DEREVA BODABODA ALIYEPOTEA ARUSHA, MWILI WAKUTWA UKIWA UMEKATWA SHINGO NA KUTOBOLEWA MACHO
Hamis Idd Masimba, mwenye umri wa miaka 24, dereva wa bodaboda katika kijiji cha Mlima CCM, Kata ya Murieti jijini Arusha, aliyeripotiwa kupotea, mwili wake umekutwa katika Kata ya Olasiti ukiwa na...