boda

Bridge of Don Academy is an Aberdeen City Council operated six-year secondary comprehensive school and community centre in Bridge of Don, Aberdeen, Scotland.
The building was opened in 1979, originally designed to accommodate around 900 pupils. The school's functional capacity is currently 799. Its feeder primaries are Balmedie, Braehead and Scotstown primary schools.
The school campus is currently shared with Braehead Primary School and Saint Columbia's Church of Scotland and Roman Catholic church. Adjacent to the school is Westfield Park and playing fields.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Uliwahi fukuzia basi kwa boda au Taxi baada ya kuachwa stendi ?

    Ilishawahi kukukuta ?
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna magari yanakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya bodaboda kinyume cha sheria

    Tetesi kuna cruser zinakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya boda boda kinyume cha sheria. Nitoe wito kwa wananchi mnaweza kumalizana nao hawa ndio wauaji na watekaji tunaowatafuta. Ukiona kuna cruiser mtaani kwako haieleweki eleweki jua ndio watekaji wananchi wanapaswa kuwadhibiti...
  3. JamiiForums Tanzania Nime gundua BODA BODA wetu wako vizuri sana kwenye ulengaji wa shabaha

    Kupitia misuko suko ya maandamano kuna jambo moja nime weza kuli gundua . BODA BODA wetu wako vizuri sana kwenye kulenga shabaha na kulinda upotevu wa risasi , kwani wahanga wengi uki achilia walio pigwa risasi wakiwa wame lala chini wengi wame pigwa risasi za kichwa . Ova and Out
  4. JamiiForums Tanzania Uliza vijiwe vyote vya boda hawakuhusika na maandamano ya wahuni

    Ukiwaulizia wanabodaboda wengi wa vijiwe vyetu maarufu hawakushiriki maandamano na waliendelea kutoa huduma ya usafiri. hii ni ishara ya mamluki kutoka nje ya Tanzania kuletwa kushiriki uvunjifu wa amani.
  5. JamiiForums Tanzania Boda boda na wake zetu

    Aiseee leo nilimpeleka wife saloon na usafiri wangu, akanipa cash nijaze mafuta ili nimfate baadaye. Wote ni watumishi. Ile kamaliza, katuma text “nimemaliza,” nikaanza kujipanga nimfate, mara namuona kaibuka home. Nikamuuliza umekujaje, akasema kampigia boda. Nikamuuliza ulipo text ukaona...
  6. JamiiForums Tanzania Vituko vya boda boda. Tupia picha au clip tufurahi/tucheke

    Weka picha ama clip ya bodaboda yenye maudhui ya kuchekesha ama kufurahisha
  7. JamiiForums Tanzania Rai yangu ni picha za majeruhi hoi na kukatwa viungo kutokana na ajali za boda zisambazwe kwa hawa madereva boda boda labda wanaweza kubadirika.

    Yani boda boda na kujitoa ufahamu..:👇🏻
  8. JamiiForums Tanzania Kama hakuna ulazima wa kupanda boda boda, usipande!

    Ikiwa hakuna ulazima wa kupanda Boda , basi usipande.
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kuwa boda boda mwisho umri gani nataka nikajribu upande huo maana hali tete

    Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
  10. M

    JamiiForums Tanzania Heche Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kuna wezi na matapeli wana vitambulisho na sare za Tarura feki wanatembea na boda au bajaji wanakamata madeni na wrong parking

    Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni! Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki! Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao! Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
  13. JamiiForums Tanzania Boda Boda Hero: Pius Takes a Stand for Girls' Rights

    Pius, a boda boda rider from Bwiru B – Mwanza, has shown tremendous change in protecting his community against acts of gender-based violence and exploitation. One day, while going about his business and carrying a passenger, he came across an older woman beating an adolescent girl by the...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mtu ana boda Morogoro anipelekee mzigo Kwa mwanangu Mzumbe shule?

    Wadau kama Kuna mtu ana boda wake Morogoro mjini anamuamini Kuna vifaa vidogo Kwa bahasha mwanangu yupo Mzumbe chuo anahitaji kupelekewa. Nataka mtu avipokee mjini na ampelekee mpaka chuo ndani atapewa nauli yake. Asante sana.
  15. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wengi wao wa hawa wenzetu boda boda hawako stable katika fikra zao tazama hii video aliopost Samatime

  16. JamiiForums Tanzania Kumbe pikipiki sio nzito kuna sehemu boda kajichanganya tumepewa adhabu tuibebe

    Leo ndio nimejua kuwapikipiki kumbe sio nzito kabisa aisee tumebeba Mimi na boda boda mahali tumepita boda kajichanganya kusimama boda imezima basi tumebeba juu juu aisee ni nyepesi sanaaaaaa I love my country
  17. JamiiForums Tanzania Arusha; Boda Boda auwawa kinyama na mwanamke Kisha achomwa Moto

    Tukio hilo la kusikitikitisha na la aina yake limetokea katika kata ya Ungalimited ambapo kijana mmoja ameuliwa kinyama na mwanamke mmoja Kwa kushirikiana na baadhi ya vijana. Jana wakati mechi ya Yanga ikiendelea Kuna bodaboda aliibiwa pikipiki yake wakati akiangalia mpira maeneo ya katikati...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
  19. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu matukio ya Boda Boda!

    Part 1: Hawa boda boda nilikuwa nawachukulia poa sana ila kuna siku jamaa alifanya jambo positive sana kwangu nikaona kumbe zile speed zao muda mwingine wanawahi kusave maisha ya watu. Jamaa nilimuagiza apeleke dawa sehemu ambayo najua kwa gari huwa natumia 1hr na ikiwa public hata masaa 3...
  20. JamiiForums Tanzania kwa uwekezaji huu nlioufanya, Je niendelee na ajira nilipoajiriwa?

    kama kichwa cha habari hapo juu, nimekomaa toka mwaka jana nimebahatika kuunda izo kitu na mwote humo wako watu wanapiga kazi, salon ya kiume mwenyewe pia ni fundi kunyoa jioni na wikiend nakaa kupiga kazi, duka ni la mangi tu la kawaida, je no sahihi au niachane na kufundisha nije kusimamia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…