Bodi ya mikopo imetoa Batch ya pili tayari.

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Wakuu salamu, bodi ya mikopo tayari imetoa majina ya waliopata mkopo awamu ya pili leo ijumaa tarehe 25/10/2019, ili kuona jina lako kama umepata mkopo nenda kwenye akaunti yako uliyoitumia kuombea mkopo utapata majibu kama umepata mkopo awamu ya pili au hujapata.
 
Tunamshukuru Rais Magufuli na Serikali ya Awamu ya Tano. Zamani mambo haya hayakuwepo. Thank you, Your Excellency.
 
Tunamshukuru Rais Magufuli na Serikali ya Awamu ya Tano. Zamani mambo haya hayakuwepo. Thank you, Your Excellency.
Duuh! Aisee kwa hiyo mikopo imeanza kutolewa 2016 au vipi?

Sio muda mtaanza kumshukuru Magufuli kwa kuwaletea hewa ya oxygen na kuwawezesha kupumua.
 
Back
Top Bottom