bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania KWANINI GARI NYINGI ZINAZOTOKA JAPAN ZINAKUJA NA ILE NAVIGATION MONITOR LAKINI INAKUWA NA RAMANI ZA JAPANI NA HUKU BONGO NAONA KAMA HAZIZINGATII

    Kwema wanajamii forum, Moja kwa moja kwenye mada kwanini hizi gari zinatoka japan nyingi kama sio zote zinakuja na ile screen inakuwa na ramani za miji na navigations za japan kwa huku Bongo watu wengi hawazitumii na zinakuwepo tu kama pambo au kwa hapa bongo hakuna fundi wa kuwepa shapefiles za...
  2. JamiiForums Tanzania Access Bank TZ, nikimeo kipya bongo

    Access bank wamewachukua wateja wa Standard charted Bank toka 23 June 2025 , lakini hadi muda huu, huwezi kutoa fedha kwa njia yoyote, na call centre yao hawapokei. BoT wanahitajika hapa ili wananchi waendelee kupata huduma kama kawaida. Cha ajabu zaidi hawatoi support yoyote wala taarifa.
  3. JamiiForums Tanzania Nimetua bongo usiku wa kuamkia leo,,,Fasta nikaingia nyumba ya Ibada,,,halafu mkutano na wajukuu zangu...

    Naam mkutano na wajukuu zangu pamoja na mama zao(wakwe zangu na binti zangu),,,, Hii ni baada ya kuzunguka na kuielewa hii dunia,hivyo sitaki mateso niliyopitia mimi pamoja na wanangu yafike kwa wajukuu zangu.... Kitu kikubwa nilichofanyia utafiti ni kutambua na kuelewa nguvu kuu katika...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Pale taifa la linalodhaniwa ni la Mungu linapokua chokozi na sio peacemaker Kwa kigezo Cha unabii kutimizwa!!Linatia udadisi kwenye bongo huru!!

    Mi nilidhani kwakua ewe Israel wa Sasa unaedhaniwa umtakatifu mteule wa Mungu kama wengi wasemavyo basi ungekua peace maker na sio kuwa chaos inducer Kwa ulimwengu!! Ukifikiri kwa kina unakosa uhalali was utakatifu wa taifa hili hasta katika zama hizi za "vita vyetu sio vya mwilini,Bali vya...
  5. JamiiForums Tanzania Bongo Nyoso mtu ana Certificate ya Clinical Officer anajiita Daktari (MD)

    Ukistaajabu ya mussa utayoona ya firauni. Yani hapa Tz unakuta mtu anajiita na kujimwambafy dokta na anapata heshima kubwa Kwa watu kama mtu aliesoma sana lakini ukijafatilia kwa undani unakuta ni certificate holder wa clinical medicine au nursing. Mtu huyohuyo hata majukumu Yake ya msingi...
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna msanii ananisikia upande wa trap bongo am the king

    Me vs bongo hip-pop artist part 1
  7. JamiiForums Tanzania Kombe la dunia la vilabu na marefa wetu wa bongo

    Hivi nyie marefa mnaona wenzenu wanavyochezesha Mpira? Bongo mtu akiguswa tu kidogo filimbi inapulizwa hasa mkiwa mnachezesha hizo timu zetu za kurithi. Kama mna akili na mnataka mfike mabli fatilieni haya mashindano hamtabaki kama mlivyo msimu ujao. Naipenda Sana ligi ya Saudia hakuna...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Goli la Mama na ndege zake siyo shida, ila kusuruhishwa na Mama ndiyo kuingilia soka..! Bongo itaendelea kuwa bongo!

    Simba, juzi juzi tu kuelekea fainal yenu, Mama alitoa karibu gharama zote simba kwenda na kurudi Moroco, mlimpongeza mama kwa vicheko na furaha meno yote 32 nje nje kwa furaha mlokuwa nayo Leo kawaita kuwasuruhisha, mnasema anaingilia soka na mambo yasiyomhusu Yanayomhusu ni kutoa pesa za goli...
  9. JamiiForums Tanzania Ongezeko la vijana hapa bongo kuwa na mtindo wa ucheshi ucheshi sio suala la kupotezea kwa kweli

    Kila kijana sasa amekuwa comedian. Ukifuatilia vizuri sio kwamba ni watu wenye furaha au hata kujikimu sana basi tu wanafanya hivi ili wafariji nafsi zao kwa kujiconnect na watu na kutengeneza furaha bandia ili wadukue akili zao kuwa hawana tabu. Kiukweli ni kuwa wana taabika kiakili sana.
  10. JamiiForums Tanzania Naaaam tazama hapa ; kumbe kudanga ni dili sana bongo

    Along his wife. Aseeeeee KUDANGA mixer. Bongoland Agiza bia hapo nakuja lipia.......๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ
  11. JamiiForums Tanzania Gen z wa bongo hawana time na siasa za nchi yetu

    Wakuu hawa madogo bwana wana zingua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu. Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia sheria na kanuni za kiutawala katika taifa letu ila yupo aware na connection ya mtoto wa mchungaji...
  12. JamiiForums Tanzania Mchezo wa fainali UEFA, tiketi Moja ni Milioni 14 za kitanzania, bei ya chini kabisa, ila bongo elfu 5 tu mnalialia.

    Nawaza ingekua ndio derby ya bongo imeahirishwa na tiketi Moja ni 14,000,000, si kungezuka vita nchini? ๐Ÿ˜‚ Habari zingesambaa duniani kote , watu wauana baada ya derby kuahirishwa, bodi ya ligi yakimbis kusikojulikana๐Ÿ˜‚, Mzee Mguto na President Karia wafichwa ikulu kuepusha shari ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Anyway kila...
  13. JamiiForums Tanzania Ila Ujenzi wa bongo huwa ni pure comedy! Tunaanzaga kwanza na fundi MAIKO alafu akizungua ndio tuna mtafuta fundi MICHAEL ๐Ÿคฃ

    Ujenzi wetu upo sana katika misingi ya kufinya bajeti. Siwezi kulaumu yoyote kwa maana hali ni ngumu kiukweli. Ila hali hii isitengeneze kama jadi fulani hivi sasa maana tunaishia kugharamika hata zaidi ya pesa tungeempa fundi aliehitaji pesa ndefu. (MICHAEL)
  14. S

    JamiiForums Tanzania Inawzekana Bongo kuna breed ya fake human beings na breed ya real human beings huku fake wakiwa ndio majorly

    Hii ni baada ya kusikiliza kauli za watu fulani kupitia mikutano ya waandishi na zaid baada ya kusikia kauli za watu fulani kule mjengoni siku ya jana. Ningekuwa na uwezo na mamlaka, hii breed ningeinyunyizia dawa kama nafanya fumigation kuangamiza vimelea vya magonjwa visiendelee kuzaliana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongo wapo fasta wameshatunga wimbo wa Simba kawa paka. Utani wa jadi mtamu

    Huu wimbo simba kawa paka umeniacha hoi sana. Kila msiba wasanii wanautungia wimbo fasta
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wa bongo movie wamshukia Martha Karua

    Wakuu Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu? Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli. === Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka...
  17. JamiiForums Tanzania Kwahio salome ataondoka na aziz au ndoa ilikuwa ni ya bongo movie

  18. JamiiForums Tanzania Range Rover ya wizi yakutwa Bongo

    Ukisoma vizuri hiyo taarifa inaonesha jamaa aliiebiwa hiyo Range Uk aliweka tracker wahuni wali dissable tracker ikaja kutuma notification tayari imeshaingia bongo na imeonekana kwa Cashmoney car dealer inauzwa. Hii mipira mikali mikali ya mwaka wa mbele kutoka UK na Sauzi imekua mingi sana...
  19. JamiiForums Tanzania Filamu za Bongo za Enzi izo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

    Girlfriend Augua Siri Bosi Nsyuka Fungu La Kukosa Safari Chumba namba 77 Mzee wa Busara Johari Sikitiko Langu Misukosuko Dilema Sabrina Kaburi La Safia Joanita Bifu Dangerous Desire Shusha unazozikumbuka na wewe๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
  20. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Ajax Amsterdam kukosa ubingwa, hii ingetokea bongo je?

    Wakuu ukisikia maajabu ya soka ndio haya Ajax Amsterdam ya nchini uholanzi imekosa ubingwa kimaajabu. Mpaka mechi ya 29 huku zikiwa zimesalia mechi tano pekee, Ajax alikuwa amemuacha mpinzani wake, Psv kwa jumla ya alama tisa. Mambo yalienda kombo kwani Ajax alipoteza mechi mbili mfululizo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ