bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi hutakiwi kuwa na makundi

    Naona kwa maoni yangu tupo kwenye mkwamo kuliko kipindi chochote toka tupate Uhuru. Rais ukiingia madarakani na ukawa na makundi ya Matajiri na watu wenye maslahi yao madarakani ujue hauwezi kuongoza taifa. Nyerere hakuwa na makundi ndio maana mpaka anaondoka ikulu hakuwai kuiba hata sent ya...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Madhara ya P2 (njia 15 bora za kuzuia mimba/uzazi wa mpango)

    Hello ,Mimi ni daktari mafunzoni ,karibu katika uzi wangu. Punde tu baada ya wapenzi wawili kukutana kimwili wengi wazo la kwanza kuja kichwani ikiwa hawajapanga kuwa na mtoto huwa ni P2(morning after pill),haijalishi wanakutana mara ngapi,kila wakutanapo ni P2 tu. Hivi hizi ni kanakwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Umahiri wa Rais Samia Suluhu ni kielelezo cha kuimarika kwa utawala bora nchini Tanzania

    UMAHIRI WA MHE. RAIS SAMIA SALUHU HASSAN NI KIELELEZO CHA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA NCHINI TANZANIA. UTAWALA BORA ni matumizi ya Mamlaka ambayo yanakuwa na Uwazi, Uwajibikaji, Ushirikishaji wa watu, Ufanisi, Tija, Uadilifu Usawa na unafuata Utawala wa sheria. DEMOKRASIA ni dhana pana sana...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu na uhitaji wa Katiba Mpya iliyo Bora

    Utangulizi. Katiba ni sheria na kanuni zinazotungwa ili kuongoza nchi, shirika au taasisi fulani. Katiba ya nchi inatambulika kuwa sheria kuu na sheria mama na ndio msingi wa nchi. Katiba ni msingi wa mihimili mikuu mitatu ambayo ni dola, bunge na mahakama. Katiba inafafanua na kutoa mgawanyo wa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utawala Bora ni nyenzo muhimu katika kukuza Uchumi na Uwekezaji

    UTAWALA BORA NI KICHOCHEO MUHIMU KATIKA KUKUZA UCHUMI NA KUVUTIA UWEKEZAJI Utangulizi. Nianze Makala haya Kwa kutoa tafsiri/maana ya utawala Bora ambao naumaanisha katika makala yangu hii ya Leo . Utawala Bora ni uendeshaji wa Serikali au taasisi unaofuata misingi ya...
  6. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa kuwa na mfumo wa ufuatiliaji na tathmini matokeo katika kujenga Uwajibikaji na Utawala Bora (Result-based monitoring and evaluation system)

    Mataifa mengi duniani yamekumbwa na msukumo wa nje na hata wa ndani wa kuleta mabadiriko katika uongozi wa uma. Na madai ya kuataka mabadiriko yanatoka katika vyanzo mbalimbali ikihusisha Wananchi , Asasi za kiraia , vyombo vya habari na vyama vya upinzani.M ara nyingi madai yao yamejikita...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya Diploma ya Sheria ya Chuo cha LUSHOTO na Diploma ya Biashara CBE Dodoma?

    Wadau, kuna kijana kachaguliwa kusoma Diploma Sheria ya Chuo cha Lushoto na pia kachagulia Diploma ya biashar aCBE Dodoma, kwa wazoefu wa hizo anga na maisha ya Kitanzania unamshauri wapi labda. Bahati mbaya siyo mjuzi wa hizo fani ukiachana na herasay
  8. J

    JamiiForums Tanzania CDC: Pata chanjo ya COVID-19 iliyoidhinishwa katika eneo unaloishi

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema Chanjo za #COVID19 zilizoidhinishwa kwa sasa ni salama na zenye ufanisi. CDC inasema uamuzi muhimu zaidi kwa kila mtu ni kupata chanjo ya #COVID19 haraka iwezekanavyo kwani chanjo kuwafikia watu wengi ndiyo njia sahihi ya kumaliza...
  9. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Haki za Binadamu na Utawala Bora

    HAKI ZA BINAADAMU. Haki za binaadamu zinajumuisha mahitaji yote ya muhimu/stahiki za kila binaadamu pamoja na sheria maalumu za kumlinda na kumpa muongozo binaadamu yeyote katika utekelezaji wa maamuzi kulingana na mazingira au utaratibu wa maisha. Baada ya kuona umuhimu wa kila binaadamu ipo...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Hatua zaidi zichukuliwe ili walemavu wapate elimu bora

    Elimu ni moja ya haki za msingi kwa kila mtoto wa Kitanzania bila kujali mtoto huyo ni mlemavu au la.Pamoja na sera na mikakati ya kutoa elimu bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na wale wa kidato cha kwanza hadi cha nne lakini elimu inayotolewa kwa watoto walemavu hasa wale wa kuona,akili na...
  11. JamiiForums Tanzania Nyanya ni tiba Bora ya kuzalisha mbegu za kiume zenye ubora

    Chakula chenye nyanya nyingi kinaweza kumsaidia mwanaume kutoa mbegu za kiume zenye ubora, utafiti umebainisha. Afya ya wanaume ambao hunywa vijiko viwili vya nyanya ambayo imesagwa kwa siku wamebainika kuwa na shahawa ambazo ni bora zaidi. Tatizo la uzazi kwa wanaume limeathiri karibu nusu ya...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Uhuru wa fikra kufikia Utawala Bora

    “Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.” - Sigmund Freud ”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu uhuru unahusisha jukumu, na watu wengi wanaogofya jukumu” - Sigmund Freud Wakati tunaendelea na...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya, Uganda, Afrika Kusini, na Nigeria ndio mataifa yenye vyuo vilivyo kwenye kumi bora Afrika

    Japo Afrika Kusini balaa sana, wana vyuo sita kwa mkupuo, Nigeria viwili, Kenya na Uganda kimoja kila mmoja. Chuo cha Nairobi kimekua namba 563 duniani, Makerere ya Uganda ikaambulia kwenye kundi la 600-800 Baada ya hapo mataifa mengine yote choka mbaya, Afrika bado tuna safari, elimu...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnatamani Rais Samia awe Bora kuliko Hayati Dkt. Magufuli?

    Nawashangaa Sana ndugu zangu! Munamdemkia mnoo!! Sote hatujaona fikra au maono ya maza ambayo yanatekelezwa hapa nchini Tozo si maono yake Barakoa na chanjo si maono yake Kesi ya mbowe si maono yake Kuhojiwa Gwajima si maono yake Bei za mazao si maono yake Hivi ni nini kinaendelea nchini kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said amuumbua Mubashara Maulid Kitenge kwa Kushadadia Kwake Kuvuja kwa Jezi bora ya Simba SC

    "Nasikitika kuona tunaacha Kupambana kwa Matokeo ya Uwanjani tuko katika Upuuzi wa Kushindanisha Jezi na Kushadadia kama zimevuja au hapana. Arsenal FC ndiyo Klabu yenye Jezi nzuri mno ila Uwanjani ina Matokeo mabovu na ya Aibu. Kama wana Habari sidhani tunapaswa Kushangilia Kuvuja kwa Jezi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Sadaka za Jumapili moja Ml 40-60, ubunge sh Ml 10 kwa mwezi, bora siasa ama Imani?

    Askofu Mbunge hupata sadaka za kuanzia Ml 40 hadi Ml 60 kwa Jumapili moja. Amekuwa Mnafiki kwa sababu biashara anayofanya hataki kupoteza waumini wake. Huyu hana tofauti na Kibwetere kwa sababu mahubiri yake ni mipasho na kutisha watu kuombewa hadi kufa. Jumapili ijayo ni lazima atampasha...
  17. JamiiForums Tanzania Janga la Corona limeifanya Ulaya itambue kuwa kuna utalii bora na utalii usio bora

    https://www.bloomberg.com/news/articles/2021-08-17/amsterdam-prague-and-barcelona-see-tourism-silver-lining-in-covid-lockdowns?utm_medium=cpc_social&utm_source=facebook&utm_campaign=BLOM_ENG_EDITORL_COALL_FB_SO_WTRF_ADSALEINIT_KEYCO_00XXXXCPC_2PFB_XXXX_BUSFINLUXREAD_X1854_COALL_XXXEN_ALLFOA_ASP3_...
  18. JamiiForums Tanzania Forex haiwezi kukutoa kimaisha, ni bora ubeti au ukalime

    Wakuu habari zenu, Baada ya kupigwa pesa zangu kwenye forex nimeamua na mimi nije kushare jinsi forex ilivyopelekea mpaka nime break up na gf wangu, lakini yote maisha nimejua wanawake almost wote ni lowkey gold diggers, kwa nini nasema hivyo nimepigwa $3200, $1000 zilikuwa ni za kwangu...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kreni ya Kujengea Ghorofa Laanguka na Kuua Kenya: Majirani Bora Muache Kujenga Maghorofa

    Kreni ya Kujengea jengo la ghorofa kwa ajili ya wanafunzi limeanguka na kuua watu 8. Wawili wakiwa raia wa kigeni na 6 wakiwa wakenya. Mkasa huo umetokea leo, ambapo wakati ujenzi ukiwa unaendelea, mara ghafla bin vuu, kreni ikaanza kuanguka huku ikiwa na mzigo na kuwaangukia watu waliokuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama tumejiridhisha chanjo ya COVID-19 ni bora, tutangaze chanjo lazima kwa kila mtu ili kunusuru Taifa

    Mimi binafsi nimejiridhisha kupitia watu mbalimbali waliochanjwa ,kuwa chanjo zinazotolewa hapa nchini, zina uwezo wa kukinga uviko kwa kiwango cha kutosha. Na hii ni kwa wale waliopitisha zaidi ya wiki mbili hivi tangu kuchanjwa. Pia, nimeangalia matukio ya halaiki kama mpira wa miguu katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…