bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ipi bora? Lipa namba ya CRDB/NMB au Lipa ya Vodacom/tigo?

    Je kwa biashara ni ipi bora kati ya Lipa ya voda na lipa za mabenki kama CRDB au NMB? Ni ipi haina makato makubwa kwa mteja (wakati wa malipo) na mfanyabiashara (wakati wa kutoa ela)? Naomba kujua ili nifanye maamuzi.
  2. JamiiForums Tanzania Ni bora kununua gari yenye kilometa 200,000 kutoka Japan kuliko kununua gari yenye kilometa 50,000 Tanzania

    Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara. Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa biashara yoyote ndio maana kwa kulijua hilo, wenzetu wa nje hawarudishi nyuma kilometa ambazo zinasoma...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Je,kimsingi nani bora kati ya Yesu/Mohamad na wazazi wako?

    Habarini, Kuna wimbi kubwa la WAAFRIKA wasiojitambua katika kutofautisha imani na ukweli kwenye maswala ya uumbaji hata baada ya kuwa wamesoma na kuelimika pasipo kutambua kuwa athari kubwa kuliko zote za UKOLONI na UTUMWA ni dini za kuja i.e:uislam na ukristo zilizokuja kuharibu mila na...
  4. JamiiForums Tanzania Mechi za Simba zilizobaki BODI ya LIGI washamaliza matokeo siku nyingi nawaonea Hawa tma Leo Bora wangekaa bar sinza wanywe pombe wageuke

    Nasikia kuna Katibu kanaitwa tma YAAN kangejua Refa ameshapewa matokeo mapema na BODI ya LIGI HATA wasingeingia uwanjani Kifupi mnaoenda kuchexa na Simba Mjuee mnapambana na BODI ya LIGI Muwe makini KUFUNGWA mtafungwa ANGALIEN usalama WA afya xenu
  5. JamiiForums Tanzania Tauhida Gallos Awataka Wanawake Nchini Kujitathimini Ili Kuwa Bora Zaidi Kiutendaji

    TAUHIDA GALLOS AWATAKA WANAWAKE NCHINI KUJITATHIMINI ILI KUWA BORA ZAIDI KIUTENDAJI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhid Gallos Nyimbo amewataka Wanawake nchini kujitathimini kutokana na nafasi walizonazo ili waweze kujua hatua walizofikia kwa lengo la kuwa bora zaidi kiutendaji...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wana muono bora zaidi kuhusu shetani kuliko wakristo

    Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu. Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao zimeharibika. Wewe pepo, wewe jini, achia ,achia, kwa jina la Yesu! Hao Wayahudi ambao wakristo...
  7. JamiiForums Tanzania ALTEZZA TRAVEL YASHINDA TUZO YA MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI K'NJARO

    ALTEZZA TRAVEL MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI K'NJARO MOSSHI Kampuni ya wakala wa Utalii ya Altezza Travel imeshinda Tuzo ya mlipa Kodi bora kwa walipa Kodi kutoka wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro . Tuzo hizo zimetolewa wiki iliyopita Katika hafla fuoi ya kutunuku Tuzo kwa walipakodi bora...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji wa Mwanga-Same-Korogwe, ushuhuda wa uongozi bora wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    "Kiongozi bora ni yule anayehakikisha watu wake wanapata huduma bora" .... John C. Maxwell Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ni kiongozi mwenye maono makubwa kwa Watanzania. Uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndo series bora ya muda wote

    Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake. Stori inamhusu binti ambaye anataka kuukomboa ufalme wa ukoo wao ambao ulipokonywa kwa mda mrefu lakin kumbe pia...
  10. JamiiForums Tanzania Nissan march(baadhi ya maeneo huitwa Nissan mirca) ni gari Bora Sana kwa matumizi ya miji

    Nissan March ilianzishwa na kampuni ya Nissan Motor Co. Ltd na ilizinduliwa kwa mara ya kwanza katika nchi ya Japan mwaka wa 1982 Nissan March ilikuwa ni gari la aina ya hatchback linalolenga soko la magari madogo (compact cars). Lengo kuu la gari hili lilikuwa kutoa chaguo la kiuchumi kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

    Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha. Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji. Najua mnajua namna gani nchi hii...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Taa bora na imara za ndani za Solar

    Wadau ninataka kununua TAA za kushika mkononi za SOLAR kwa ajili ya dharura pindi umeme unapokatika. Naomba ushauri ninunue AINA GANI maan nyingi ni Vimeo. Nahitaji itakayowaka muda mrefu ikiwa full charged angalau masaa 12 na kuendelea. Au km kuna yeyote aliewahi kutumia hii hapa chini (D...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni Kielelezo cha Uongozi wa kina Mama Duniani

    Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano wowote kati ya kuwa na akili nyingi za darasani na kuwa kiongozi bora!?

    Wadau wa jukwaa la siasa naomba mawazo yenu maana nimekuwa nikitatizwa sana na hasa watu wenye vipaji vya uongozi. Katika makuzi yangu nilishuhudia viongozi wa aina zote. Yaani wenye uwezo mkubwa dalasani na pia wenye uwezo mdogo na hata uwezo wa kawaida tu dalasani lakini pia wakaongoza...
  15. JamiiForums Tanzania Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora kabisa kuwahi kutengenezwa Tanzania

    Kwa wale wenye upeo wa kujua vizuri watakubaliana nami. Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora za Lugha ya Kiswahili kuwahi kutengenezwa Tanzania. Ni aibu kwanini hatuna Tamthilia za namna ile kedekede, kwani tunanyimwa uhondo haswa. Wahusika wote kwenye entertainment industry tunaomba...
  16. JamiiForums Tanzania Ijue 5 Bora ya majengo marefu kuliko yote TZ

    1. PSPF TOWER (MAWASILIANO) 2. TPA TOWER 3. PSPF TWIN TOWERS 4. MWALIMU NYERERE FOUNDATION TOWER 5. MZIZIMA TOWER (JIPYA, Bado kidogo Sana kukamilika)
  17. JamiiForums Tanzania Zelensky: Ni bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi umempigia mtu magoti

    Hii ni kauli ambayo raisi wa Ukraine ameiishi pale White House mbele ya Donald Trump ambayo ilitolewa na mwana mapinduzi na mwanaharakati Dolores Ibarruri huko Spain miaka ya 1936 chini ya utawala wa mkono wa chuma wa dikteta Franco. Alichofanya Zelensky mbele ya Trump na makamo wake JD Vance...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yakubaliana na mkandarasi arudi saiti kukamilisha stendi ya Ngangamfumuni

    HONGERA MBUNGE MSOMI PRISCUS TARIMO BINGWAA Baada ya mkwamo wa miaka mingi, hatimaye sasa serikali imefikia makubaliano na kampuni ya ujenzi ya CRJE @crje_zanzibar kurejea site na kukamilisha stand yetu ya kimataifa ya Ngangamfumuni.. Hii ni furaha sana kuona stand hii ikimapiziwa na Serikali...
  19. JamiiForums Tanzania MC BORA MWENYE MAADILI

    BAB KUBWAAAA!!! 2025 OFFER💥 HARUSI,SEND OFF PARTY,BAG PARTY & KITCHEN PARTY. Book now get your Date....... Huduma za MC,MUZIKI,MAIDS,CHAKULA na MAGARI ya HARUSI. Karibu uhudumiwe nasi na ujipatie ofa mbalimbali kama vile ; 1. Ofa ya Cake za Harusi 2. Champagne. Na nyingine nyingi...
  20. JamiiForums Tanzania Blog /Website 10 Bora zinazolipwa vizuri Tanzania

    Hizi ni Blog/Website zinazolipwa vizuri tanzania 1.Mabumbe .com -Milion 100 /mwezi 2.Millard Ayo-million 88/mwezi 3.The citizen-Million 75/mwezi 4.Ajira yako- Milion 43/mwezi 5.Kupatana -Milion 39/Mwezi 6. 7. 8. 9. 10. Itaendelea
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…