bodi ya mikopo

  1. JamiiForums Tanzania Value Retention ya bodi ya mikopo ni msiba kwa watoto wa watanzania maskini

    wadau kwa masikitiko makubwa nasema value retension ya 6% ya kila salio baada ya makato ni shida kubwa sana kwanza wanufaika walilazimishwa kulipa asilimia kumi na tano wakakubali bado haitoshi wamewekewa 6% kila baada ya mwaka wa fedha kweli haki iko wapi. watu wa sheria wanajua makubaliano...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Bodi ya Mikopo itafungua lini dirisha la maombi ya mkopo?

    Mikopo kwa ajili ya wanaosoma shahada za kwanza (degrees) , Maana kuna wahanga wengi (mimi nikiwamo) , tumeacha masomo kwa sababu tumekosa fedha ya kujilipia ada , !! Msaada please kwa anaejua please ili tuandae (important documents) . Maana ule msemo unaosema " MTEGEMEA NDUGUYE UFA...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wajazana ofisi za Bodi ya Mikopo Dodoma

    Katika hali ya kustaajabisha Leo June 1, 2020 mamia ya wanachuo kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wameonekana wakisotea fedha zao za mkopo "Boom'' Hii imeleta sintofahamu maana Waziri wa Elimu ya Juu Mhe. Ndalichako alinukuliwa siku chache kabla ya vyuo kufunguliwa akisema kwamba mpaka sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu CV ya Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

    Wakuu Kama Kuna member yeyote anafahamu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu wasifu wake anisaidie nipate kumfahamu vizuri maana jamaa naona kama ni kichwa kwelikweli na akiongea anaongea kwa msisitizo kabisa.
  5. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo imepeleka Tsh bilioni 122.8 vyuoni

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema imeshapeleka Tsh Billioni 122.8 katika vyuo na taasisi za elimu 81 kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi. Imesema wanafunzi wanaostahili kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ni 132,119, fedha wanazopewa ni kwa ajili ya malazi, posho...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya Wanafunzi-UDSM yatoa saa 72 kwa HESLB kutimiziwa maagizo yao vinginevyo kukusanyika nje ya ofisi ya HESLB

    Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imetoa saa 72 kwa Bodi ya Mikopo (HESLB) kutekeleza maagizo 4 likiwamo kuwaingizia fedha wanafunzi ambao hawajapewa tangu chuo hicho kifunguliwe, yasema isipotekeleza watakusanyika nje za ofisi ya HESLB. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyepata majibu baada ya kukata rufaa Bodi ya Mikopo?

    Tafadhalini naomba mnifahamishe, baada ya kukata rufaa bodi ya mikopo majibu yanatoka lini? Kuna aliyepata majibu?
  8. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ni kero kubwa kwa wanafunzi nayo imejigeuza mhimili

    Ukweli ni kuwa hii tasisi ni kero kubwa kwa wanafunzi kutokana na usumbufu wanaopata wanafunzi na wazazi. Wanafunzi walishajaza maombi lakini Bodi sasa imeanza kuleta masharti kama mganga wa kienyeji mara wanafunzi wanaambiwa walege nyaraka zile zile ambazo washaziwasilisha kwaajili ya mikopo...
  9. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo imetoa Batch ya pili tayari.

    Wakuu salamu, bodi ya mikopo tayari imetoa majina ya waliopata mkopo awamu ya pili leo ijumaa tarehe 25/10/2019, ili kuona jina lako kama umepata mkopo nenda kwenye akaunti yako uliyoitumia kuombea mkopo utapata majibu kama umepata mkopo awamu ya pili au hujapata.
  10. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo tujaribu ubunifu zaidi baada ya nguvu bila maarifa

    Siku chache zilizopita nilitumiwa picha ya frontpage ya gazeti moja likimnukuu Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu akisema "Wadaiwa Bodi ya Mikopo Kusakwa Majumbani Usiku" nikashtushwa kidogo nikasema nitakapopata muda nitajaribu kuweka bandiko moja hapa nitoe maoni yangu kuhusu ulipaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…