bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wapenda mpira kipindi mnangoja bonanza la trh 15 uefa wanakupa bidhaa Bora kabisa kesho

    Mpira ulizaliwa ulaya na umeendelea kutunzwa na kuhifadhiwa na wazungu wenyewe huku wakiangalia vituko na maigizo kutoka pande zingine za dunia Hapo kesho Portugal ya Ronaldo itataka kumpa heshima huyu mwamba wa soka pale watakapopambana na Spain iliyo mabegani kwa kijana mdogo Lamin Yamal...
  2. JamiiForums Tanzania Tusifikie hapa kwasababu hali inaweza kuwa mbaya zaidi , ni bora kushauri vyema kuliko kushauri hivi alivyo shauri huyu mtumishi

    Mimi nadhani kuendelea kuzungumza swala hili ni kulifanya liwe gumu zaidi badala yake kwakuwa tayari kanisa limesha toa msimamo wa kwenda mahakamani kupinga kinacho daiwa kufungwa Kwa kanisa Sasa hekima ni Bora kusubiri maamuzi ya mahakama kwanza kabala ya kuendelea kupambisha moto Hoja yenyewe...
  3. JamiiForums Tanzania Hery Sasii, miongoni mwa marefà bora nchini, kimekupata nini?

    Ukiiongelea ligi ya Tanzania mwaka 2020-2022 hutaacha kuongelea umahiri wa Waamuzi mahiri na wa kutegemewa kipindi hicho wakiongozwa na Hery Sasii. Sasii alikuwa mwamuzi makini na aliyetegemewa katika Mechi ngumu na zenye ushindani. Kila mpenda soka alifurahia uchezeshaji wake. Lakini ghafla...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji kwenye Ubia wa BRT maarufu kama UDART kwa kushirikiana na Emirates utaleta mapinduzi na huduma bora kwa abiria wa Dar Es Salaam. Big Up!

    Mimi ni mhanga wa kupata shida na shurba za usafiri hapa Mjini Dar. Mradi wa usafiri wa umma wa UDART umekuwa kero kwa muda mrefu. Jana nimeona taarifa kuwa kutakuwa na uwekezaji kutoka kampuni ya Emirates ambayo ina lengo la kuboresha huduma za usafiri pamoja na kuongeza nyenzo kama Mabasi...
  5. JamiiForums Tanzania Biti bora ya HipHop enzi hizo

    Wakuu kati ya ngoma nazopenda kusikiliza sana mojawapo ni ya Rado kiraka-Usiulize, producer alifanya kitu roho inapenda sana. Nick Dizzle apewe maua yake Wallah, 2008 hiyo. Zipo nyingi ila hii inanikosha vibaya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bora chaumma ifanye mikutano ya ndani badala ya hadhara

    Maana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania HUDUMA BORA KWA MIFUGO YAKO🐂🦮🐕‍🦺🐖🐓🐔

    Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya.napenda kumshukur mungu kupata nafasi hii kwenu.kwa majina naitwa dr gilliard nimebobea katika masuala ya matibabu ya wanyama.. Leo napenda kuwaletea huduma bora zitolewazo kwa wanyama Kama mbwa, ng'ombe mbuzi, nguruwe,kuku,paka,na kondoo n.k...
  8. JamiiForums Tanzania Tuzo za BMT Aisha Masaka aibuka mwanamichezo Bora

    Jana usiku Binti huyu mrefu mwenye mvuto wa kipekee ameibuka mwanamichezo Bora kwa upande wa wanawake Aisha ameweka historia hiyo baada ya siku Chache kupewa tuzo na club yake ya Yanga kwa mafanikio yake katika soka Itakumbukwa kuwa Aisha alijipata akitokea Yanga na Sasa anacheza Brighton pale...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA: MKIWA UMOFIA NI BORA KUWA OBIERIKA KULIKO KUWA OKONKWO

    "Things fall apart" ni moja ya kazi nzuri sana ya fasihi yenye mafunzo kedekede iliyofanywa na Hayati Chinua Achebe. Kwa wahenga wenzangu mtaikumbuka riwaya hii kama mojawapo ya riwaya za kiada kwenye English Literature kwaajiri ya mitihani ya kidato cha nne. Kwafaida ya wasioifahamu riwaya hii...
  10. JamiiForums Tanzania Ninalitaka Jimbo la ileje na ninaenda kumuondoa kasekenya kupitia CHAUMMA na sera yetu Bora kabisa ya ubwabwa!

    Ileje ndiko nilikozaliwa na ndio Jimbo pekee la uchaguzi Tanzania ambalo asilimia 70 ya watanzania hawalijui kabisa ,nimejaribu kukaa na watu tofauti tofauti ukizungumzia wilaya ya ileje wengi hawajui kama lipo Tanzania. Ileje haijwahi kuwa chini upinzani na upinzani haujawahi kuwa na nguvu...
  11. JamiiForums Tanzania Hakutakuwa na mechi za saa nane mchana, mechi zitaanzia saa 11 sababu kutakuwa na miundombinu bora kabisa ya viwanja vya mpira

    Kwa east afrika na afrika kwa ujumla hakuna nchi itakua na miundombinu bora ya mpira wa miguu kama Tanzania Mtoto wa uganda, kenya, Congo, Rwanda atakua na ndoto za kuja kucheza mpira Tanzania Team 255713520180
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bila fedha , No reform, no katiba mpya , No kikomo ufisadi, Bora CHADEMA watoe ahadi ya kukabidhi Madini yote kwa marekani , Ili msaada upatikane.

    Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
  13. JamiiForums Tanzania Tatu Bora Mawaziri 2020-2025

    Mimi binafsi nimefuatilia nimeamua kuja na Tatu Bora yangu ya Mawaziri Bora kwa mwaka 2020-2025. Hawa jamaa uwa ni wafanya kazi sana na hawana makando kando linapokuja swala la kazi, na hawanaga kulamba miguu mtu. Waziri Huseein Bashe Amehudumu kama Waziri wa Kilimo tangu alipoteuliwa kama...
  14. JamiiForums Tanzania Bora tu simba hatujachukua kombe

    Hebu tafakari kama tungechukua kombe kila kiongozi wa serikali angeanza na neno gani kwenye huo ushindi. Nafikiri hata wachezaji wangesahaulika kupongezwa.
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani Asema Tumbaku Bora Huanzia Shambani

    MBUNGE CHEREHANI ASEMA TUMBAKU BORA HUANZIA SHAMBANI Wakulima wa zao la Tumbaku hapa Nchini wameaswa kuzingatia kanuni bora za kilimo cha zao hilo ili kuzalisha kwa tija na kupata soko la uhakika kutokana na kuendelea kuimarika kwa bei katika masoko. Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la...
  16. JamiiForums Tanzania Chakula bora cha Nguruwe wa kisasa

    Mimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:- Pumba mahindi 700kg Concentrate 50kg Mashudu 200kg OlaQuindox 500mg Bokhash 10kg Dcp 10pkt Pig booster 10pkt Toxic binder 1kg Jumla tani 1 ya chakula. Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana. Je wanajamii...
  17. JamiiForums Tanzania Nimeanza kufanya content YouTube. Kipi bora nipromote video mimi mwenyewe ama nimlipe mtu apromote

    Na ili niweze kuwa na access ya kupromote hiyo video natakiwa kuwa na vitu gani? With much thanks in advance
  18. JamiiForums Tanzania Samahan wakuu, kati ya kuongeza Salon ya pili na Library ya movie bora kipi?

    Ni salon ya kiume, tayarii nina computer imebaki tu kununua storage bas, Lakin kuna mawazo yamenijia Leo usiku kua kwanini nisiongeze saloon ya pili ambayo kwa eneo naloishi kwa wiki napata 75000-85000. lengo nisogeze kama mita 200 hivi kutoka hii salon ya hapa iliyopo, nikaona nije kwanza...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa huu Upuuzi mliopanga Simba mnaenda poteza hii Match. Wallah Wabillah mtaniambia

    Yaani mnataka leta siasa za kiduanzi sana. Tunajua mnachofanya na tayari watu tumeamua kama mbwai mbwai. Yaani mumpongeze mama yenu kwa hili? Nyie mna akili kweli? Sasa mnaenda poteza hii match. Wallah Wabillah labda si mimi mjukuu wa mtume. Yaani mnaleta siasa kwenye mambo ambayo si ya...
  20. JamiiForums Tanzania KIPAZA SAUTI BORA NA RAHISI KUBEBEKA

    Unatafuta kipaza sauti bora kwa✅ mahojiano, vlog, podcast, au ✅ matangazo ya moja kwa moja?✅ Lavalier Microphone Recorder ni suluhisho lako kamili!💯 Ubora wa sauti wa hali ya juu Rahisi kubeba na kutumia Inaendana na simu, kamera, na kompyuta Inazuia kelele za mazingira (noise reduction)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…