduma bora za Home Tuition Tanzania nzima, kwa wanafunzi wa viwango mbalimbali kuanzia KG 1 hadi watu wazima. Tunawasaidia wanafunzi wenye mahitaji tofauti ya kielimu, ikiwemo: 🧩 Autism / Autism Spectrum Disorder (ASD) ♿ Wanafunzi wenye mahitaji maalum ya kielimu...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Bora LISSU anyongwe kuliko samia Kuitwa Mahakamani

    Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita. Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita. Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Bora Lissu kunyongwa kuliko Samia kukanyaga Mahakamani.

    Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita. Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita. Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini...
  17. JamiiForums Tanzania Dar haiwezi kuwa na bus stand Moja tu, Chalamila amewaza kupata Kodi sio huduma Bora Kwa abiria

    Uamzi wa Chalamila wa juhamishia mabasi yote Stand ya Magufuli ni wa Ovyo mno Kwa geografia na population ya Dar stand ya Magufuli ni ndogo mno na utazidiwa vibaya mno 1. Mtu atoke Vikundu akapande gari la Mtwara Mbezi Magufuli? Kwanini asipande gari Mbagala 2 Mtu anaenda Tanga, Moshi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini ligi ya Nigeria siyo bora?

    Taifa kubwa, lina hela na linapenda mpira. Inakuwaje ligi ya Tz ni bora kuliko ya Nigeria? Naona wanigeria wengi kama wakenya. Kushabikia zaidi timu za Epl lakini ndani hawana club za maana. Shida yao nini?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania zaidi ya milioni 50 wanakosa Lishe bora UN wabainisha.

    Ndugu zangu kama ripoti ya UN ni kweli basi bado Tanzania tuna umasikini mkubwa na naweza kukubaliana nao kwa sababu ni familia chache sana Tanzania zinazoweza kupata mboga za majani na matunda angalu kwenye mlo wa mchana na usiku au tuseme milo angalau miwili kwa siku bila kujali muda...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo machache bora ya kuirudisha CCM katika misingi yake

    Hakuna haja ya kuunda tume wala kamati Hizi ni action zinazotakiwa kuchukuliwa 1. Zuia machawa katika chama 2. Rudisha mamlaka kwa wanachama wa chini ( wananchi), mambo ya watu wachache kukata majina na kuamua nani akagombee yasiwepo tena. 3. Zuia rushwa katika chama, hiyo ndio inaleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…