Dusti Bongé (née Eunice Lyle Swetman, 1903–1993) was an American painter who worked from the 1930s through the early 1990s. She is considered Mississippi's first Abstract Expressionist painter and its first Modernist artist.
Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni:
1. Umaskini
2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii?
3. Malezi ya hovyo kwa watoto?
4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari?
5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine.
Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume...
Walahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao.
Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge la boko walahi yachekesha si mazuri. Yaani waambiwa hutuba yake itawatia ndimi gen z. Boko kama...
"MIMI NASHAURI SIKU YA UHURU MWAKA HUU SERIKALI ITOE TAMKO SIKU HIYO HAKUNA MTU KUTOKA NDANI KWA USALAMA ZAIDI," Oscar Oscar
Mimi ni Mjumbe tu na Mjumbe hauwawi, hivyo kama una Mihasira yako ipeleke kwake Oscar Oscar na tusichoshane.
Mara ya mwisho Trump kuandika gazeti refu kama hili lini ?maana kalalamika sana humu😀 mpaka namuonea huruma
Ubaya mwenzake Xi hayupo kwenye mitandao ya kijamii hivyo ni ngumu kujua hata anajali wala kuzingatia lalamiko la Trump.
D.Trump kasema kwamba ilhan abdulahi omar ambaye alizaliwa nchini somalia na leo hii ni rep au Mbunge huko Minesota, aliolewa na kaka yake mzazi ili apate uraia wa USA, mambo yameanza kuiva huko USA ...
Sitii neno.
Naleta kama ilivyo.
Najua Zitto Kabwa yumo humu.
Huenda atatuelezea dhamira na nia yake ni nini.
Je, namna hii hajawa bonge la kupe tena la kujipeleka?
Je, imekuwaje akamuacha Mpina na kumpigia kampeni mama yake?
Je, amelishwa kitu?
Namna hii, ACT Wazenguaji itashindwa kuwa...
What the helly JF massive?
Naona kama vile tunarudi nyuma kitaifa.
Hivi ni mimi tu au na nyie mnaona kama nionavyo mimi?
Endapo kama taarifa zote za kuuhusu ufisadi wa serikali iliyopo ni za kweli, ndo basi tena. Hatuna nchi.
Kilichopo ni personal fiefdom ya Samia and Co.
Mpaka kufikia...
Wakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana
Mazoezi ya kutembea anafanya...
Tuwe wakweli jamani, mie binafsi sikumbuki kama nilishakutana na bonge mwenye roho mbaya au chuki na visirani visivyoeleweka.
Hata kwa wanawake, mabonge hawanaga baya (Mungu awatunze sana)
Sasa vimbaumbau, yaani iwe kazini au mashuleni, wale waalimu au viranja au maboss wembamba ni hatari...
Mchungaji huyu anasema lesso hizo huwa zimetengenezwa kishirikina ili kuwachezea waumini akili, ili wajae kwenye mfumo wa kuwa misukule kama wale jamaa wa ubungo maji.
Nissan wako serious sana kwenye issue ya EV na hybrids hivi karibuni. Kwa sisi wapenzi wa magari madogoa na economy, wametugusa sana na Nissan Note (hybrid) na Nissan Ariya (EV).
Sasa wametuletea all new Nissan Leaf 3rd gen, soon inaingia masokoni.
Wamefanya mapinduzi makubwa sana kuanzia...
Wakuu hii huduma ya Vodacom m wekeza ni bonge la uwekezaji aisee yaani nimetia pesa huko Sasa hivi nafanya kazi ya kuamka na Taulo huku nikinywa maziwa pesa yangu ikiniletea faida halafu uzuri wanaweka pesa. Tarehe 3 tu mwanzoni mwa mwezi mungu anipe nini mimi
Habari wanaJF,
NIPO kwenye basi la Laviha inayotoka Dar kuelekea Ifakara. Tupo mkambarani tunakaribia Moro.
Sasa ameingia jamaa mmoja hivi na dawa ya meno ya Vigo Doctor. Akajitambulisha, shughuli ikaanza.
Alivyoishika mfuko wa bidhaa, akaelezea Aina zake na mabadiliko yaliyokuwepo. Akaelezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.